baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 1,097
- 1,124
Mimi ni mkulima mdogo kutoka mkoa X, nimechungulia pia kwenye fursa ya ushonaji, kudalizi pamoja na kudizain nikiwa Nina lengo la kufanya uwekezaji mdogo kupata kiwanda kidogo (small garments) ambapo nitajikita kwa vijana zaidi ili kuwainua kwa fani hiyo. Dhima yangu ninaomba nipate mtu mwenye uelewa mpana kuhusiana na fani hiyo akiwa amejikita kwenye fani hiyo bila ubabaishaji. Kwa yeyote mwenye uelewa naomba aniunge mkono nitapokea ushauri kadili ya maoni na mitazamo yenu. Ahsante