naibu waziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu David Kihenzile, Naibu Waziri Mpya wa Uchukuzi

    Na; Thadei Ole Mushi. Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyofanywa siku sita zilizopita yanatoa somo kwenye mambo mawili makubwa. 1. Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kuachana na Mawaziri na Manaibu Mawaziri ambao aliwarithi toka kwenye awamu zilizopita. Maingizo ya watu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kuteuliwa Kwa Naibu Waziri Mkuu ni ishara ya kuaminiwa kwa majukumu makubwa zaidi kimataifa PM Majaliwa na Rais Samia

    Tofauti na wengi wanaoona ,uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu umekuja kufuatia mamlaka kutomuamini Waziri Mkuu lakini mtazamo huo upo tofauti na mtazamo wangu. Kwa mtazamo wangu, mamlaka imemuamini sana Waziri mkuu na uteuzi huu una lengo la kumuamini zaidi kwa majukumu makubwa ya kimataifa. Sote...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huenda Khamis Mwinjuma (Mwana FA) ndiyo akawa Naibu Waziri wa ovyo wa Wizara aliyoko

    "Ni kweli tuna Mechi ngumu na muhimu dhidi ya Algeria ila tumeamua kutotangaza Maandalizi yake ili kutowapa Presha Wachezaji kutoka kwa Mashabiki na Wanamichezo. Pia nichukue nafasi hii kuwataka Watanzania wenye kujua waliko Waganga wa Kienyeji wazuri wakawaambie watusaidie ili Taifa Stars...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika

    Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki kuonyesha bidhaa zao,kujitangaza na kukuza soko la...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini - Mkono wa Dola Utawashukia Wahalifu Awe Mkulima Au Mfugaji

    NAIBU WAZIRI SAGINI - MKONO WA DOLA UTAWASHUKIA WAHALIFU AWE MKULIMA AU MFUGAJI Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa Serikali kupitia Jeshi la Polisi haitakuwa na uvumilivu juu ya Mwananchi yeyote awaye Mkulima au Mfugaji ambaye analengo la kuvuruga...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Eti Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni yupi hapa?

    Nimeuliza tu ili tusije kukuta na mmoja tukampa heshima ya cheo kikubwa kumbe siye.
  7. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Salamu za Mch. Mbarikiwa Mwakipesile kwa Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu

    Keypoints: Biteko amechaguliwa kusaidia kukisafisha chama cha CCM kwani kina makandokando mengi sana. Biteko ni mtu muadilifu na muungwana na hajikwezi kama wengine. Kama waziri wa nishati, Biteko aangalie maeneo 2 ya msingi ambayo ndiyo chimbuko la matatizo yote, bei ya mafuta na upatikanaji...
  8. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
  9. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kikatiba Rais Samia yuko sahihi kumteua Naibu Waziri Mkuu

    Nawasalimu Waungwana wa JF, Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums. Hivi punde, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri...
  10. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa? Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu...
  11. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe Azitaka Taasisi za Wizara Yake Kupanga Mipango Inayotekelezeka

    Naibu Waziri Kigahe Azitaka Taasisi za Wizara Yake Kupanga Mipango Inayotekelezeka Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ameiagiza Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake kuhakikisha Mipango yote inayopangwa kila mwaka inaendana na mwelekeo wa Viongozi Wakuu wa Nchi, Mipango...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Ardhi abaini Hati 420 za Ardhi hazijachukuliwa na Wamiliki Kilimanjaro

    Siku chache tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. #AngelineMabula abaini Wamiliki 65 hawajajitokeza kuchukua Hati zao Wilayani #Makete, Njombe, Naibu Waziri wake #GeophreyPinda amekutana na hali hiyo mkoani Kilimanjaro. Pinda amebaini hali hiyo baada ya kufanya ziara katika...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dugange Aipongeza TARURA kwa Kazi Nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara

    Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini. Pongezi hizo amezitoa wakati alipotembelea mabanda ambayo yapo...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima

    Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amesema ni muhimu kuwa na Viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ili kusaidia kuchakata na kuongeza thamani mazao yanayolimwa nchini ikiwemo matunda kwa mahitaji ya soko la...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwakibete atoa pongezi kwa Chuo cha Bahari (DMI)

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Atupele Mwakibete (MB), amekipongeza Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kwa kuendelea kutoa mafunzo ya Ubaharia kwa maendeleo ya Uchumi wa Bluu. Mhe. Mwakibete amesema hayo alipotembelea kwenye banda la Chuo cha Bahari Dar es Salaam kwenye maonesho ya...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Atupele Mwakibete: Serikali haibinafsishi Bandari kwa mwekezaji, anakodishiwa

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amesisitiza kuwa mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai siyo wa kubinafsisha, bali ni ukodishaji wa shughuli za uendeshaji kwa mwekezaji. Akizungumza jijini Mwanza Julai 30, 2023 wakati wa mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Exaud Kigahe awasili Ofisi za Wizara mtumba Dodoma

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023 , baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuiongoza Wizara hiyo...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katambi - Serikali Itaendelea Kulinda Maslahi ya Vijana

    NAIBU WAZIRI MHE. KATAMBI - SERIKALI ITAENDELEA KULINDA MASLAHI YA VIJANA Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inawajali vijana na itaendelea kulinda...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Exaud Kigahe (Mb) ameshiriki ufunguzi wa Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na China

    Naibu Waziri Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) Kwa niaba ya Waziri Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameshiriki ufunguzi wa Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na China lililofanyika hoteli ya Golden tulip jijini Dar es salaam. Kigahe amesema kuwa makampuni kutoka China...
Back
Top Bottom