namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    SoC04 Namna ya kudhibiti matumizi holela ya dawa za binadamu mtaani

    Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
  2. Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  3. SoC04 Namna ya kutatua tatizo la ajira Tanzania

    UTANGULIZI. Kuna Msemo unasema kuwa "Ajira ni chache ila kazi ni nyingi". Hii inatupa tafsiri kuwa, ajira zinapatikana kwa uchache sana ila kazi (Kujiajiri)/Fursa, zipo nyingi na hii inategemea na uwezo wa mtu (Taifa) kuziona fursa hizo na kuzibadili kuwa fedha na kutengeneza ajira kutoka katika...
  4. Naomba kufahamishwa namna ya kupika nyama ya kopo.

    Nawasalim kwa jina la TZ. Naomba kufahamishwa jinsi ya kuipika,ama kuiandaa kwa ajili ya kula nyama ya kopo. Ninapoenda supermarket hua naiona sana nyama hii ya kopo,natamani kuinunua,lkn sijui kuiandaa kwa ajili ya kula,ama kuipika maana najua tayari hua imekwisha kupikwa. Je ninaiandaaje kwa...
  5. Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran...
  6. Namna gani naweza kumuona Waziri nayemuhitaji?

    Naomba ushauri nmana bora ya kukutana na Waziri yoyote ninayemuhitaji
  7. M

    Msaada: Kuna namna ya kupakua tamthilia za Mexicans, Brazilians?

    Sana sana nahitaji Da Cor do Pecado /Shades of sin. Mwenye anajua namna ya kuipata hii mtandaoni, hata kwa kulipia 🙏🏻🙏🏻
  8. Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye storage. Naishia kuona video call 'history' tu ya tarehe husika. N.B: Nahitaji video husika urgently for...
  9. Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

    Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake. Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
  10. Mbinu mbalimbali zitumiwazo na wezi wa Magari na namna ya kuzizuia

    1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha vifaa viwili ambavyo ni "relay transmitter" na "amplifier", hivyo wanatumia vifaa hivi kuidanganya gari...
  11. Yaani nimenunua Mwenyewe Nguo ya Mamelodi Sundowns halafu Waziri wa Tanzania anipangie namna ya Kuivaa Jumamosi?

    Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni. Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC. Uzalendo...
  12. Jinsi ya connect simu yako na Computer/ laptop kwa kutumia Xender

    1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako 2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini 3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
  13. D

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi? Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
  14. Namna ya kujiunga na UTT AMIS

    Hellow friends, naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na hii kitu
  15. Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi "Naomba kutoa pole kwa watanzania wakiwemo wananchi wenzangu wa Mkoa wa Arusha hususani Jimbo la Monduli kwa kuondokewa na mpendwa wetu Waziri Mkuu...
  16. Namna ya kupunguza msongamano wa Maroli yanayokuja ndani ya mji kushusha mzigo kwenye ICD

    Changamoto ya foleni ya Malori yanayoingia katikati ya mji wa Dar kwenye Bandari kavu (ICDs-Inland Container Depots) na yards za kushushia mizigo inabidi itatuliwe kwa wamiliki wa Bandari kavu na Yard kuwa na mfumo wa Tehama. Huu mfumo itabidi kila Bandari kavu wanapopata order ya magari ya...
  17. Tanzania yajadili namna ya ununuzi wa dawa adimu kutoka Cuba

    Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na Wakurugenzi wa Wizara ya Afya leo Februari 2, 2024 wmekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Bw. Humphrey Polepole, wadau wa Hospitali, MSD pamoja na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA)...
  18. Tumepuuza namna ya Ki'Magufuli ya kuendesha nchi yetu matokeo yake tumeharibikiwa kila pahala!

    Kuifanya akili igome kukumbuka tulikokuwa tumefika kama nchi, tukasahau masuala ya shida ya umeme, huko kunaitwa ni unyanyasaji wa mfumo ubongo, na anayekataa tusikumbuke ni aidha yeye ndo mchawi wa hii nchi Na nataka niwaambie wote mliokuwa mkimdhihaki Magufuli, sasa mnaumbuka vibaya sana...
  19. Y

    Naomba kujua namna ya kufanya akaunti ya youtube ilipwe

    Habari naomba kujua namna ya kufanya akaunti yangu ya YouTube ilipwe
  20. Waandishi wa habari wa Tanzania, baadhi wasivyojua namna ya kusimamia maudhui ya taarifa za viongozi wa juu kama Raisi

    Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe.... Uvivu wa baadhi ya waandishi wa habari kuhariri,kulingana na muktadha kunasababisha baadhi ya watu kutoa taarifa ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…