mzungu

Also known as muzungu, mlungu, muzungu, musungu or musongo, mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in predominantly Swahili speaking nations to refer to Caucasian people. The noun Mzungu or its variants are used in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (the word changed to "vozongo" in Malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mzungu akitafuna mfupa wa nyama

    Wakuu Hivi wazungu huwa hawali nyama zenye mifupa kama sisi waafrica?
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mzungu akikupa msaada jua kuna kitu utampatia tu

    Je? Hicho kitu ni kitu gani mpaka sisi waafrika hatukioni. Kwa waafrika wenzetu.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuanze kuona kuwa adui yetu ni "mzungu"

    Ni muda wa kutosha sasa kutambua na kuamka kwa kila mtu kuwa umasikini sio mcpango Mungu bali ni mpango wa wazungu hivyo hakuna sababu ya mtu yeyote kuwa masikini au mwenye njaa au kuishi bila nyumba ya kuishi wakati Afrika inao utajiri wa kutosha unaoibiwa na wazungu kwa kushirikiana na...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa ONLY GOD CAN JUDGE ME, Tupac alisema "Na wanasema ni Mzungu ninayepaswa kumuogopa, Lakini ni wa aina kama yangu ndio wanaofanya mauaji hapa"

    "And they say it's the White man I should fear, But it's my own kind doin' all the killin' here" Katika wimbo huu anaongelea experience yake alivyopigwa risasi wakati alipoenda kuwatembelea bad boys pale quad studios. Ni statement fupi ila iliojaa ujumbe mkuu kulingana na hivi vituko waafrika...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh, huyu Mzungu ana hoja nzito, tumsikilize

    Katika clip hii, Mzungu amempa Atheist, uthibitisho wa nguvu kuwa Mungu yupo. Mwishoni Atheist amekubali atatafakari aliyoambiwa. https://youtube.com/shorts/d7iJWV7V2Jg?si=Sr8ILKv-n-nmPbd2 Clip hii inaonyesha wazi Atheists wakiujua ukweli wako tayari kubadilika na kuwa Wakristo. Hivyo...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kugundua kuwa katika free time Mzungu anaisaka ADVENTURE huku Mwafrika anaisaka PLEASURE🤣

    MZUNGU NA ADVENTURE: HAYA SASA MUAFRIKA KATIKA KUISAKA PLEASURE: ALL IN ALL MAISHA YAENDELEE
  7. J

    JamiiForums Tanzania TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.

    TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU. NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO. Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia, anapaswa kukutana na Samia kama atatia nia, maana ile siasa yake na siasa ya Chama chao ni CCM level ya...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kama kweli makanisa yanaongozwa na wasomi, ni kwanini picha feki ya Yesu mzungu bado inatumika? Yesu alikuwa Mweusi, kuna anayebisha?

    kama binadamu wote wametokea Africa (Genetic Fact), Adam na Hawa wamekuaje wazungu? https://www.instagram.com/reel/DOx5fvOkcVk/?igsh=MW43dWt5eWp5eWNvbA== ========================== Ukweli kwa sasa umejulikana, Yesu alikuwa mweusi, look up juu ya hili kwa mtu yeyote au chanzo chochote...
  9. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Waafrika wengi tunapenda kusema kuwa mzungu ndio adui yetu mkubwa wa ustawi wetu na hataki kutokee maendeleo yoyote katika kizazi cha mtu mweusi

    Mara ooh "dawa ya ukimwi ipo sema tu anataka tuendelee kufa ili waje waichukue Africa" Mara ooh "hizi chanjo tunazochanjwa ndio zinatufanya kuendelea kudaa akili na tusiweze kuwafikia wao" Mara ooh "mzungu ndio anaesababisha vita ili waingilie kati wachukue vito na rasilimali" Saw hadi siku...
  10. Culture Me

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

    https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake, Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha...
  11. Full charge

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata fuvu/mabaki ya binadamu mzungu aliyekuwa nyani kabla ya kuwa modern man?

    Wakuu ntangulize shukrani kwa wajuvi wa mambo,nikili tu kwamba mimi somo la history nilikuwa mweupe. Ila nakumbuka kama vile fuvu la binadam-nyani wa kale linapatikana Afrika mashariki. Olduvai George (mtanikosoa) Sasa fuvu hili ni wazi ni la mwafrika au mtu mweusi,sasa swali langu ni je fuvu...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ronald De La Bere Barker 1889-1965. Mzungu aliyeishi kwenye mapori ya mto Rufiji.

    Simulizi hizi unaweza kuzisoma Bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo Playstore. Huyu mzungu alizaliwa huko New Zealand. Baadaye akaja kuishi kwenye mapori ya mto Rufiji akiwa muwindaji. Majina yake mengine ni Mzee Rufiji au Mtawa maporini. Aliandika vitabu vinne vya kuchekesha sana juu ya...
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata mchumba Mzungu, Namuoa kama mke wa pili na amekubali

    Helooo, Jf, Heloo Tanzania hatimae nimeopoa manzi ya kizungu, yaani ni full mahaba in the house. Sasa namuoa kama mke wa pili na ameridhia kazi kwenu na nyie mtafute kama wanapatikana kirahisi.
  14. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu kakataa Mimba

    Hi guys, Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) . Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kwenye biblia uafrika umetajwa mara nyingi 56 kwenye agano la kale ila mzungu ndo anapewa hatimiliki ya biblia na ukristo

    Katika jamii ambayo watu ni rahis kuwa brainwash basi ni waafrika Mfano:- neno kush likimaanisha mwafrika limetajwa mara nyingi sana mke wa musa alikua ni mwafrika, sefania alikua ni mwafrika na malkia wa sheba alikua ni mwafrika Ila ni kawaida sana kukuta mwafrika anawapa umiliki wa ukristo...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mzungu aliwaua wanawake wawili weusi na miili yao kupewa nguruwe waile

    Kisa cha wanawake wawili weusi wanaodaiwa kupigwa risasi na mzungu na miili yao kupewa nguruwe waile kimezua taharuki nchini Afrika Kusini. Maria Makgato, 45, na Lucia Ndlovu, 34, inadaiwa walikuwa wakitafuta chakula katika shamba la mzungu huyo karibu na Polokwane katika jimbo la Limpopo mwezi...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mzungu ameshangaa kwanini Azam energy inauzwa hadharani

    https://www.facebook.com/100003279171374/posts/8187447298041161/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

    pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mzungu: Ukitaka kumskasirisha Mtanzania, mwambie kajifunza Kiswahili kwa Mkenya!

    Ni kweli Watanzania hukasirika wakiambiwa Wakenya wanakijua Kiswahili kizuri kuwazidi?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa mzungu

    Utasikia mtu au watu wanasema "uchawi wa mzungu huo"- hapa wanamaana ya mashine au aina Fulani ya teknolojia!. Nianze taratibu kabla sijasema ninacho kuelewa. Niruhusu mjadala kwanza Kisha baadaya ya kupata mitazamo ya watu na uelewa wa watu juu "kwani neno Uchawi kimewekewa hapa"? . Karibu!
Back
Top Bottom