nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. yusuphkijuu

    JamiiForums Tanzania Barua ya kuomba nafasi nilipitisha kwa mkurugenzi wangu

    Habari wadau, Naomba kupata elimu kuhusu hili suala langu hapa. Nilipitisha barua yangu kwa mkuu wangu (DG) kwa lengo la kuomba nafasi taasisi X. Je, wakati wa kuomba kibali nalazimika kupitisha tena au naweza kuitumia ili barua niliyoipitisha awali kama kiambatanisho.
  2. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi ya Uandishi wa Habari katika Kukuza Uwajibikaji na Utawala Bora nchini Tanzania

    Nchi yoyote inayotaka kuendelea inahitaji uwajibikaji na utawala bora. Katika Tanzania, vyombo vya habari vinalo jukumu kubwa katika kukuza uwajibikaji na utawala bora. Kupitia andiko hili, tutachunguza jinsi uandishi wa habari unavyochangia katika kukuza uwajibikaji na utawala bora nchini...
  3. Cpp

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi ya Mtandao (Internet) Kwenye Maendeleo

    Mtandao (Internet) umekuwa moja ya teknolojia zinazoongoza ulimwenguni na ambayo imetoa mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kuinua ustawi wa mamilioni ya watu duniani kote. Taasisi mbalimbali, mashirika ya serikali na binafsi, pamoja na watu binafsi, wamefaidika...
  4. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Assistant Nursing Officer

    Peking Healthcare limited; a newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of her dispensaries located in Ilala -Dar es salaam. Currently there are two (02) vacancies to be filled...
  5. V

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi yako mwajiriwa

    Ukikubali kuajiriwa lazima ukubali unafanya kazi ili ulipie gharama za uendeshaji ikiwa pamoja na mshahara wako pia umtengenezee faida muajiri wako. Muajiriwa-: Jitahidi Sana kutambua kuwa kadri unavyozidi kujituma kazini ndivyo unavyoongeza thamani yako katika ajira yako. Kujituma kwako...
  6. Eng CA Christopher

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa viongozi kuzitambua nafasi zao katika jamii

    Kwa kuanza, swala la uzalendo ni swala pana hasa katika maslahi ya nchi au taifa kwa ujumla. Tukianza na viongozi waasisi Mfano Nyerere wa Tanzania na Mandela wa Africa ya kusini walikuwa ni viongozi wa mfano katika swala la uzalendo. Kinachosikitisha ni kwamba kwa viongozi tulio nao kwa sasa...
  7. Eng CA Christopher

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kwa vijana na kutambua nafasi yao katika jamii

    Kwa kuanza, moja kati ya nchi zenye idadi kubwa kabisa ya vijana barani Africa ni Tanzania. Ila chakusikitisha ni kwamba idadi ya vijana wengi wakitanzania hawazitambui nafasi zao katika jamii, ilihali wengi wao wakiwa ni wasomi wa elimu ya juu Mfano wa nafasi hizo ni Siasa Utunzaji wa...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya leo ingekuwa vipi kama Kambona angepewa nafasi ya mawazo yake kutekelezwa au kuwa na cheo chenye mamlaka

    Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg, Naskia alianza kuonekana mbaya ila siwezi fikia conclusion maana ni upande moja tu walimsema ni mbaya, so labda zilikuwa ni figisu...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yanga isipojiamini kupitiliza itatoboa Fainali!! Gallants wapo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa Kusini lakini si wa kubezwa

    Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa kusini ila imeweza kupambana mpaka kufikia nusu fainali, Marumo Gallants imeitoa Pyramids FC ya Misri kwa jumla ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

    View Vacancy - Senior Programme Manager (04/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga mechi ya marudiano hangaikeni na nafasi za wazi walizopoteza Rivers.

    Bahati nzuri na bahati mbaya zipo kwa uiwiano na kiwango sawa kutokea. Kama Yanga walikuwa na bahati kuzitumia nafasi zao 2 kupata mabao, hivyohivyo Rivers wanaweza kubahatika kugeuza nafasi walizopoteza kwao kugeukia magoli kwetu. Tusijidanganye na kupofushwa na tugoli tuwili tuliyowwfunga...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania

    Yamekuwa yakisikika matokeo yasiyo na tija Law School. Kwamba wanafaulu wanafunzi chini ya 3%? Kwamba wanafunzi bado mpo tu kama makondoo mmetulia kumsubiri nani kuwapigania? Shule zinaposhindana ubora kwa kufaulisha, kwa nini Law School wao wanajinasibu ubora kwa kufelisha? Kwamba hawa wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania TAZAMA wanalipaje kwa nafasi za ulinzi?

    Habari, Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa wa mradi wa bomba la mafuta la TAZAMA (TANZANIA ZAMBIA MAFUTA) Hivi wanalipaje kwa nafasi ya ulinzi? Mana nimeona wametangaza nafasi na wamesema mshahara mnono. Naomba kwa mwenye uzoefu au ambae anafanya nao kazi anijuze. Ahsante
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maombi yenu jamani, nafasi za ualimu ni janga.

    Mwezi huu tangazo la nafasi za kazi lilitolewa na dirisha kufungiliwa. Nilichangamkia. Lakini Leo wakati tukielekea mwishoni mwa zoezi nimetembelea account yangu. Shule yenye ushindani mkubwa tupo 1500+ na nafasi inayotakiwa ni Moja!. Shule yenye ushindani mdogo tupo 200+ nafasi inayotakiwa ni...
  15. emmarki

    JamiiForums Tanzania Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Mnaojiandaa na usaili wa utumishi nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, tupeane mbinu za kutoboa usaili. Una uzoefu wa hizi saili share tujue zinakuweje, eneo gani la kusoma sana wakati wa kujiandaa.
  16. Ilonga Msalabani

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

    Suppose umepata nafasi ya kuwa Rais wa Tz. leo keeping other factors constant ungefanya nini au mambo gani mema yenye kuleta maendeleo usisahaulike? I well come you all
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge limetangaza nafasi 42 za kazi kwa Watanzania wasiozidi miaka 45

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi 42 katika taaluma mbalimbali kwa Watanzania wasiozidi umri wa miaka 45 kuanzia leo Ijumaa Aprili 21, 2023 na mwisho wa kutuma maombi ni Mei 4, 2023. Tangazo hilo la kazi limetolewa leo Ijumaa Aprili 21, 2023 likitoa nafasi kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Mashariki ya Kati yakaribisha nafasi ya kiujenzi ya China

    Mkutano mwingine kati ya Saudi Arabia na Iran uliofanyika hapa Beijing umeonyesha kuwa China ni nchi inayotetea amani, na sera zake zinaendana na matakwa ya nchi za Mashariki ya Kati. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Saudi Arabia Mfalme Faisal bin Farhan Al...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Mhazili (Secretary)

    Tunahitaji Mhazili - Secratarial awe mwanamke kati ya miaka 20-35, mwenye cheti cha uhazili na uzoefu wa kufanya kazi kwa kujitegemea. Awe na uwezo wa kufanya muda wa ziada walau mpaka saa 2 Usiku muda mwingine. Muda wa Kuingia Ofisini saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Mshahara kwa mwezi...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI 21,200 Kila Halmashauri Inaweza Kupata Nafasi 115 kama Zikigawiwa kwa Usawa

    MHE. EZRA CHIWELESA - AJIRA 21,200 KILA HALMASHAURI INAWEZA KUPATA WATUMISHI WAPYA 115 KAMA ZIGAWIWE KWA USAWA Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe. Eng. Ezra Chiwelesa ameunga mkono hoja na kuchangia katika bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora. Mhe. Chiwelesa amesisitiza...
Back
Top Bottom