nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Archnemesis 2-0

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtama (Sorghum) tani 70

    Habari Wakuu, naomba mfanya biashara wa nafaka tupatane tufanye biashara ya mtama.. requirement kwanzia walau tani 40 kwenda juu.. Asanteni.
  2. Sauti ya amani

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Probox used Nina 5.5M 0749442229

    Mwenye hyo gari nitafute ukiwa dar itapendeza zaidi
  3. Ngosha36

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ajira ya udereva

    Habari za usiku wapendwa me kijana wa miaka 26 Nmesoma mambo ya udereva Nina class A, A2, B, D, E Elim yangu Kidato Cha 4 Uzoefu wa miaka 5 Pia nmefanya kazi kampuni tofaut tofaut pia vyeti vya utumish ninavyo Nahitaji kampunii au taasisi au kiongozi kikubwa mkono uende kinywanii napatikana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye vitabu hivi

    Habari humu ndani. Nahitaji vitabu vifuatavyo: JANGA SUGU la WAZAWA, Vuta nkuvute, nzowa kama sijakosea pamoja na Nagona
  5. K

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI HOMETHETRE

    Habari wakuu,nahitaji hometheatre used iwe nzuri na iwe na muonekano mzuri nahitaji 5.1 ,kampuni yoyote ila ikiwa Lg itapendeza zaidi.
  6. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner wa kufanya naye biashara.

    Habari wakuu. Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi. Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu. Nipigie simu tuongee vizuri mkuu. 0754693556
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari kwa ajili ya kufanyia UBER/BOLT

    Nahitaji gari kwa hesabu au mkataba,,nipo dar es salaam,,.0678207562
  8. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Pumba za Mahindi na Mashudu ya Alizeti kwa Wingi

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi. Kuna tenda mezani. Zinahitajika: Pumba za Mahindi (Tani 74) Mashudu ya Alizeti (Tani 22) Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti...
  9. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nahitaji printer ya epson yenye hali nzuri. Nipo moshi

    Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro Njoo na ofa yako Mawasiliano. 0672701329
  10. benjamathayo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu singida

    habar za mda huu wadau wote wa sekita ya madini Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji muwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu mkoan singida nina lesen pml kuna maduara tayar udhalishaji ni 1gram kwa tani hadi 5gram kwa tani inategemea ni duara lina urefu gani lkn maduara yanapata miamba...
  11. 3

    JamiiForums Tanzania Nina sh 9m nahitaji gari kati ya haya

    Habari zenu. Nahitaji anayeuza kati ya gari hizi Ani pm tufanye biashara 2007 Nissan xtrail 2005 Suzuki grand Vitara Nissan dualis
  12. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine? Inachukua muda gani?

    Habari za humu wakuu, niko na swali hapa; Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
  13. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja bajeti 4ml

    Nahitaji kiwanja Buswelu,mwanza kwa bajeti tajwa hapo juu. Asante
  14. Mung Chris

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa pili nioe ndani ya miezi 5

    Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali...
  15. Sisa Og

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

    Habari zenu wakuu? Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills. Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway...
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wauzaji Terrazo floor materials

    Habari naomba nipate wauzaji wa material ya terrazzo floor
  17. PMWAKA

    JamiiForums Tanzania Watengenezaji Apps mje mnisaidie kitu.

    Wakuu ninashida na App, Mtu anaejua kudevelop mobile App using Android studio naomba msaada wako.
  18. Jane Msowoya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchai chai kilo 500

    Heshima kwenu wakuu. Nahitaji mchai chai mbichi (Lemon grass) Nahitaji kilo 500 max ila hata ukiwa na kilo 50 nachukua Kama mzigo unao karibu Whatsapp 0688301635
  19. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji filamu (Bongo movie) iitwayo "The Avengers" ya Jennifer Kyaka.

    Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao... 1. Jennifer Kyaka - Sterling. 2. Yusuph Mlela. 3. Jackline wolper. 4. n.k Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ya mkononi

    Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
Back
Top Bottom