nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina milioni 6: Nahitaji partner wa biashara

    Ninayo milioni 6 kwa ajili ya biashara. Nahitaji partner wa kufanya nae biashara. Partner ni lazima awe tayari kuwekeza kiasi hicho hicho cha pesa kwenye biashara. Yaani jumla tuwe na milioni 12. AINA YA BIASHARA Nipo tayari kufanya biashara yoyote kati ya hizi; 1) Alluminium 2) Kuuza spare za...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujifunza udereva na kupata cheti pamoja na leseni kwa ujumla

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya mafunzo ya kuendesha Magari japo haya mdogo kwanza lakini muhimu nijipatie cheti... Ningeomba kujua pia...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada Tutani: Nahitaji Paving grid

    Habari Wataalamu, Naomba contacts za kiwanda cha kutengeneza paving grids, Hizi ni badala ya pavements na zinafaa Sana sehemu yenye majimaji au udongo unaokaa na maji, Zitasaidia kuondoa usumbufu kwa sehemu ninapokaa, mwenye contacts anisaidie, Nikiziangalia ni rahisi kutengenezeka, lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma niko mpweke sana, nahitaji company (sio mpenzi) kwa ajili ya kufurahiana

    Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar πŸ˜” Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu yangu tu, nitajipikilisha pale au nitaoka kuku/beef na k vant kubwa pembeni pamoja na tonicwater...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mwenye taaluma ya uhasibu

    Habar ya jioni wadau. Kindly fall through πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Anahitajika: Kijana mwenye taaluma ya uhasibu kwa ajili ya kufanya kazi. Sifa: Kijana wa kiume, kulingana na mazingira ya kazi na uwajibikaji husika. Elimu kuanzia ngazi ya Diploma Uzoefu - Atleast awe na background ya kufanya kazi za kihasibu...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji mbuzi wa maziwa wa kununua

    Habari ya majukumu wakuu. Ninahitaji mbuzi wawili (jike) wa maziwa. Sina uzoefu hasa wa majina ya breed zake lakini itoshe kusema kuwa wawe ni wale wa kisasa ambao wanatoa maziwa kwa wingi. Kama unafahamu mahali wanapopatikana tafadhali naomba usisite kunijulisha. Shukrani. 0755964775
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtambo wa Solar Power used

    Kwa wale walio karibu na Mikoa ya Mbeya au Songwe na una miliki Mtambo wa Solar power basi nahitaji tafadhari. Kama ni unahama kwenda Mkoa mwingine au una shida tu kidogo. Basi mteja nipo hapa naomba tuwasiliane. Ukubwa wa Mtambo wa Sola nahitaji ni kuanzia:- Battery N70 & Solar Panel Watt100...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji sukari nyeupe na sio k.k

    Nahitaji anaeuza sukari nyeupe ila sio k.k Mwenye anaweza pata namjomba pm
  9. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nahitaji Kiwanja DSM cha Sqm 800-900, location KIGAMBONI Dege, Geza, muongozo, mwembe mdogo, cheka au KINYEREZI, kisiwe mbali na Main road. Offer 13M

    Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji betri ya Solar kama hii

    Wakuu, me nahitaji battery ya Solar power ambayo imeungwa na CHARGING CONTROLLER moja kwa moja Kama hili.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji washirika/partners

    Habari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji washirika

    Habari wakuu. Kijana mwenzenu nimefungua chuo na nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Nahitaji washirika wa kusaidiana kupata wanafunzi kwa mkataba maalum wenye manufaa kwa pande zote. Chuo kipo arusha kina mazingira mazuri mno kimesajiliwa na kilakitu kipo sawa. Dm for more information
  13. JamiiForums Tanzania Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanza biashara ya maharage. Mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake anijuze

    Natumai mko vema nilikuwa nahitaji kuanza biashara ya maharage mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake. Mwenye uzoefu karibu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Wakuu habari zenu, Nimekuwa nikitafuta mishe yoyote ya kupiga hapa mjini bongo bila mafanikio yoyote yale, awali nilikuwa napiga mishe za saidia fundi. Ubaya wa hizi mishe hapa bongo ni utapata leo Kisha utakaa sana mpaka upate kazi nyingine. Angalau zile za kuweka Kambi mpaka miezi miwili huko...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua TV used nchi 43

    Kama heading ilivyo. Nipo Kahama. Nahitaji kununua TV used. Budget yangu ni 350,000/= Kama unayo naomba ukuje inbox
  19. JamiiForums Tanzania Chumba, Sebule, Choo na Jiko Arusha Moshono mpaka Siara nahitaji.

    Wadau habari zenu. Nahitaji nyumba tajwa hapo juu kwa budget ya 150k mpaka 180k iwe ndani ya fence luku ya kujitegemea tafadhali. Ikiwa kuanzia Moshono Corner/Kilimani mpaka Siara itapendeza zaidi. Natanguliza shukran kwenu.
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya uwakala wa benki, nambieni shortcut; process ni ndefu sana

    Mambo ni mengi naombeni aneyejua shortcut πŸ˜€
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…