Update:
Leo nimeanza kunyayua nadhani kesho kutwa ntamaliza kozi 10 nisubire kufunga mkanda na kumalizia 3.
Mwaka huu mwezi wa tatu kwa kipato changu nikaamua kujipiga piga na mimi nianze ujenzi.
Kwanza nilianza kwa kununua tofali za msingi inch 6 kila tofali ilikuwa Tzs 1200 na nikanunua tofali 1400, kufunga mkanda nilitumia nondo 28. Tofali. Kisha tukapata na fundi ujenzi hadi kufunga mkanda wa msingi. Baada ya hapo akanishauri tujenge mashimo ya choo ili kile kifusi kitumike kwenye kujaza msingi.
Tofali zilibaki nikaongeza tena tofali 150 za inch 6 kwa ajili ya kupata tofali za kutosha kwa ajili ya kujengea mashimo. Napo zimebaki kama tofali 30 za inch 6 ambazo fundi kasema zitatumika kujengea ngazi.
Hapana ndipo nimemaliza mwaga zege shimo la mwisho. Nishaweka tofali 800 nitaongeza tofali nyingine 1000 aanze kuinua. Huku tofali za kujengea kuta ni Tzs1100 ambazo ni ngumu. Mpaka sasa ikiwemo hizo tofali 800 nishatumia milion 6.3.