Kwa heshima na taadhima ninalazimika kuuliza:
Ni miye peke yangu nisiyemwelewa huyu ndugu ambaye anafahamika kama mwasisi kindaki ndaki wa tozo?
"Gateway ya internet kuwa nje maana yake nini?" Nani aliipeleka huko? Inarudishwa vipi hiyo nchini?
Au kwa nini anaumia mno makqmpuni ya simu...
Hoja ya Zungu kwa wenye akili watafikiria vizuri na kuisupport, serikali imekua ikipoteza mapato kupitia bando. Sasa hivi matumizi makubwa yamehama kutoka kwenye voicecall na kuwa kwenye bando.
Hivyo ninaomba kwa wale wenye akili waunge mkono wazo Hilo la serikali kwa kufikiria na kuja na tozo...
Preamble:
Fikiria una nyumba 1000, zote zina huduma ya umeme na fiber. Zote zina matumizi ya kawaida ya umeme na fiber.
Kwa kawaida gharama ya umeme iko chini kushinda fiber. Nyumba moja inaweza kutumia 20,000/= kwa mwezi kwenye umeme. Kwenye fiber kifurushi cha 50,000/= unlimited kwa mwezi...
Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali.
Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
Aliyekuwa Diwani wa Wadi ya Sirikwa (MCA) Alfred Mutai amenyakua kiti cha ubunge cha Kuresoi Kaskazini katika uchaguzi uliofanyika Jumanne, Agosti 9.
Mutai, ambaye alikuwa akiwania Ubunge kwa tiketi ya Chama cha UDA, amepata kura 25,365, na kumshinda mshindani wake wa karibu, aliyekuwa Naibu...
Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge.
Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho...
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada...
Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
Akizungumza leo Jumapili Februari 6, 2022 mara baada ya kuchukua fomu hiyo Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyongo amesema ameamua...
Kila Chama chenye Uwakilishi Bungeni kinachokusudia kushiriki, kinashauriwa kuanza mchakato wa kumpata Mgombea miongoni mwa Wabunge wake
Jina la Mgombea linapaswa kuwasilishwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi kabla ya Saa 10:00 Jioni, Februari 10
Ni ushauri tu.
Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.
Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge.
Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022
Leo ni mwendelezo wa mada ya wiki iliyopita kuhusu Spika Bora na Bora Spika, Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika Bora. Je CCM Ituteulia Spika Bora, au Bora Spika Kama Kawa?. Isipo...Karma Ita..
ambapo niliwaomba CCM...
1. Awe ni TISS Agent
2. Awe ni Mmedani ( JWTZ ) Mstaafu
3. Awe Lawyer na Diplomat tu
ANGALIZO
Hakikisha awe ni Muislamu kwa Imani ( Dini ) halafu awe anatokea Visiwani ( Zanzibar Isles ) na kamwe asitokee huku Kwetu Tanzania Mainland.
Mheshimiwa Rais wangu Samia kama ambavyo hukuniangusha...
Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapo utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.
Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazi.
Nani atatufaa?
Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?
Maendeleo hayana vyama.
Hoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa moja kwa Naibu spika kugombea Uspika. Waliokatazwa kwakutaja moja kwa moja ni Waziri au Naibu waziri...
Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana anauomba Uspika kamili, na bila shaka ameondoka kwenye ofisi ya Naibu Spika kwa lengo la kuepusha...
Baada ya beef za Ndugai kwa Rais Samia naibu spika amekuwa mkimwa sana akisubiri spika ajichimbie shimo mwenyewe. Sasa huu mwanja ni mzuri kwake. Ndugai hata Magufuli alikuwa hampendi
Huwa namfuatilia mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia huyu pamoja na Ubunge ni Naibu Spika ni msomi mzuri wa Sheria. Lakini kiukweli akili ya kisiasa hana kabisa toka anajindaa kuwa Mbunge mpaka anakuwa Mbunge hakuna mambo ya maendeleo ya maana anayoyafanya. unamwona anaangaika na petty issues za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.