Namna ya akupata cheti cha kidijitali cha chanjo ya UVIKO

computerkiddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2015
488
532
Habari, wakuu.

Nimepata chanjo ya corona tarehe 15 mwezi huu pale hospitali ya bukoba government hospital. Sasa nimpewa cheti cha kawaida ambacho sio cha kidigitali.. nimeambiwa mtandao unasumbua hvo nsubirie kidogo ntatumiwa sms ya uthibitisho kuwa nimechanja pamoja na link ya kudownload hicho cheti.

Sasa naona muda unazidi kuyoyoma na sms sipati, nkiwapigia simu naambiwa mtandao bado unasumbua.

Je mliowahi kupata hicho cheti mlifanyaje? ni mpaka utoe rushwa ndo mtandao unasoma maana sijaelewa, kama wanahitaji rushwa ni shilingi ngapi?

Thanks in advance
 
Nenda kituo cchochote Cha afya,
Wanapochanja corona 19,

Ukitoa details zako ulozojisajili siku ya kuchanja,
--mfano kitambulisho Cha Nida
--Au passport
na namba yako ya simu uliyoiweka simu ya kwnza kuchanja ,
watakuta taarifa zako za cheti chako,

Then wanakutumia kwa simu.

Vyeti vyote vipo kwenye database ya chanjo ya corona19 Tanzania.
 
Maajabu hayaishi. Nilipata cheti unachokitafuta bila hata kuchanja iyo chanjo.
 
Back
Top Bottom