Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa.
Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏
===
Ni masaa machache tu baada ya kurejea kutoka katika Mkutano wa Dunia wa Uhifadhi wa Mazingira wa 27 yaani COP27 huko Nchini Misri,
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...
AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika.
Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi:
1) Addo
2) Pharmaceutical Dispenser
3) Pharmaceutical Assistant
Maombi yote yatumwe kwenda:
E-mail...
Raisi wetu wa klabu pendwa ya kihistoria hapa nchini na Africa mashariki. Yanga ni klabu kubwa yenye historia nzuri na Pana, hata pepe kalle aliwahi kuimba kuhusu ubora wa yanga.
Kuwa wa Rais wa klabu kama yanga yenye mashabiki lukuki ndani ya nchi na nje ya nchi si kitu kidogo wala cha mzaha...
Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana.
Inauma sana kwa kweli leo hii sisi ni wakuitwa wala mihogo ambao hatufai kuchangia chochote kisa tumekula mihogo. Na...
Me nafikiri ni nafasi ya kiungo mkabaji. Imagine unatakiwa ukabe, ufanye interception, ufanye blocking, tackling na bado uanzishe mashambulizi kwenda langoni kwa mpinzani wako. Ukizubaa ndio timu inaelemewa.
Kwa upande wako ni nafasi/namba gani ni ngumu kuicheza kwenye football?
Tatizo la maji sasa ni mtambuka tutarajie magonjwa mengi kama kipindupindu, UTI, kuharisha nk..
Kabla hatujaenda kwenye solution.
Hawa wafuatao waondoke kwenye nafasi zao
1. Mzee wetu Mwamunyange (mwenyekiti wa bodi DAWASA).
2. Luhemeja (mkurugenzi DAWASA).
3. Aweso (waziri wa maji)...
Katika tathmini yangu ya Habib Kyombo, namuona ni mchezaji mzuri sana anayestahili kupewa nafasi zaidi.
Sitaongelea mikimbio yake wala mbwembwe zingine, ni mchezaji anayeonekana ana IQ nzuri ya soka halafu ni mpambanaji.
Changamoto kubwa ya Simba pale mbele ni kasi ndogo, Okrah akitaka...
Akihojiwa na kituo cha tv mheshimiwa Rungwe amesema wanamkaribisha sana Mbatia kwenye chama chao cha chauma na watamtafutia kazi ila asiwe na wazo la kuwa mwenyekiti maana mwenyekiti tayari yupo.
Ameenda mbali na kusema kama ni suala la kukaa muda mrefu kwenye uenyekiti wa chama basi yeye...
Hili suala kiukweli linafikirisha sana
Hii inakua ni kama upendeleo kwa wakazi wa Dodoma pekee na kuwanyima nafasi ya kushiriki watoto wa masikini wanaotokea mikoa mingine
Juzi juzi niliona Waziri Jenister Muhagama akiongelea kwamba wameona ni bora kila mtu afanye usaili kwenye mkoa wake ili...
DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.
Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu...
1. Utangulizi
Flydream Company Limited ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 2019. Ni mujumuisho wa biashara zinazotoa huduma mbalimbali ikiwemo mafunzo ya Udereva, huduma ya ufundi Magari, Huduma za usafi na unyunyizishi wa dawa za kuua wadudu majumbani na maofisini, huduma za chakula...
Habari wana JF,
Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze kwasababu yeye ndiyo dereva anatakiwa kuwa na uhakika wa safari yenu na ramani ya huko mnakoelekea...
Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya kiudaku.
Angeombwa atoe maoni yake juu ya tuhuma za wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali. Bila...
Wapendwa
Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History)
Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge
Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani kulingana na offer
Bwana Yesu Asifiwe!
Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!!
Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu.
Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
Baada ya dogo mmoja mwenye GPA ya 4.7 (Nursing & Midwifery)na Experience ya mwaka kuomba kazi zilizizotangazwa Muhimbili na nafasi nyingine MOI na kujibiwa kuwa amekosa Muhimbili kwa kuwa barua yake haikuwa na picha huku kwenye tangazo alilo soma hakuona hayo maelekezo ya kuweka picha, Pamoja...
Naibu Spika, Mussa Hazzan Zungu amewataka Watanzania waungane na Serikali kwa kulipa kodi na kuacha tabia ya kutoomba risiti wanaponunua mahitaji.
Zungu alisema hayo juzi ofisini kwake bungeni alipofanya mahojiano maalumu na gazeti hili kuhusu umuhimu wa kodi na vyanzo vyake.
“Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.