Martina Big: Mwanadada, mzungu aliejibadikisha na kuwa mweusi kama Mbantu ngozi na macho

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,332
1,862
Hii Dunia haiishi viroja.

1711485874486.png

Huku Dada zetu, Wabantu kama mimi wakipishana kuingia Maduka ya Vipodozi hadi wengine kufikia hatua ya kujidhuru kutokana na kupaka mikorogo isiyo ya viwango maalum ilimradi tu wawe na ngozi nyeupe (Kama Wazungu) wakiamini pengine inavutia zaidi ya ile waliyojaaliwa na Muumba wao.

Huko Ulaya, Nchini Ujerumani yupo mwanadada mmoja Muigizaji,

Yeye sasa amefanikiwa lakini kinyume na tulivyozoea Ms. BIG ni Mzungu (Blonde) kwa Asili kwa maana ya- kwakuzaliwa.

yeye alitamani kufanana na Muafrika sijui ndio tuseme amefanikiwa? Kwani kaweza kuibadilisha Ngozi ya mwili mzima ikiwemo na Rangi ya Macho yake mithili ya Muafrika yaani Mbantu kabisa kama wewe na mimi.

Tuliyokuwa tukiambiwa siku zote kwamba 'Kua uyaone' nadhani ndio haya sasa.

Nawasilisha.

Anatafuta Attention tu.

Black is Beautiful

Hakuna kitu chechote kile katika huu ulimwengu ambacho hakijapewa baraka na mtu mweusi. Yaani kuwa Beautified na Mwafrika

Country Music
Gospel Music
Hip Hop music
Jazz Music
Rock & Roll Music na listi bado ni ndefu sana

Tukija kwenye masuala ya Fashion ndio Usiseme

Kwenye Siasa na mifumo ya Demokrasia

Kwenye Jamii na mifumo ya Ushirikiano

Kwenye Uchumi na mifumo ya Uhuru wa Kibiashara-Free market, itoshe Waafrika ndio real Capitalist.

....
 
Kwa hapa tulipo na maendeleo haya tuliyonayo?
 
Hii Dunia haiishi viroja.

Huku Dada zetu, Wabantu kama mimi wakipishana kuingia Maduka ya Vipodozi hadi wengine kufikia hatua ya kujidhuru kutokana na kupaka mikorogo isiyo ya viwango maalum ilimradi tu wawe na ngozi nyeupe (Kama Wazungu) wakiamini pengine inavutia zaidi ya ile waliyojaaliwa na Muumba wao.

Huko Ulaya, Nchini Ujerumani yupo mwanadada mmoja Muigizaji,

Yeye sasa amefanikiwa lakini kinyume na tulivyozoea Ms. BIG ni Mzungu (Blonde) kwa Asili kwa maana ya- kwakuzaliwa.

yeye alitamani kufanana na Muafrika sijui ndio tuseme amefanikiwa? Kwani kaweza kuibadilisha Ngozi ya mwili mzima ikiwemo na Rangi ya Macho yake mithili ya Muafrika yaani Mbantu kabisa kama wewe na mimi.

Tuliyokuwa tukiambiwa siku zote kwamba 'Kua uyaone' nadhani ndio haya sasa.

Nawasilisha.

View attachment 2945520
Negative changes
 
Back
Top Bottom