Hii tabia ya wadada kukubali uchukue namba zao ila wao kuja gheto ni kama unatongoza mara ya pili...

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,402
Nawapa hongera wale wadada wasiotoa namba zao za simu, kuliko hawa wanaotoa namba ila ukiomba kukutana nao siku flani, hata kama ni kwenye mgahawa mpate soda mbili tatu, ni kama vile unapanga appointment ya kukutana na mheshimiwa rais..hizo sababu na kalenda utakazopigwa, usipoweza jizuia hasira, unaweza ishia kumtukana mdada wa watu.

Ukimwambia mdada aje ghetto, atakwambia nakuja, subiri na ww, MTU hatokei. Hahaaahaa

Hawa wadada wa sahivi, wengi wao ukiwaweka moyoni utaishia kuwa mwanaume wa kuhuzunika kila siku, bora tu ukimwona Mwanamke mwenye chura unamtongoza tu, mwenyewe atadhani umedata, kumbe rohoni, huna time nae hata kidogo akizingua leo, kesho yake umeshamsahau.
 
Kwahiyo siku hizi kuomba namba ndio kutongoza na kupewa namba ndio kukubaliwa?
Idadi ya wanaume wenye akili inazidi kupungua kwa kasi sana. Nasikitika maana tunaelekea kubaki na wajinga kama mtoa mada.

Naona umetafta logic ya kunitukana, haya umeipata, kwani ninavokuomba namba ya simu na mm si nduguyo, si jirani, wala hatuna biashara ya kuongea, na mm ni wa kiume nliebalehe, c lazma tu utajua nataka nkutongoze Hannah
 
Unazidi kuthibitisha ujinga wako.
Mimi nakujua hadi nijue hauna biashara ya kujadili na Mimi?
Kwahiyo umekuwa domo zege kiasi kwamba unatongoza kwa kuomba namba ya simu?
 
Unazidi kuthibitisha ujinga wako.
Mimi nakujua hadi nijue hauna biashara ya kujadili na Mimi?
Kwahiyo umekuwa domo zege kiasi kwamba unatongoza kwa kuomba namba ya simu?

Namba ya simu inaharakisha process, Kwahiyo ulitaka utongozweje kwamfano, unajiwekea standards za kutongozwa, kwani ww special sana au.. Hannah
 
Ww ni mshamba wa kutupa namba sio kigezo cha mwqnamke kukupenda wengine wanakupa ili aondoe distubance na ukipiga hapokei SMS hajibu jifunze kuwasoma wanawake
Mm mwanamke pekee nimae amini ni wangu ni yule niliefanya nae Doggy style ata akinikubalia lkn akigomq doggy najua hanipend ana lake jambo
 
Unazidi kuthibitisha ujinga wako.
Mimi nakujua hadi nijue hauna biashara ya kujadili na Mimi?
Kwahiyo umekuwa domo zege kiasi kwamba unatongoza kwa kuomba namba ya simu?
acha nimteteee,,, kuna mdada unaweza kutana nae...na unajua usipopata namba yake possibility ya kuonana nae tena ni ndogo sana,,, kwahiyo inakubidi upate namba yake ili iwe kiunganisho cha kumuweka karibu...Hawezekani nikuone tu ghafla labda barabarani afu nikutongoze utaniona Chizi na huwezi kunikubali hata kidogo....Ni bora nikuombe namba mambo ya kukutongoza yatafata baada ya kuendelea kuwasiliana nawewe

NADHANI MLETA UZI ALIKUWA ANALENGA HIVYO
 
Unazidi kuthibitisha ujinga wako.
Mimi nakujua hadi nijue hauna biashara ya kujadili na Mimi?
Kwahiyo umekuwa domo zege kiasi kwamba unatongoza kwa kuomba namba ya simu?
Ila tuongee ukweli tu jamani kwa wakati wa sasa mwanamke akikupa namba ya simu ni kama amekubali kwa asilimia 90.
Mwanamke ambaye hataki mwanamme huwa hatoi namba otherwise muwe na biashara zinazoendana na umuweke wazi biashara zako na athibitishe.
Naongea kwa uzoefu,wanawake karibu wote ambao niliwaomba namba na wakanipa niliwala tena kiulaini tu.
 
Very true...Mwanamke akikupa namba bila kukuulizia sababu ya wewe kumuomba...in reallity anakuwa amekukubali kwa asilimia kama 70 hivi...

Ila ukiona kabla hajakupa anataka kwanza umpe sababu za wewe kutaka namba yake apo jua hakupendi na hajavutiwa nawewe hata kidogo...
 
Back
Top Bottom