nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana 50 kubandika bango mjini DSM.

    Asee wakuu kwema? Kijana abandoned bango 100, kila bango 1 shilingi za kitanzania 800. Bandika bango 100 uchukue 80000 mzee mambo yasiwe mengi.. Kazi inataka watu wa dar wenye ari na nguvu na uhitaji wa kazi. Tunapendelea kufanya kazi na wa kiume zaidi. Kazi itaanza jumatatu na mwisho wa...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu tofauti kati Certificate of registration for Taxpayer Identification Number na Service levy

    Natumai mmeamka salama Familia ya wanajf Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba msaada wa kufahamu tofauti kati Certificate of registration for TIN na service levy(BRELA)
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji connections za redioni hasa hasa Crown fm, Mjini fm, Times fm na E fm

    Wakuu, nimeamua kujiBabu Tale. Nimefikiria mbali sana kimaisha, ikanibidi nitafute wasanii chipukizi wanaopanua makoo yao kwenye viwanja vya mpira nyakati za jioni nikaona wacha niwasapoti kimuziki huenda nitapata chochote hapo baadae hususani kwenye ma show pindi watakapokuwa wakubwa Au kama...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji vindama vya mbuzi

    Wapi naweza kupata Vindama vya mbuzi kama 20 na kwa bei gani? Nataka niweke shambani kwangu Mimi nipo dar.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwenza/mchumba/mpenzi/mke

    Asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Naomba kufahamu mji wa shinyanga nakama kuna mwenyeji ani Pm Tafadhali kama. Sio mwenyeji usinipm
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye, leo mimi ndio nahitaji ushauri kwenu wanajamii

    Iko hivi, 1. Leo nimegundua kuwa mwanamke ninaempenda sana ana ugonjwa ambao ni mtihani kwa watu wengi sana. 2. Ndugu zake wamekuwa wakiniharakisha nimuoe huyu binti tangu mwezi ule wa kwanza wa kukutana kwetu. Hiki ni kitu kilinitisha sana nikachagua kuvuta subira kwanza mpaka nijue ni nini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, nipo Tarime

    Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kindau kama hiki kwa ajili ya kukodi

    Nimefikiria suala la kukodi fremu na kuirekebisha ili kuanzisha biashara yangu ya glosari naona ni gharama, bora kipatikane kindau cha kukodi kama hiko. Bei zake zikoje, kwa hicho kindau cha chuma na kile cha mbao
  10. JamiiForums Tanzania Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

    Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?. Naomba hili swali nijibiwe na...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba kinondoni

    Wapendwa habari Kama una namba za dalali au chumba cha kupangisha maeneo ya kinondoni kindly pm me your number so that i can call you , natanguliza shukrani zangu za dhati.
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji Scholarship ya kusoma SHAHADA YA SHERIA (LL.B) Nje ya Nchi -Naomba Ushauri wa Wadau

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. Nina...
  13. M

    JamiiForums Tanzania nahitaji mke wa kuoa aliye tayari

    mke awe na umri wa miaka 25 - 33 dini mkristo kazi yoyote asiwe na mtoto awe na upendo wa kwel na hofu ya mungu.... mwenye vigezo karibu pm
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada mwenye contacts za Nempak Tanzania

    Jamani nahitaji mawasiliano ya Nempak. Kama Kuna mtu mwenye number zao za simu zinazopatikana anisaidie. Natanguliza shukran za dhati.
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji tenda ya kuzibua mitaro, siogopi kinyesi wala tope

    Kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nianze kufanya kazi ya kusafisha na kuzibua mitaro sehemu mbalmbali za jiji la Dar es salaam. haszu Confession @cutewife Nawengine ambao mnaweza kutoa tenda mje,. hakika koleo na vifaa vingne muhimu vipo vinasubiri wateja.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji cheti cha kuzaliwa kwa haraka, inawezekana?

    Salamu,wadau! Nina umri zaidi ya miaka 45, sina cheti cha kuzaliwa. Nahitaji kitambulisho hicho kwa dharura ili niweze kuomba passport. Nina kitambulisho cha taifa (National ID), kitambulisho cha kazi, na TIN Number. Je, nifanyeje kupata cheti cha kuzaliwa?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata utaratibu wa hili kutoka Latra

    Samahani waungwana mimi ni dereva bolt nipo Mwanza lkn ninasiku km 30 sijaingi mzigo kwani document yangu moja ya Latra sina. Kwahiyo account imefungwa. Nilitamani kupata uzoefu kidogo kwa ambae amewahi kulipia na akapata latra anisaidie namna wanavyoipata ili hatimae niingie mzigoni maana...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji PC used bajeti ni laki mbili tu

    Nipo Songea nahitaji pc yenye kuanzia 5th generation na core 5, bajeti ni kilo 2. Lakini pia napokea ushauri wenu. Nahitaji kwa kazi ya software za simu tu especially 4 bypassing services and works Meseji tu 0759189534
  19. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vifungashio vya jumla

    Nahitaji mifuko ile ya nailoni nyeupe ya kupimia kilo moja na kilo mbili hivi - ile mifuko ya kawaida kabisa sio ile yenye seal (sihitaji ile ya rangi) na Vifungashio vingine tofauti tofauti Naweza kupata wapi kwa Jumla (carton)
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya kuchaji used

    Wakuu habari, nahitaji pikipiki ya kuchaji used weka Bei na waqasiliano na pcha ya pkipki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…