Nafasi ya kazi kwenye duka la nguo

Nafasi ya kazi kwenye duka la nguo

Kati ya mambo ambayo siwez mshauri mtoto wa mtu awe binti ama kijana wa kiume ni kuuza duka la nguo ..Kuna mmoja binti mzuri tu namuona mtaani anatembea na kucheka mwenyewe kachafuka, naambiwa ni mtoto wa flani kwa flan , alienda dar kuuza duka la nguo la ndugu yake mwenye hela na alikua tu amemaliza chuo, karudishwa akili zimeruka...
 
kwendraaaa ngozi gani iliyo komaa hebu nipishe huko,, kwanza nataka kuja kukuibia skin care yako,, nahisi kama nahitaji glass skin🤸‍♀️🚶‍♀😝
Skin care ya laki 7 pale sinza ndio itaondoa hii dead skin yangu😃(naomba elaa🫴🏾) tofauti na hapo ntaishia kwenda sauna na cocoa scrub yangu pamoja na serum,cleanser na sunscreen za binti urembo🥴
 
Skin care ya laki 7 pale sinza ndio itaondoa hii dead skin yangu😃(naomba elaa🫴🏾) tofauti na hapo ntaishia kwenda sauna na cocoa scrub yangu pamoja na serum,cleanser na sunscreen za binti urembo🥴
unaelewa kwamba natakiwa kuishi na wew vizuri🤗😅😅 nina mengi ya kujifunza hebu nikae kimy kwanza🤐
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom