Mfahamu Mika Mwamba, Producer Mzungu aliyeibua vipaji vingi Tanzania

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,718
10,214
MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO
1709175545384.jpg

Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu:
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
Twenzetu - Chege
Baby Gal + wange - Mad Ice
Maria Salome - Saida Karoli
Kamanda + barua - Daz Nundaz
wanoknok + Taswira + dingi - Mandojo na domokaya
Picco - Kikongwe
Kwenye Chati - Balozi
Mtoto wa geti kali - Inspector Haroun
Elimu mtaani + sauti ya gharama - D knob
Mkiwa - K sal ft Ferooz
Salome + Julieta + Hi - Dully Sykes
Raha tu - AY
Mambo vipi - Mchizi Mox
Solid Ground Family - Bush party
Nini mnataka mazee- Pig black

Najua wengi mmekariri ni P Funk na Master J, na hata mimi nakubali linapokuja suala la kuwatoa wasanii wengi hawa jamaa hawana mpinzani hasa ukizingatia walivyokuwa na connections nyingi kwenye media, walisaidia kazi kibao za wasanii zitufikie na waliifanya kazi kama full time job iwe kazi yao rasmi. lakini kwa upande mwengine tunapomzungumzia Mika Mwamba hizo ni level nyingine na hata wao walijua, Mikka alikuwa na uwezo binafsi wa juu sana kwenye kubuni biti, alikuwa mtundu zaidi kwenye kucheza na vyombo kwa ubunifu ulioshangaza wengi.

Mzungu alikuwa ni Full Package ambae vitu vingi kwenye upande wa biti alikamilisha mwenyewe tofauti na kina Pfunk na Master J ambao waliwatumia wagonga beat wengi waliochangia idea na kutengeneza beats ila credit zikaenda kwa hao jamaa wawili. Mfano sehemu za vinanda wanamtumia bizzman, sehemu za gitaa wanamtumia mzungu kichaa, n.k. "She got a gwan" Gitaa ni Mzungu Kichaa, strings ni Bizz man, Kick zile ni Soggy Doggy, Majani kaja kumalizia mixing na mastering. Kwa upande wa Master J aliweza kuajiri kabisa watasha kama kina Ludigo na Said Comorie na walioandaa kazi kibao ila credit ikaishia kwa Master J.

Nimgusie pia Mkongwe Ludigo, huyu mtasha ndie kahusika kwenye ngoma kibao za hip hop zilizofanywa Bongo records na Mj Reecords, Ludigo hakuwa na Studio maalum ila mikono yake ipo kwenye hits kibao, pale bongo records kapika beats za Ngwea kama Mikasi, Kimya kimya, Aka mimi na Weekend, alihusika pia kwenye Mgambo ya juma nature, Aquelina ya Ocq ft Juma nature, kibanda cha simu ya Soggy, Bijou ya Dully sykes, kwa uchache tu. Kwa Master J ameandaa Album ya Wagosi, Album ya Mr Ebo , Mapacha, Fid Q na kina profesa Jay (ikiwemo Bongo Dsm) Kifupi Ludigo ndie alikuwa master mind wa ngoma kibao za hiphop ila ndio vile ngoma ikipikwa bongo records tunajua ni Majani na akifanya kwa MJ records sifa zote zinaenda kwa Master J

Tukija kwa upande wa kaka yao kiumri na kiuwezo Mika Mwamba huyu alikuwa ni next level na hata hao kina Pfunk na Master J walijua hilo, Ila tatizo ni kwamba Mika alikuwa hapendi kufahamika na ndio maana watu wengi hawakuweza hata kumfahamu kwamba ni mzungu kutokea Finland na sio raia wa Tanzania, hiyo yote ni kwasababu aliamua toka kitambo asionekane kwenye Media wala kupigwa picha, hakupenda umaaufu wala kufanya matukio ya watu kuanza kumfatilia, Interview aliyowahi kuifanya ni kwa millard ayo ipo Youtube ilikuwa 2017, hapo ni baada ya kukaa nje ya muziki mda mrefu sana.

Mika Mwamba alikuwa anakaa ulaya na bongo, anaweza akaja bongo akakaa miezi sita anapiga kazi pale Fm Studio kisha anasepa kurudi kwao, alikuwa hakai sana hapa bongo. ilikuwa ni kumvizia + timing, yaani akija tu watakaompata ndio hao watarikodi nae na kiukweli waliobahatika walipiga mshindo.

Aliachana na mambo ya mziki kwa muda mrefu ila alijaribu kutest mitambo walau mara moja na akathibitisha uzoefu wake hauozi, ee bwana eeh!! Alitubless na mkwaju ulioenda shule - Mashaallah ya Chid Benz ft Mzee Yusuf.

Inasemekana kuna watu wenye roho zao mbaya kwa kushirikiana walileta figisu mpaka Mika Mwamba akasepa ili wao na studio zao wapate majina ila nao wakaishia kushuka zaidi...
 
Naye ni zao la shule za mfanano wa IST?

Maana sisi wabongo tumeshindwa kutofautisha kati ya kipaji na mafunzo.

Huwezi kuitaja Bongofleva ukamuacha MIKA.
 
MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO
View attachment 2919700

Nini mnataka Mazee - Pig Black ni P -Funk bwana acha kudanganya
 
Mika Mwambo huyu jamaa nampa respect sana kwa mchango wake kwenye Bongo flava,

Wakongwe tunamjua ila mtu kama kale ka chawa ka WCB sinza pazuri katakuja kusema S2kizzy ni bora kuliko Mika wakati zile ni era zingine na hizi ni era zingine.

S2kizzy hamna PRODUCER ukibisha we bisha
Ila Producer hakuna
hawezi kumfikia MIKA MWAMBA hata robo
Huyo dogo sijui niseme ila mpk kesho kuna vitu bado anasaidiwa ila CREDIT ndo zinaishia kwake
 
Kwa master J nakubari hamna kitu pia ila CREDIT zilikuja kwake miaka ile ya DANCE ngoma nyingi za DANCE zilipikwa kwa master J ila aliyetengeneza hizo ngoma alikuwa jamaa anaitwa MALONE LINJE

Tanzania PRODUCER wa kweli wa kuunda BEAT wapo wachache sana na umaarufu wao ni mdogo sana na wanamuziki wenyewe hawajui muziki pia
 
MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO
View attachment 2919700
Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu:
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
Twenzetu - Chege
Baby Gal + wange - Mad Ice
Maria Salome - Saida Karoli
Kamanda + barua - Daz Nundaz
wanoknok + Taswira + dingi - Mandojo na domokaya
Picco - Kikongwe
Kwenye Chati - Balozi
Mtoto wa geti kali - Inspector Haroun
Elimu mtaani + sauti ya gharama - D knob
Mkiwa - K sal ft Ferooz
Salome + Julieta + Hi - Dully Sykes
Raha tu - AY
Mambo vipi - Mchizi Mox
Solid Ground Family - Bush party
Nini mnataka mazee- Pig black

Najua wengi mmekariri ni P Funk na Master J, na hata mimi nakubali linapokuja suala la kuwatoa wasanii wengi hawa jamaa hawana mpinzani hasa ukizingatia walivyokuwa na connections nyingi kwenye media, walisaidia kazi kibao za wasanii zitufikie na waliifanya kazi kama full time job iwe kazi yao rasmi. lakini kwa upande mwengine tunapomzungumzia Mika Mwamba hizo ni level nyingine na hata wao walijua, Mikka alikuwa na uwezo binafsi wa juu sana kwenye kubuni biti, alikuwa mtundu zaidi kwenye kucheza na vyombo kwa ubunifu ulioshangaza wengi.

Mzungu alikuwa ni Full Package ambae vitu vingi kwenye upande wa biti alikamilisha mwenyewe tofauti na kina Pfunk na Master J ambao waliwatumia wagonga beat wengi waliochangia idea na kutengeneza beats ila credit zikaenda kwa hao jamaa wawili. Mfano sehemu za vinanda wanamtumia bizzman, sehemu za gitaa wanamtumia mzungu kichaa, n.k. "She got a gwan" Gitaa ni Mzungu Kichaa, strings ni Bizz man, Kick zile ni Soggy Doggy, Majani kaja kumalizia mixing na mastering. Kwa upande wa Master J aliweza kuajiri kabisa watasha kama kina Ludigo na Said Comorie na walioandaa kazi kibao ila credit ikaishia kwa Master J.

Nimgusie pia Mkongwe Ludigo, huyu mtasha ndie kahusika kwenye ngoma kibao za hip hop zilizofanywa Bongo records na Mj Reecords, Ludigo hakuwa na Studio maalum ila mikono yake ipo kwenye hits kibao, pale bongo records kapika beats za Ngwea kama Mikasi, Kimya kimya, Aka mimi na Weekend, alihusika pia kwenye Mgambo ya juma nature, Aquelina ya Ocq ft Juma nature, kibanda cha simu ya Soggy, Bijou ya Dully sykes, kwa uchache tu. Kwa Master J ameandaa Album ya Wagosi, Album ya Mr Ebo , Mapacha, Fid Q na kina profesa Jay (ikiwemo Bongo Dsm) Kifupi Ludigo ndie alikuwa master mind wa ngoma kibao za hiphop ila ndio vile ngoma ikipikwa bongo records tunajua ni Majani na akifanya kwa MJ records sifa zote zinaenda kwa Master J

Tukija kwa upande wa kaka yao kiumri na kiuwezo Mika Mwamba huyu alikuwa ni next level na hata hao kina Pfunk na Master J walijua hilo, Ila tatizo ni kwamba Mika alikuwa hapendi kufahamika na ndio maana watu wengi hawakuweza hata kumfahamu kwamba ni mzungu kutokea Finland na sio raia wa Tanzania, hiyo yote ni kwasababu aliamua toka kitambo asionekane kwenye Media wala kupigwa picha, hakupenda umaaufu wala kufanya matukio ya watu kuanza kumfatilia, Interview aliyowahi kuifanya ni kwa millard ayo ipo Youtube ilikuwa 2017, hapo ni baada ya kukaa nje ya muziki mda mrefu sana.

Mika Mwamba alikuwa anakaa ulaya na bongo, anaweza akaja bongo akakaa miezi sita anapiga kazi pale Fm Studio kisha anasepa kurudi kwao, alikuwa hakai sana hapa bongo. ilikuwa ni kumvizia + timing, yaani akija tu watakaompata ndio hao watarikodi nae na kiukweli waliobahatika walipiga mshindo.

Aliachana na mambo ya mziki kwa muda mrefu ila alijaribu kutest mitambo walau mara moja na akathibitisha uzoefu wake hauozi, ee bwana eeh!! Alitubless na mkwaju ulioenda shule - Mashaallah ya Chid Benz ft Mzee Yusuf.

Inasemekana kuna watu wenye roho zao mbaya kwa kushirikiana walileta figisu mpaka Mika Mwamba akasepa ili wao na studio zao wapate majina ila nao wakaishia kushuka zaidi...
Mzungu akienda mahali lazima aache Alama.
 
Kwa master J nakubari hamna kitu pia ila CREDIT zilikuja kwake miaka ile ya DANCE ngoma nyingi za DANCE zilipikwa kwa master J ila aliyetengeneza hizo ngoma alikuwa jamaa anaitwa MALONE LINJE

Tanzania PRODUCER wa kweli wa kuunda BEAT wapo wachache sana na umaarufu wao ni mdogo sana na wanamuziki wenyewe hawajui muziki pia
Una kumbuka Kuna kiumbe aliitwa Dabo B? Huyu ndio alikuwa FM Baada ya Miika
 
MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO
View attachment 2919700
Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu:
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
Twenzetu - Chege
Baby Gal + wange - Mad Ice
Maria Salome - Saida Karoli
Kamanda + barua - Daz Nundaz
wanoknok + Taswira + dingi - Mandojo na domokaya
Picco - Kikongwe
Kwenye Chati - Balozi
Mtoto wa geti kali - Inspector Haroun
Elimu mtaani + sauti ya gharama - D knob
Mkiwa - K sal ft Ferooz
Salome + Julieta + Hi - Dully Sykes
Raha tu - AY
Mambo vipi - Mchizi Mox
Solid Ground Family - Bush party
Nini mnataka mazee- Pig black

Najua wengi mmekariri ni P Funk na Master J, na hata mimi nakubali linapokuja suala la kuwatoa wasanii wengi hawa jamaa hawana mpinzani hasa ukizingatia walivyokuwa na connections nyingi kwenye media, walisaidia kazi kibao za wasanii zitufikie na waliifanya kazi kama full time job iwe kazi yao rasmi. lakini kwa upande mwengine tunapomzungumzia Mika Mwamba hizo ni level nyingine na hata wao walijua, Mikka alikuwa na uwezo binafsi wa juu sana kwenye kubuni biti, alikuwa mtundu zaidi kwenye kucheza na vyombo kwa ubunifu ulioshangaza wengi.

Mzungu alikuwa ni Full Package ambae vitu vingi kwenye upande wa biti alikamilisha mwenyewe tofauti na kina Pfunk na Master J ambao waliwatumia wagonga beat wengi waliochangia idea na kutengeneza beats ila credit zikaenda kwa hao jamaa wawili. Mfano sehemu za vinanda wanamtumia bizzman, sehemu za gitaa wanamtumia mzungu kichaa, n.k. "She got a gwan" Gitaa ni Mzungu Kichaa, strings ni Bizz man, Kick zile ni Soggy Doggy, Majani kaja kumalizia mixing na mastering. Kwa upande wa Master J aliweza kuajiri kabisa watasha kama kina Ludigo na Said Comorie na walioandaa kazi kibao ila credit ikaishia kwa Master J.

Nimgusie pia Mkongwe Ludigo, huyu mtasha ndie kahusika kwenye ngoma kibao za hip hop zilizofanywa Bongo records na Mj Reecords, Ludigo hakuwa na Studio maalum ila mikono yake ipo kwenye hits kibao, pale bongo records kapika beats za Ngwea kama Mikasi, Kimya kimya, Aka mimi na Weekend, alihusika pia kwenye Mgambo ya juma nature, Aquelina ya Ocq ft Juma nature, kibanda cha simu ya Soggy, Bijou ya Dully sykes, kwa uchache tu. Kwa Master J ameandaa Album ya Wagosi, Album ya Mr Ebo , Mapacha, Fid Q na kina profesa Jay (ikiwemo Bongo Dsm) Kifupi Ludigo ndie alikuwa master mind wa ngoma kibao za hiphop ila ndio vile ngoma ikipikwa bongo records tunajua ni Majani na akifanya kwa MJ records sifa zote zinaenda kwa Master J

Tukija kwa upande wa kaka yao kiumri na kiuwezo Mika Mwamba huyu alikuwa ni next level na hata hao kina Pfunk na Master J walijua hilo, Ila tatizo ni kwamba Mika alikuwa hapendi kufahamika na ndio maana watu wengi hawakuweza hata kumfahamu kwamba ni mzungu kutokea Finland na sio raia wa Tanzania, hiyo yote ni kwasababu aliamua toka kitambo asionekane kwenye Media wala kupigwa picha, hakupenda umaaufu wala kufanya matukio ya watu kuanza kumfatilia, Interview aliyowahi kuifanya ni kwa millard ayo ipo Youtube ilikuwa 2017, hapo ni baada ya kukaa nje ya muziki mda mrefu sana.

Mika Mwamba alikuwa anakaa ulaya na bongo, anaweza akaja bongo akakaa miezi sita anapiga kazi pale Fm Studio kisha anasepa kurudi kwao, alikuwa hakai sana hapa bongo. ilikuwa ni kumvizia + timing, yaani akija tu watakaompata ndio hao watarikodi nae na kiukweli waliobahatika walipiga mshindo.

Aliachana na mambo ya mziki kwa muda mrefu ila alijaribu kutest mitambo walau mara moja na akathibitisha uzoefu wake hauozi, ee bwana eeh!! Alitubless na mkwaju ulioenda shule - Mashaallah ya Chid Benz ft Mzee Yusuf.

Inasemekana kuna watu wenye roho zao mbaya kwa kushirikiana walileta figisu mpaka Mika Mwamba akasepa ili wao na studio zao wapate majina ila nao wakaishia kushuka zaidi...
Ni Raha tu, Nini Mnataka Mazee zimetengenezwa na P Funk. Bush Part imetengenezwa na Bonny Love.
 
Back
Top Bottom