nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prayallthetime

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

    Ndugu Zanguni Poleni Na Majukumu . Nimekuja hapa kwa ajili ya ushauri wenu ,atakaenibeza Mungu amsamehe . Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mzuri . Siku ya kwanza wakati nashiriki nae nimeshiriki nae kwa kupeana denda na kuchezeshea mzee sehemu yenyewe ,kuingia ikafanye kazi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa Lori kwa dereva anayepita Ziba Igunga

    Nataka kusafiri kwenda Ziba lakini Sina hela ya basi naomba kama Kuna dereva wa Lori anayepita njia ya Igunga aniache Ziba, nitachangia kidogo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua MAGNETIC QUANTUM ANALYSER. Anayeuza tuwasiliane

    Jamani Nina hitaji hichi kifaa kinaitwa MAGNETIC QUANTUM ANALYSER kina pima maradhi mwilini ninashida nacho, So anayeuza au kama unafahamu mahali kinapouzwa Ninakihitaji haraka iwezekanavyo.
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watu 10 niwauzie raman za nyumba kwa bei rahisi tu hamna haja ya kuumizana wote tujenge kwa ramani

    Raman hizi zote unazoziona hapa zina vyumba 2 vya kulala Nichek 0743 257 669 Natoa ofa kwa watu 10 tu niwape hizi raman Nina stock ya raman zaidi ya 500 na nachora nyingine mpya kila siku niletee oda yako Sitak Mtanzania ujenge bila raman ya nyumba Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji jackhammer ya kukodi

    Napatikana dar nahitaji jackhammer ya kukodi mwenye nayo anicheki 0672704891
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Usaidizi Kujua Neno "solid" kwa kiswahili

    "Solid" ni nini kwa kiingereza?
  7. ipyax

    JamiiForums Tanzania Nahitaji magunia ya kuwekea tumbaku

    Waheshimiwa nakuja kwenu kwa heshima na taadhima siku ya leo, nahitaji magunia ya kuwekea tumbaku (Heysian bags). Hapo Tanzania naweza nikaipata wapi kwa bei nzuri?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pesa za moto

    hakuna muda wakupoteza nahitaji pesa zachap chap .yan ndani yamuda mfupi maisha yangu yawe good. Nahitaji wazee wa connection mnishike mkono kijana wenu NOTE; kwenye hili niko serious zaidi ya unavyodhani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya Kupanga Kigamboni haraka.

    Habari wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni. Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea. Nyumba iwe na Chumba master, sebule na...
  10. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke mchepuko ambae anapenda ngono yani very sensitive with high libibo

    Kama umekizi vigezo hivo Kuna uwezokano ukaolewa kabisa kabisa muhimu uwe nasifa hzo, angalau mara 3 Kwa siku itakua vyema. Kama UPO serious njoo pm mbwembwe peleka Kwa ma uncle
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuelewa juu ya mafao ya hazina

    Nahitaji kupata uelewa juu ya haya mafao ya hazina. Naomba nipeni elimu. Nahitaji kujua mambo yafuatayo: 1. Mtumishi (mwalimu, daktari, Nurse, TRA, EWURA, TANESCO) aliye staafu analipwaje stahiki zake na hazina 2. Mtumishi (mwalimu, daktari, Nurse, TRA, EWURA, TANESCO) aliye fariki ndugu...
  12. Imchomvu

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MKE

    Habari wapendwa Naishi Vikindu Pwani Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari tuwe na familia Km yupo anicheki DM Au Whatsapp kwa namba 0694599179.
  13. Imchomvu

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MKE

    Habari wapendwa Naishi Vikindu Pwani Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia Km yupo anicheki DM
  14. Strong25

    JamiiForums Tanzania Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri

    Habarini waungwana Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _ flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi wajuzi wahayo mambo msaada plz
  15. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji unlimited internet

    Nawasalimia kwajina la jamhuri Naomba kuuliza ivi sipati W-Fi ambayo ni unlimited kwa wastani wakama 30,000 kwa mwezi..? kama ipo bas naomba msaada wa namna yakuipata maana hizi za 70,000 kwamwezi siziwezi hata ikiwa ni 50,000 kwamwezi sio mbaya
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari, IST

    Habari za usiku huu. Samahani waungwana, nahitaji ist no d iwe haijarudiwa rangi, iwe kwenye hali nzuri kabisa na isiwe na shida yoyote. Offer yangu ni 8.5m napatikana dar.
  17. simba wa dodoma

    JamiiForums Tanzania Maishà magumu Sana wadau nahitaji msaada

    Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
  18. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Amani iwe nanyi nyote Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
  19. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Series ya THE OVAL uanzia season 03 tafadhali

    Hii series nimeipendea confor ya Mr President. ila pia malezi yawatoto mwenye nayo naomba usiku huu huuu Tyler Perry's The Oval - Season 3 hii link sio rafiki
  20. Vamigo

    JamiiForums Tanzania Dunia inaniadhibu, nahitaji kuchukua maamuzi magumu

    Ndugu zangu naandika hapa nikiwa siko sawa mtanisamehe. Mm ni mfanya biashara (wakala) WA huduma za kifedha mpaka kufikia mwaka Jana mwezi WA 3 nilikua na mtaji usipungua milion 5. Ndani ya mwezi mmoja pesa ikaanza kupukutika, nyumba ambayo ni ni flem tulipo weka biashara zetu iliuzwa Kwa mtu...
Back
Top Bottom