nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Emmanuela Mtatifikolo ajitosa kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Isimani

    Emmanuela Mtatifikolo, ameonesha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Isimani. Hatua hii inaakisi utayari wake wa kupeleka uzoefu wake mpana wa kiuongozi katika ngazi ya juu ya uwakilishi wa wananchi. Akiwa ni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa ‘Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa’ hatuoni nafasi zetu za ajira Serikalini

    Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma. Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi JWTZ

    Kazi ni kwenu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza rasmi nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya sekondari hadi elimu ya juu, hatua inayolenga kuongeza nguvu kazi na kuendeleza taaluma mbalimbali ndani ya jeshi. Kwa mujibu wa tangazo hilo...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TAKUKURU

    TAKUKURU imetangaza nafasi za kazi, nafasi mpya za kazi zilizotangazwa na TAKUKURU zimegawanyika katika makundi mawili: Kundi la kwanza, Muombaji awe na angalau elimu ya shahada ya kwanza iliyotolewa na chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika moja ya fani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto yupo Form 1 na likizo imeisha, Je arudi shule ya boys inayoshuka namba 1 hadi 3 kimkoa au ahamie mchanganyiko inayoshika nafasi ya 4 hadi 6?

    Umri ni miaka 14, Mtoto ana uwezo mzuri darasani wala sina shaka juu ya uwezo wake. ana uwezo wa ziada wa kulisakata gozi (mpira) Shule ya msingi alisoma mchanganyiko ya kutwa. Katika likizo hii ya wanafunzi wa sekondari, nilipata wazo la kumpeleka mtoto kufanya interview katika shule ya...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge la Cameroon laanzisha nafasi ya Makamu wa Rais. Upinzani Wapiga Yowe

    Wakuu. Katika kile kinachoonekana kama maandalizi ya mapema ya kurithishana madaraka, nchi ya Cameroon inajiandaa kuanzisha nafasi ya Makamu wa Rais kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miongo mitano. Hatua hii inakuja huku kukiwa na maswali mengi juu ya hatma ya kisiasa ya nchi hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya Udereva Grade II 340 - Mwisho tar 4 April, 2026!

    Natumaini kila mwenye sifa au ndugu mwenye sifa amfikishie taarifa. Nafasi 340+ ni nyingi sana. Probability ya kupata ni kubwa. Ajira Portal afanye Application
  8. JamiiForums Tanzania Haji Manara, ajiunga rasmi na WASAFI FM

    Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana. Mara baada ya kukaribishwa, ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha kutotaka kuwaachia wenzake nafasi ya kuongea huku akijaribu kufanya uchambuzi wa hapa na pale kuhusu...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya sales (Arusha)

    🚨 TANGAZO LA KAZI – SALES PERSON (2 POSTS) 🚨 Time Less International inatangaza nafasi za kazi za Sales Person kwa wahitaji wenye sifa zifuatazo: ✅ Awe na Degree au Diploma ✅ Awe smart na mwenye muonekano nadhifu ✅ Awe na uzoefu wa kazi za sales ✅ Awe tayari kuanza kazi tarehe 01/04 ✅ Msichana...
  10. JamiiForums Tanzania Ajira nafasi ya muhasibu

    NAFASI ZA KAZI MUHASIBU – WHITE PIT TRADERS WHITE PIT TRADERS tunatafuta Muhasibu mwenye uzoefu wa kazi ili ajiunge na timu yetu ya biashara. Mahitaji: Shahada au diploma ya Uhasibu (Accounting/Finance) au shahada inayohusiana Shahidi ya uhasibu (Professional Accounting Qualification) ni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waombaji "Ajira Portal" tunakaa muda mrefu bila majibu, bora wasitangaze nafasi za kazi kama hawajajipanga

    Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview. Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwenye company ya microfinance

    Habar wanahitajika vijana 2 wa kufanya kazi katika company ya kukopesha hela wa kike 1 na wa kiume 1, umri wasizidi miaka 24 Kituo cha kazi ni Zanzibar (Pemba) Mshahara ni 170k kwe mwez na posho ya 5k kila siku. Sehem ya malazi kw watumishi ipo. Kwa mawasilano zaid njoo Dm
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi na Mungu wa Mbinguni upendekeze mtu wa kunyakuliwa MAWINGUNI utampendekeza nani?

    Ni swali la kawaida. Avoid negative interpretation!!! 1.
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Mwalimu wa Physics

    Anahitajika Mwalimu wa Physics Tunatafuta mwalimu wa Physics Vigezo: Awe amemaliza chuo kikuu chochote nchini Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi.+255763855365 Asanteni
  15. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani 🌸, Kwa Wanawake mliopewa nafasi zenye ushawishi

    Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa. Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Polepole yajazwa, Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule apangiwa kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kuwapangia vituo mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, mabalozi waliopangiwa vituo ni kama ifuatavyo:- (i) Balozi Togolani Edriss Mavura...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Ghuba ya Oman yawaka: Jamaran yazama, Iran yakosa nafasi ya kupumua

    MELI VITA MHARIBIFU YA IRAN YAPIGWA NA KUZAMISHWA!! Kuna taarifa zinazoenea kwa kasi zikisema corvette ya Iran ya daraja la Jamaran imepigwa na kuzamishwa katika kile kinachoitwa operation “Epic Fury.” Vyanzo vya mtandaoni na war trackers vinadai meli hiyo imeathirika vibaya na kwa sasa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwenye duka la nguo

    Anahitaji mdada kwa ajili ya duka la nguo , lipo mwananyamala komakoma awe anayeishi jirani na maeneo hayo, mshahara 150,000, awe na uwezo wa kutumia social media kutangaza Mawailiano , Whatsapp 0754200363
  19. JamiiForums Tanzania Wadaawa wa KIIRAQW wapata nafasi ya kusikilizwa kwa lugha yao, Baraza la Ardhi Dodoma latoa tumaini la haki sawa

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya, Mkoa wa Dodoma limewasikiliza wananchi wa jamii ya Kiiraqw waliofika katika Baraza hilo kuwasilisha hoja na ushahidi wao katika mgogoro wa ardhi, wakidai kumiliki kihalali shamba lenye ukubwa wa ekari nane lililopo Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma. Hatua...
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi

    Naomba kushare nafasi ya kazi, kuna rafiki yangu anahitaji mtu wa kumsaidia kuuza duka la dawa morogoro mjini mwenye sifa. Mambo mengine wataongea nae waelewane.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…