Tuliharibikiwa tuliporuhusu ufisadi wa bilioni 10 Chadema. Sasa tunahangaika namna gani kuchangisha watu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike.

Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema.

Leo hii tunahangaika kupata mapato.

Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
 
Toa ushahidi kama kuonyesha Mbowe na wenzake walivyokula hizo hela. Toa takwimu kuonyesha vile JOIN THE CHAIN imebuma.Au kaa kimya maana haya ni majungu tu.
 
Join the chain of panya road, that is your level. Armed police force will be waiting for you.
 
Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike.

Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema.

Leo hii tunahangaika kupata mapato.

Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
MNAHANGAIKA NA CHADEMA HAMUIWEZI WANANCHI TUTAICHANGIA TU
 
Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike.

Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema.

Leo hii tunahangaika kupata mapato.

Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
Labda umeharibika wewe pamoja na covid19 sisi tuko imara mnoo🤸
 
Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike.

Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema.

Leo hii tunahangaika kupata mapato.

Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
Ulipotea sana kumbe mlipata project nyingine.
IMG_20220927_131502.jpg
 
Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike.

Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema.

Leo hii tunahangaika kupata mapato.

Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?

Umerudi tena.?. Mwanaccm anayejifanya CHADEMA.
 
Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike.

Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema.

Leo hii tunahangaika kupata mapato.

Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
Andaa data kamili za ushahidi ili nami niwe nyuma yako tukamshtaki na glo genge lake.
 
Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike.

Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema.

Leo hii tunahangaika kupata mapato.

Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
Hiyo mimba aliyokutundika Mbowe itoe tu itakuua bure.
 
Back
Top Bottom