Also known as muzungu, mlungu, muzungu, musungu or musongo, mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in predominantly Swahili speaking nations to refer to Caucasian people. The noun Mzungu or its variants are used in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (the word changed to "vozongo" in Malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.
pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
Utasikia mtu au watu wanasema "uchawi wa mzungu huo"- hapa wanamaana ya mashine au aina Fulani ya teknolojia!.
Nianze taratibu kabla sijasema ninacho kuelewa.
Niruhusu mjadala kwanza Kisha baadaya ya kupata mitazamo ya watu na uelewa wa watu juu "kwani neno Uchawi kimewekewa hapa"? .
Karibu!
Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris
Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania
Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati
Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?
Jf wasaalam 🙏
Sina hakika Wala kumbukumbu kama huyu msanii mzungu anayeimba nyimbo za kisukuma Kwa ufasaha alishawahi ongelewa humu. Kama Bado soma hapa.
Anaitwa Manongu mzaliwa wa Sweden, amezaliwa huko na kukulia huko.
Alipata nafasi ya kutembela Tanzania kama mtalii. Alipenda sana Tamaduni...
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza
Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana
weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa dilidili za hapa na pale za kimjinimjini yaani almradi bora liende
weengi...
Assalamu alleikum,
Kuna habari zimesambaa hapa Mjini Arusha kuwa LATRA wameunda SACCO'S yao ya taxi wakishirikiana na Baadhi ya matajiri wenye magari lengo likiwa Ni kuhakikisha Hakuna mtu mwingine anapewa leseni ya Minvan taxi asipojiunga na hiyo Sacco's
Sasa kuna maswali mengi yanaibuka...
Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo, isiopokuwa tu wao umri huo hufanya kwa kuiga tu, hufanya bila kujua ni kwa nini anafanya, viungo vyao bado havijakomaa.
Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza...
Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
Shalom,
Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
Hii Dunia haiishi viroja.
Huku Dada zetu, Wabantu kama mimi wakipishana kuingia Maduka ya Vipodozi hadi wengine kufikia hatua ya kujidhuru kutokana na kupaka mikorogo isiyo ya viwango maalum ilimradi tu wawe na ngozi nyeupe (Kama Wazungu) wakiamini pengine inavutia zaidi ya ile waliyojaaliwa...
MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO
Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu:
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
Twenzetu - Chege
Baby Gal + wange - Mad...
Sasa sijui huyu jamaa ni tapeli au ni mkweli. Anasema alikuja Kenya november mwaka jana kukutana na huyo mdada wa Kenya
Eti wamespend nae pesa sana hadi zimekata na mdada nae amemkimbia baada ya kufulia.
Anaomba msaada ili aweze kurudi kwao Ireland...
Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania.
ANGALIA VIDEO HAPA
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP
Kabla hujasoma kilichoandikwa ni muhimu kwanza umjue msanii Cher na sherehe za Pride
Cher ni msanii mkongwe ambae ana mchango mkubwa sana kwenye itikadi za kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja, Harakati zake zilianza kipindi cha miaka ya 60 kipindi ambacho...
Hii ni video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha Mwanamke mmoja wa kizungu akiwa amekamatwa na Wananchi kwa shutuma za kusambaza vitabu vyenye kueneza tabia ya Ushoga kwa watoto.
ANGALIA VIDEO HAPA
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.