Inahitajika nyumba ya Kupanga Kigamboni haraka.

Inahitajika nyumba ya Kupanga Kigamboni haraka.

Dynamics

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
249
Reaction score
352
Habari wadau.

Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni.

Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea.

Nyumba iwe na Chumba master, sebule na Jiko.

Kwa mwenye nyumba yenye sifa tajwa naomba tuwasiliane PM
 
Back
Top Bottom