Nahitaji kuelewa juu ya mafao ya hazina

Nahitaji kuelewa juu ya mafao ya hazina

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,263
Reaction score
12,197
Nahitaji kupata uelewa juu ya haya mafao ya hazina.

Naomba nipeni elimu. Nahitaji kujua mambo yafuatayo:
1. Mtumishi (mwalimu, daktari, Nurse, TRA, EWURA, TANESCO) aliye staafu analipwaje stahiki zake na hazina

2. Mtumishi (mwalimu, daktari, Nurse, TRA, EWURA, TANESCO) aliye fariki ndugu zake wanalipwaje stahiki zake na hazina

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom