namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Kova ndiyo kachoka namna hii?

    Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
  2. M

    Panya road ni wa kuchapa risasi bila huruma

    Alikuta taifa lake likiwa na uharifu mkubwa sana alipoingia madarakani mwaka 2016. Wauza unga walikuwa wengi, wakabaji wa kutumia siraha na majambazi. Alitumia njia moja tu kama mkuu wa vyombo vya ulinzi. Mhalifu mwenye silaha awe kibaka, muuza unga au jambazi akiwa na silaha frontline ni kula...
  3. Sitakula kwa mama nitilie labda nione nataka kufa na hakuna namna nyingine

    Hi! Naweza nikaonekana nakufuru au naringa. Hapana, huo ni msimamo wangu tu kama wewe msomaji ulivyojiapiza kwenye baadhi ya mambo. Mimi sili kwa mama nitilie.
  4. Namna ya kujihami na Panya Road au Makundi ya namna hiyo

    NAMNA YA KUJIHAMI NA PANYA ROAD, AU MAKUNDI YA NAMNA HIYO! Anaandika, Robert Heriel Mara ya Kwanza Panya Road niliwaona mwaka 2016, Maeneo ya Tandale, kipindi hicho nilikuwa nasoma chuo, DSM. Kilichokuwa kinanipelekea Tandale licha ya kuwa nilikuwa nikiishi Sinza Lion; ni kwenda kushangaa...
  5. Katiba mpya ipatikane ndani ya miezi sita ili kudhibiti hii mikakati ya ufisadi unaoendelea. Jitihada za nguvu ya kila namna zifanyike

    Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna. Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora. Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais...
  6. Naomba muongozo wa namna ya kuJibu hili swali kuhusu private company vs foreign company

    Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya...
  7. Namna ya kujilinda na wezi wanaovamia kama kundi/wanaoandamana kama mbwa mwitu

    Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi. Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana...
  8. Msaada: Namna ya kuambatanisha Cheti cha Kiapo kwenye uombaji wa ajira za Afya na Ualimu

    Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please
  9. Namna nzuri ya kutumia Marketing sms (bulk sms)

    SALAM WAKUU Naomba mwenye kufahamu mfumo unaoweza kutuma sms kwa kufuata Location. Mfano kama ilivyo BULK SMS unatuma sms kwa watu wengi kwa Pamoja ukiwa umeweka namba za watu unaotaka kuwatumia sms Sasa nauliza hivi hakuna Mfumo unowezesha kutuma sms kwa location Fulani tu, Yaani kama nataka...
  10. VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

    Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!! Tazama na...
  11. Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

    Mbona mnakuwa kama watoto wadogo? Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa. Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua...
  12. Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

    UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
  13. Jua namna ya kufahamu kiasi cha MB ulichotumia kwenye kifaa chako

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kiasi cha data ambacho watu hununua na kutumika wengi wakisema wametumia data kwa muda mchache na hivyo kulalama wanapoona data imeisha kwa ghafla. Katika uzi huu naomba kuwajuza namna ya kujua matumizi yako ya data ili unapopokea sms ya bundle lako kuisha uwe...
  14. Vijana wengi wa kitanzania hawajui namna ya kuzika wapendwa wao

    Vijana wengi hasa wa mijini hawajui ni namna gani ya kuwazika wapendwa wao, hii nimeiona kwenye misiba kadhaa hasa ya kikristo wazikaji wanakodiwa. Kwanza ni waoga kuingia mortuary hawawezi kabisa, wakati wa mazishi kuingia kaburini wengi wao hawawezi kabisa kazi kunyoa viduku na kuvaa suruali...
  15. Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi. Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
  16. Namna ya kupiga Windows kwenye computer yako - Hatua kwa Hatua

    Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwa urahisi zaidi. Baada ya kusoma na kuangalia tutorials, utaweza kuweka Windows...
  17. Tanzania’s First Female President Wants to Bring Her Nation in From the Cold

    DODOMA, Tanzania — Shortly before midnight on a spring night last year, Samia Suluhu Hassan, then Tanzania’s first female vice president, appeared on television to announce to a shocked nation that the president was dead. President John Magufuli, an autocrat known as “The Bulldozer,” had denied...
  18. Anayejua namna ya kupata membership number ya ATEC 2

    wakuu habari na Poleni na majukumu Kuna ndugu yangu amemaliza accounting technician level 2 inayotolewa na NBAA anaulizia namna ya kupata membership namba msaada wenu wakuu
  19. U

    Picha mbalimbali za watu wa Jamii ya Wangbetu iliyo Congo namna wanavyorefusha vichwa vyao

    An elongated head was an ideal of beauty among the Mangbetu people, 1930 The Mangbetu stood out to European explorers because of their elongated heads. The Mangbetu people had a distinctive look and this was partly due to their elongated heads. At birth, the heads of babies’ were tightly...
  20. Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

    Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito. Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa. Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…