mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. Msibani imesemwa Hayati Lowassa alikuwemo JWTZ hadi Ukapteni na akashiriki vita vya Uganda. 2015 mzee Makamba alisema Lowassa hakwenda jeshini

    https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8 Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu. Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
  2. Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  3. Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee?

    Obama alianza uraisi akiwa 48 yrs na tulimuuita kijana. Elon Musk ana 53, tajiri mkubwa namba moja duniani, tunamuuita kijana Mark Zuckerberg ana 39, tajiri mkubwa tunamuita kijana Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee? Nataka, kutoa somo moja Leo. Chanzo kingine cha Africa...
  4. T

    Yuko wapi Andrew Chenge Mzee wa Vijisenti?

    Wanajamvi ni swali tu sijamuona muda mrefu mwanasheria nguli huyu si sehemu za furaha au misiba haonekani Anajua alipo atujuze.
  5. Kuna kila ishara kwamba wazee ndani ya CCM hawaheshimiki na wala hawahitajiki

    Habarini, Kuna namna CCM haina mfumo wa kuwatumia malegend wake katika forums/majukwaa na haina forums za kuwatumia Wastaafu wake kiushauri. Katokana na hali inayojirudia kwa Mzee Paul Kimiti amekuwa mwenye kutoa mawazo yake kila akipata fursa ya kutoa neno. Kwa namna ya utoaji maoni wake...
  6. Mzee Butiku umekumbwa na nini hadi leo hii umsifie hivi marehemu Lowassa ambaye ulitokea kumchukia sana mwaka 2015?

    "Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Kada Tukuka wa CCM na Mmoja wa Think Tanks wa Baba wa Taifa Mwalimu...
  7. J

    CHADEMA hamjamtendea haki Mzee Lowassa

    CHADEMA wamepata Ruzuku ya Zaidi ya 2.7 sababu kubwa ni Kura za Mzee Lowassa lakini cha ajabu fedha hizo zimeishia kuhudumia wanafamilia na si ujenzi wa uimara wa chama badalayake viongozi kujenga mahekaru Yao na kuishi kifalme huku Chama kikibaki mifupa Mitupu. Sikutegemea hata kidogo Kuona...
  8. B

    Mzee Kinana mbona hujatuambia CCM inapata ruzuku kiasi gani?

    Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani? Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda...
  9. M

    Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari. Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa...
  10. Mzee wa miaka 70 ashikiliwa na Polisi akituhumiwa kufanya utapeli na Maafisa wa NSSF

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii [NSSF] linamshikilia mtuhumiwa Pius Komba [70] mkazi wa Itigi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli na kughushi nyaraka mbalimbali. Mtuhumiwa alikamatwa Januari 25, 2024 eneo...
  11. R

    A.Lusekelo( Mzee wa Upako, Pombe Si DHAMBI, ni kosa.

    Salaam, Shalom!! Baada ya Pope wa Katoliki kuwadissapoint waumini, Mzee wa Upako,kama anavyojiita, Tingatinga, ametoka hadharani na kuhalalisha pombe Kwa waumini wake. Ameongea hayo madhabahuni kuwa, BIBLIA haijakataza POMBE,Wala KULEWA, Bali Biblia imekataza ULEVI.😳😳 Amejiumaumaaa...
  12. PreGE2025 Mzee wa Kizanzibari: CCM hakijaumbwa kushindwa, kwa njia zote anachukua nchi. Adai haiwezekani kupika na kupakua halafu ashibe mwingine

    NAMNUKUU "Hiko chama cha ACT Wazalendo kinachojilabu mwaka huu kitachukua Serikali mashudu, kusema kitu chengine bwana. Hapa waafrika hawatawaliwi tena, bora tufe sote kiwanja kiwe hakipo lakini hatutawaliwi, hamuwezi kutufanyia upuuzi huu. Eti kusema mwaka huu tutashinda ACT wazalendo, nipike...
  13. Mzee wetu akaombwe radhi afute neno la "kichwa cha mwendawazimu" else mtateseka mtakula sana hela za wananchi vs Taifa Stars

    Msitafute mchawiiiii 1. Aliikuwa ni Rais kiongozi wa nchi Kumbukeni anaongoza kila mtu anapokasirika hata mbingu inahuzunika Tuliona kirahisi alipoumia na kusema ile timu ni kichwa cha mwendawazimu mkakaa kimya Yale maneno yanafanya kazi, yanaumba kwa stars yetu soln ya kutoka ni kwenda...
  14. PreGE2025 Mzee Wassira apinga CHADEMA kufanya maandamano. Adai viongozi wa chama hicho wanajua utaratibu

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amekosoa hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutaka kufanya maandamano kupinga miswada ya sheria za uchaguzi na ugumu wa maisha akisema ni dalili ya kupungua kwa uvumilivu nchini. Wasira amesema hayo leo Januari...
  15. Mzee Butiku kwa upenda haki unaojaribu kuonyesha huyu mzee anaweza kuteseka hivi ukiwepo?

    https://www.youtube.com/watch?v=6oSnH_by-7U
  16. Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni...
  17. Kama unataka uuze gari, simu na vingine ili ulipe ada hamisha mtoto kwenda shule za Samia

    Ada zinasumbua sasa. Ukitaka kuuza kitu ulipe ada hapo unakosea sana! Magari, viwanja, nyumba, simu, pikipiki vinawekwa sokoni kwa kasi sana.
  18. Kama una miaka 25 Wewe ni kijana mzee kama Una miaka 26 Wewe ni mzee kijana

    Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakuwa kijana mzeee. Ukiwa na miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa na nguvu. Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoezi kuwa na tabia ya kucheck sukari, pressure n.k.
  19. Mzee wa Chato anamhoji Mbowe.

  20. R

    Nguvu ya soda: Mzee Kinana agizo lako kuhusu utitiri wa trafiki polisi barabarani liliishia wapi?

    Ulipongexzwa na watumiaji wa barabara hasa wa magari kupunguza vizuizi vya traffic police barabarani kwa vile ilikuwa ni kero na fursa za rushwa kila kituo walipo traffic. That was a good move. Ulisema wawepo lakini si kila baada ya mita chache kama ilivyokuwa na ilivyo sasa. Mzee zuio hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…