nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Msigwa kumnyima nafasi Peter Madeleka, na kusema list ya wauliza maswali ina maana gani?

    Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo Msigwa ameshutumu Madeleka kutumia utambulisho usio wake, hata hivyo Madeleka alisema ametumia jina...
  2. Glenn

    JamiiForums Tanzania Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii. Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester. Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza...
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

    Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro. Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu. Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu.
  4. Mary Abely

    JamiiForums Tanzania SoC03 Biashara haramu ya usafirishaji Binadamu: Ni ipi nafasi ya Jamii kushirikiana na Serikali kutokomeza biashara hii?

    UTANGULIZI Biashara haramu ya usafirishaji binadamu ni kitendo cha kusafirisha binadamu kwa njia ya nguvu, tishio,kulazimishwa, kudangaywa au utekaji nyara kwa kusudi la dhuluma. Hujumuisha kuajiri kwa nyonya, kuhamisha, kusafirisha, kuhifadhi au kupokea watu. Lengo la biashara hii ni haramu ni...
  5. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Sugu nafasi yako ya kuchukua jimbo la Mbeya ni hii

    Nipo Mbeya kwa wiki tatu sasa, mjadala kwenye daladala na masokoni ni DP WORLD, nothing more. Watu hawamwelewi mbunge wao. Sugu kama unataka kushinda jimbo lako, nafasi yako ndio hii, siwezi kukufundisha cha kufanya ila weka mikutano uwashitakie wananchi kwasababu wanahitaji kusikia toka kwa...
  6. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kabudi kuachia nafasi zote za kisiasa

    Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa. " Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi mkubwa mstaafu kwamba anataka ku resign nafasi zote za kisiasa." " Yule huwa harudi nyuma nafikiri...
  7. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania TICTS mlipewa miaka 22 lakini mmechemsha sasa kaeni kimya tunaenda na DP World

    TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa. Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo badala yake mkaendelea kufanya kazi kienyeji. Yaani mnapata pesa nyingi lakini hamtaki kuwekeza...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Watu wanaosema tukajiajiri ni wale ambao tayari wana Vyeo na Nafasi Serikalini: Kujiajiri kunahitaji Elimu Kubwa Kuliko ya Kukaa Ofisini

    Utangulizi Kelele zilisikika zikisema “watu ambao wanasema vijana tukajiajiri ni wale waliokaa maofisini, wao tayari wana vyeo na nafasi, kujiajiri sio kitu rahisi, ingekuwa ni rahisi na wao wajiajiri basi, watulee kwanza kufanya biashara ili tunapokua tuweze kuwa wafanyabiashara bora. "Hapa...
  10. Mary Abely

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kijiji kilichogubikwa na janga la udhalimu na rushwa

    Katika kijiji kiitwacho Utawala Bora, watu walikuwa wakiishi katika hali iliojawa na machafuko, utata, na kutoridhika. Rushwa ilitawala, hali ya kutokuwa na usawa ilikithiri na sauti za watu hazikusikika (wananchi). Hatahivyo, katikati ya machafuko hayo, mwangaza wa matumaini ulijitokeza...
  11. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Yanga yapanda nafasi ya 6 kwa ubora Afrika

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika. Africa Club Ranking by IFFHS (Ist June 2022 - 31st May 2023) 1. Al Ahly 🇪🇬 2. Wydad 🇲🇦 3. Zamalek 🇪🇬 4. Pyramids 🇪🇬 5. Sundowns 🇿🇦...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji sana wa nafasi ya kazi, nina uzoefu wa kazi katika Microfinances na NGO's

    Habari za leo wakuu. Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi. Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker. Pia nina uwezo wa kufanya kazi hata kwenye field nyingine. Naomba mnisaidie connection katika kampuni au NGO's...
  13. guojr

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi ya uzalendo katika kuimarisha Utawala Bora

    Utangulizi: Utawala bora ni msingi wa jamii inayofanya kazi vizuri na yenye ustawi. Inajumuisha kanuni kama vile uwazi, uwajibikaji, utawala wa sheria, na ushiriki wa raia. Ingawa kanuni hizi ni muhimu kwa utawala bora, jukumu la uzalendo halipaswi kupuuzwa. Uzalendo, upendo na kujitolea kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wenye maono ya Magufuli wamenyimwa nafasi kuchangia muswada wa Bandari au Wamepuuza udalali wa rasilimali za nchi?

    Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia. Leo hii...
  15. Yuzzow

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi ya wananchi katika kuiwajibisha Serikali

    Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki yenye wakazi zaidi ya milioni 58. Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa, na wananchi wake wana haki ya kushiriki katika mchakato wa utawala kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuiwajibisha Serikali yao. Katika makala haya, tutajadili nafasi...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kama dhana ya Time travel ingekuwa kweli, na ukapata nafasi ya kurudi nyuma ya muda ungemuonya au kumshauri nini (wewe-mdogo) kwa kile unachokiishi?

    Dhana ya Muda ni pana sana. Dhana hii inazidi kuchanganya zaidi wanasayansi na watafiti mbalimbali ili kujua muda unafanya vipi kazi. Je kuna uwezekano wa kusafiri mbele ya muda uliopo au nyuma ya muda uliopo? Mambo bado ni magumu. Lakini kama dhana hii ingefanikiwa na binadamu wakawa na uwezo...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha uwajibikaji na utawala bora: Changamoto na nafasi

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya jamii na taifa lolote. Kwa kuwa na uwajibikaji thabiti na utawala bora unaoheshimu sheria, nchi inaweza kuendeleza mazingira ya haki, usawa, na maendeleo endelevu. Hii inahitaji uchambuzi wa kina na mjadala katika nyanja...
  18. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tusimame kwenye nafasi zetu katika malezi ya watoto, ajira kwa watoto ni ukiukwaji wa haki za watoto

    UTANGULIZI. Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali, wazazi, jamii, Asasi za kiraia, wadau wa Elimu, na taasisi za kidini katika kuhakikisha suala la malezi linakuwa jukumu la kila mtu katika jamii, suala hili la malezi ya watoto bado limekuwa na changamoto kubwa sana kutokana na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Suala la bandari tuwape muda wabunge

    Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu.. tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
  20. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Kuandika kwa Nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer grade II)

    Habari wapendwa, Kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usaili nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer Grade II) anauliza kama kuna yeyote alishawahi kuitwa kwenye usaili wa kuandika kwa nafasi hiyo ni maswali gani yanapendelewa kuulizwa kwenye mtihani wa kuandika?. Natanguliza shukrani huku...
Back
Top Bottom