Nguvu ya soda: Mzee Kinana agizo lako kuhusu utitiri wa trafiki polisi barabarani liliishia wapi?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,005
Ulipongexzwa na watumiaji wa barabara hasa wa magari kupunguza vizuizi vya traffic police barabarani kwa vile ilikuwa ni kero na fursa za rushwa kila kituo walipo traffic. That was a good move.

Ulisema wawepo lakini si kila baada ya mita chache kama ilivyokuwa na ilivyo sasa.

Mzee zuio hilo liliishia wapi?
 
Hata wapuuzi huzeeka, nchi ndio kwanza iko kwenye harakati za kuongeza askari yeye anaona kero kusimamiwa!

Aiambie CCM yake ijenge mitambo itakayotumika mbadala wa hao askari.
 
Back
Top Bottom