Nahitaji printer ya mkopo

Nahitaji printer ya mkopo

Karanga Lawfirm

Senior Member
Joined
Feb 10, 2021
Posts
173
Reaction score
171
Habari, Mimi nikijana naejishughulisha na biashara ya stationery katika mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi . Printer nayotumia nilinunua Kwa mudu inachangamoto ambazo zinaathiri utendaji wangu wa KAZI.

Naomba msaada kama Kuna taasisi au mtu BINAFSI anayoprinter inayofanya KAZI vizuri na kwasasa haitumii anikopeshe niwe namlipa Kwa awamu.

SIMU; 0620314634
 
Back
Top Bottom