Habari wanandugu,
Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja
Nawaza huenda sina connection labda ndo maana
Habari wakuu! Nimeona majadiliano mengi kuhusiana na maamuzi ya necta kutofanya Ranking!! Mm kwa utafiti wangu nitumie nafasi hii kuwapongeza necta kwa maamuzi haya! Kimsingi hayawezi kuwafurahisha wengine kwa sababu ni biashara zao! Hizi ni sababu ambazo zinanifanya niwapongeze necta kwa...
Jana matokeo ya CSEE na QT yalitangazwa. Lakini hayakuwa na ranking wala hata kuonesha halmashauri inakopatikana shule husika.
1. Kufanya ranking ni mhimu Kama recognition kwa shule na mwanafunzi binafsi. Hii pia ni motivation.
2. Mtihani wa NECTA ni standard, kwa maana kwamba hatua zote...
Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim inayoangazia masuala ya Utawala na Demokrasia kwa Nchi za Afrika (IIAG), imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 21 kati ya Nchi 54 zilizofanya Vizuri kwenye Utawala Bora mwaka 2022.
Hata hivyo, Tanzania haijafanya vizuri kwenye kipengele cha Ushiriki, Haki na...
Hakuna asiyejua kosa la huyu MTU.
Usalama wa watoto utakuwa mdogo.
Hafai Kabisa. Cha ajabu hakuna na taarifa ya hatua dhidi ya kitendo cha kumchapa mtoto vibao
Nafasi ya kazi Konfa Enterprises limited 1. Online sales supervisor 2. Office respetionist 3. Shop manager 4. Assistant Shop Manager, Human Resources Manager etc
=========
KONFA ENTERPRISES LIMITED General Trading Company established in 2006, Konfa has vast network of professionals...
Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta.
Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
Kazi: Msimamizi wa Ofisi
Mahali: Moshi - Kilimanjaro
Majukumu
Kusimamia shughuli za ofisi
Kutunza hesabu za ofisi
Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali
Sifa
Elimu ya kidato cha sita na lazima awe na ufaulu wa somo la hesabu kuanzia alama 'B'
Akiwa na cheti cha masomo ya biashara au...
Je,.....
1. Hatoshei Kiushawishi?
2. Mnafiki?
3. Mpika Majungu?
4. Muongo?
5. Hana Mvuto / Mvutoless?
6. Si Mpayukaji?
7. Usoni Mama na Rohoni January?
Kazi yangu Kubwa ( Kuu ) leo GENTAMYCINE ni Kutulia na Kusoma Kiumakini mno Comments zenu na naamini hamtoniangusha.
Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama,Ni safu ya ushindi,uchapa kazi na uzalendo ,Ni safu iliyojaa viongozi...
Anaitajika mwanamke mmoja tu
Eneo la kazi ni Kariakoo Mtaa wa aggrey na Ndanda dukani/kwenye kampuni sanga kariakoo
Kazi yake ni kutengeneza matangazo madogo madogo na kuendesha account za ofisi ikiwa na application za Sanga Kariakoo zilizo google play na apple store pamoja na website ivyo...
Anapoapishwa Rais, nafasi ya kwanza kuteuliwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Walioweka utaratibu huu hawakuwa wajinga kwa sababu kila jambo analofanya Rais linatakiwa kuwa sawa kisheria hivyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye anapaswa kumshauri Rais kuhusu maamuzi yake yote ili yawe...
TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL (T.O.I.S) TEACHERS NEEDED
Job Summary
We are looking for primary school teachers in our school in Dar Es Salaam
Recommended:
Minimum Qualification: Certificates
Experience Length: No Experience/Less than 1 year
Job Overview
A full-time permanent Teacher...
Taifa hilo kutoka Kusini mwa Afrika limeingia rasmi katika #BarazalaUsalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), likianza muhula wa miaka 2 baada kuchaguliwa Juni 2022 pamoja na Nchi za #Ecuador, #Japan, #Malta na #Switzerland.
Msumbiji inaungana na #Ghana na #Gabon kuhudumu katika Baraza hilo, huku...
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.
Ikumbukwe kwamba raisi...
Habari za mchana?
Kuna shule ya watoto wadogo nursery school iliyopo wilayani Muheza Tanga inatafuta madereva 2 wa kuendesha Hiace za shule.
Sifa kubwa awe anajua kuendesha vizuri na kuwa na leseni hai Class C.
Awe na upendo kwa watoto wadogo.
Itapendeza sana endapo atapatakana mkazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.