nami

"Al-Damad" Ahmad Nami or "Damat" Ahmet Nami (Arabic: أحمد نامي‎) (1873 – 13 December 1962) was an Ottoman prince (damat), the 5th Prime Minister of Syria and 2nd President of Syria (1926–28), and a lecturer of History and Politics.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo. Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
  2. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nami nimemuadhibu mpenzi wangu aliyenijeruhi kwa kunipiga kichwani

    Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka. Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa mapigo ya kichokozi chokozi, lengo ni kuniamsha hisia ili niweze kusamehe na kusonga mbele. Mimi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  4. G

    JamiiForums Tanzania MO alishatia Bilioni 20 kitambo na bado anaendelea kugharamika kwa mapenzi ya timu, ni wajinga pekee wanahoji nami nawaelimisha kuwatoa ujinga

    mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba, Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika, wachezaji wa simba wana soko...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ukitasikia, studioni ulikuwa nami Manju wa Muziki Masoud Masoud

    Habar wana JF. Mara kadhaa nimebahatika kumsikiliza Ethnomusicologist Masoud Masoud wa tbc taifa. Jamani huyu jamaaa anajua kuchambua Muziki hasa wa zamani, na ala zake za Muziki, Historia na matukio ya enzi hizo. Duuu kweli Mungu amegawa vipaji. Jaribu kumsikiliza hutajuta. Hewani anakuwa...
  7. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Furahia pamoja nami katika kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

    Habari wadau wangu, Namshukuru Mungu kuiona siku ya leo wengine hawapo duniani ila ni mapenzi ya Mungu kuniweka hadi leo kufurahia siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu kwangu naona ni neema ya ajabu mno kuona siku hii. Namshukuru Mungu kunipa afya njema na kunipa tumaini jipya basi enjoini...
  8. SankaraBoukaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

    Habarini humu wandugu,, Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani. Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya...
  9. D

    JamiiForums Tanzania AGIZA NAMI KWA BEI NAFUU

    1 Habarini, Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na kukosa nafasi au mtu wa kumuagiza bidhaa. Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu

    Habarini, Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na kukosa nafasi au mtu wa kumuagiza bidhaa. Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shehena ya Zawadi kutoka kwa Wamarekani ikiwafanya Wanaume watakaoitumia wasipende 'Kubong'oa' hovyo nami nitakuwa naitumia Kunakotukuka

    Na nasikia majaribio yake yanaanza kwa Wakazi wa Dar es Salaam na ninachoshukuru hasa GENTAMYCINE kuwa tayari nimeshahama Dar es Salaam tokea tarehe 18 Februari, 2024 na sasa nakula zangu tu Kipupwe cha Mapinga nikiwa na Makomandoo wa Kiharaka hivyo hiyo Shehena ya wasiwasi kwa Team Kuzalisha...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaoungana nami Kesho kuomba Uraia wa muda wa Taifa la Ghana tutambuane tafadhali

    Kuna Wenzetu wengine kwa Roho zao Mbaya leo walijipendekeza kuomba Uraia wa Taifa la Morocco ila baadae kwa Kuumbuka na Kuonana Onana wakaamua tu kurejea kuwa Wananchi wa Tanzania. Mume kamaliza Kazi leo tarehe 19 Desemba, 2023 hivyo ni matumaini yetu kuwa na Mke nae Kesho tarehe 20. Desemba...
  13. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwaamini marafiki wa kiume wa mwanamke. Aliejifanya ni rafiki wa ex wangu alikuwa ananichukia nami nilifanya maksudi kufumua mshono

    KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE? Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
  14. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii pisi iko bize na kazi haina muda kuwa nami au ndo nikatafute hela kwanza?

    Wakuu Umuofia, Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho. Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi. Sasa nimerudi humu Jf kuwalilia wakuu wangu. Najua humu kuna...
  15. The Eric

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakazia, wasipewe simu kubwa

    Salaam jukwaa la MMU Ni kweli mtoa mada kaongea kishamba kwamba wasipewe simu kubwa ila mimi niko naye bega kwa bega kwa sababu hizi. 1. Hawa wa kutokea kolomije wa darasa la saba sio lazima sana wanavo fika mjini kuwaanzishia simu labda iwe ndogo, kama ni simu kubwa atashika yangu tena kwa...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya mzee wangu kusomea Udaktari, Engineering au Sheria imetuokoa sana Watoto wake hence prooven, Nami sina budi kuiendeleza kwa watoto

    Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu. Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba nilipata msaada mkubwa...
  17. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuna Evidence kwanini Rais Samia kasema wananchi hawajui katiba NAMI naunga mkono👇

    Iko hivi! Rais na chama chake wamepiga matukio mengi ambayo Raia wangeakua wanatambua haki zao kikatiba CCM ingeweza kuwa historia hivi tunavyo ongea. Kwa uchache . 1 ufisadi mkubwa awamu mbalimbali za utawala wa CCM wananchi wamekaa kimya. . 2. Wizi wa kura wa wazi wazi wananchi kimya. 3...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kaa na ujenge nami

    Update: Leo nimeanza kunyayua nadhani kesho kutwa ntamaliza kozi 10 nisubire kufunga mkanda na kumalizia 3. Mwaka huu mwezi wa tatu kwa kipato changu nikaamua kujipiga piga na mimi nianze ujenzi. Kwanza nilianza kwa kununua tofali za msingi inch 6 kila tofali ilikuwa Tzs 1200 na nikanunua...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

    Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata la bandari limeanza. Uwekezaji ni mzuri sana, hasa unapofuata misingi sahihi. Hasa kwa bandari zetu, hizi zinataka mapinduzi makubwa sana kutoa au kuondoa ukiritimba uliopo. Hivyo siwezi kupingana na aliyeleta hoja ya kuwakaribisha...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoamka wakiwa na mikwaruzo, ondoa shaka, usipaniki. Nami nishawahi kupata hii hali na huu ndio mrejesho wangu

    Mara kadhaa nimeona hili tatizo watu wakiliibua na hata humu ni juzi juzi kuna mtu kaanzisha uzi, nimeona ni vema nilete experience yangu. Mimi hali ishawahi kunipata, dah we acha tu, nikafikiria mbali kwamba natembelewa na wachawi, nilipaniki sanaaaaa!! nilianza kulala saa tisa au kumi natumia...
Back
Top Bottom