nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kwanini wenye uraia wa nje wanateuliwa kushika nafasi za juu kwenye Utumishi wa Umma?

    Naomba kuuliza Watanzania wenzangu, kuna watu nawafahamu tulisoma nao nje wazazi wao wakiwa ni raia wa Tanzania. Lakini baada ya kukaa kwa muda walibadili uraia wakapata uraia wa kigeni na wakawa wakija nchini Tanzania wanakuja kama wageni. Wengi wao familia zao ni za wasomi waliopelekwa nje...
  2. Roving Journalist

    ZAFELA: Ushiriki wa Wanawake katika nafasi za maamuzi (hasa ya kisiasa) bado ni mdogo

    Na Salma Said, Zanzibar Ushiriki wa wanawake katika masuala uongozi ni jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele sana na watetezi wa haki za wanawake wakitaka kushirikishwa kikamilifu kama azimio namba tano la umoja wa kimataifa linalotaka asibakishwe mtu nyuma. Wadau wanatambua kuwa kuna...
  3. K

    Nafasi za kazi ya ict-instructor (2 posts)

    VACANCY ANNOUNCEMENT: BACKGROUND INFORMATION: KOMU College of Technology and Management (KCTM) is one of the ICT reputable College in Tanzania offering ICT professional and academic programs. The college is located in Mbeya city. The Principal is pleased to announce two vacancies for ICT...
  4. Teleskopu

    Nafasi ya Bill Gates na sekeseke linaloendelea duniani

    Patent WO / 2020/060606 imetengenezwa na Microsoft Technology Licensing LLC ……… Microsoft ni ya bill gate, au sio? WO = World Order (yaani New World Order) 2020 = ni patent iliyosajiliwa mwaka jana WIPO (World Intellectual Property Organisation) 060606 = namba ya patent (666??? - tafakari)...
  5. Fatma-Zehra

    Walionyanyaswa kwa sababu ya Lissu warudishwe kwenye nafasi zao

    Kuna minong'ono kuwa mtu yeyote aliyesaidia kwa namna moja ama nyingine kuokoa uhai wa Lissu (Mungu mwenyewe ndiye Mwamuzi wa mwisho) basi "alisulubiwa". Minong'ono inasema baadhi wamerudishwa kama Jose who's our representative in Brussels. Wengine bado. Namuomba mama awarudishe. Huu uzi...
  6. W

    Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
  7. P

    Nafasi za kazi (serikalini) sekta ya mifugo

    MAAFISA MIFUGO, UGAVI ETC. ========= WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA) Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. LITA ilianzishwa kupitia Wakala za Serikali Sura 245. LITA ilianzishwa tarehe 01, Septemba, 2011 na...
  8. K

    TFF wekeni kigezo cha vyeti kwa walio na nafasi za usemaji na uhamasishaji ili kudhibiti ufinyu wa akili unaojitokeza

    Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka. Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri litaleta shida sana baadae. Kama wewe ni msemaji wa timu pinzani hakuna sababu ya kuleta personal...
  9. Goti la samaki

    Naomba nafasi ya kujitolea Mimi ni clinical officer🙏

    Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏 Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392
  10. The bump

    Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

    Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
  11. Erythrocyte

    EPL: Arsenal sasa yaburuza mkia , yawa nafasi ya ishirini katika msimamo wa timu 20

    Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu. Wachambuzi wanaitabiria kushuka daraja .
  12. Kamanda Asiyechoka

    IGP Sirro, kukiri hadharani kuwa polisi hutumia nguvu za ziada ni sababu tosha ya kuondolewa nafasi yako

    Kama mkuu wa polisi anakiri hadharani kuwa jeshi analolisimamia linatumia nguvu ya ziada basi ni wazi kuwa jeshi analosimamia huwa linafanya kazi kinyume cha sheria. Ni nguvu gani ya ziada inayotumika? Kupiga watu walio mahabusu ya polisi? Kutesa mahabusu wa polisi? Hii ni kinyume na katiba ya...
  13. S

    Nani anaestahili kuchukua nafasi ya IGP kumrithi Sirro endapo mabadiliko yakitokea?

    Iwapo Raisi Samia ataridhia kufanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi kwa kumuondoa IGP Sirro, unadhani ni nani atafaa kukabidhiwa mikobo ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini? Inawezekana tunaona wengi wao ni tatizo, ila ukweli ni kwamba kuna mmoja,wawili au watatu miongoni mwao wanaweza kuwa na...
  14. MabatiBeiNafuu

    Fashion Kali ya Msanii Barnaba

    Hii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania. Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
  15. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya Shinyanga: Mtendaji III

    Shinyanga District Council is one of the five Councils and one municipal Council forming Shinyanga Region. The Council lies between latitude 30.20’ and 30.95’ south of the equator and between longitudes 320.30 and 330.30 east of Greenwich Meridian, south of Lake Victoria. It is bordered to the...
  16. H

    SoC01 Kuwa makini sana na watu wanaokuzunguka

    Sina shaka hapo ulipo kuna watu wamekuzunguka kwa maana unahusiana nao kindugu,kiurafiki, ujirani wafanyakazi wenzio pia hata wafanyabiashara wenzako.Katika hao watu wanaokuzunguka wapo wenye mwenendo mzuri na wenye mwenendo mbaya pia. Asilimia kubwa ya mambo tunayoyafanya ni kwa sababu ya watu...
  17. mshale21

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
  18. Masokotz

    Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

    Habari za wakati Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake. Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka? Zingatia kwamba...
Back
Top Bottom