Tumefikia huku? kwamba mzazi anapata taarifa ya kifo cha mtoto kwenye soshomedia?

Litro

JF-Expert Member
Nov 18, 2018
941
1,929
Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha.

Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana.

Kilichonifikirisha na kuniuma ni yeye kusema siku hiyo alimtafuta mwana akamkosa akaenda jumuiya akiwa hana raha kwa kumkosa mwana mbaye alitaka kumsomea neno kutoka kitabu kitakatifu. akapigiwa simu mbili ile ya pili ilikuwa ni pole direct kwamba "nimeona Gadna amefariki huko kwenye mitandao" can you imagine habari nzito inafika kwa mtu muhimu kwa njia nyepesi kabisa?!!.

Kwanini tumekuwa washamba na malimbukeni kiasi hiki maana ingekuwa ajali utasema mashuhuda walipost, ingekuaje kama baada ya kifo kutokea akatafutwa mtu wa familia akapewa muda kupeleka kwenye ngazi ya familia hii taarifa then ndo ipelekwe kazini?.

Ni nani alivujisha taarifa mitandaoni kabla ya watu muhimu ambae mmoja wapo kwa ukubwa ni mzazi? natamani kuwepo na mtu wa kuwajibishwa katika hili ili iwe mfano.

Tuliona mzee Zoro nae alipatia taarifa kutoka kwenye mitandao binti yake amefariki well angalau ilikua ajali mashuhuda walipostpost lakini bado sio sawa. Usiseme kuwa huo ni umaarufu na maisha yake hapana; Mfu anahitaji stara.
 
Mimi naamini taarifa ni taarifa huna sababu ya kumlaumu mtoa taarifa bali yeye marehemu wakati wa uhai wake aliweka vipi life style yake? Mpaka taarifa zinaenda mitandaoni je marehemu hakuwa na watu wa kumuuguza?
Mgonjwa anapofariki akiwa hospital mara nyingi hospitali haiwezi kutoa taarifa za kifo kwa mtu baki bali mtu wa karibu.
Mgonjwa unapojaza taarifa zako hospital wakati wa kulazwa huwa kunakuwa na namba za simu za mtu wako wa karibu, uhusiano wako na yeye.

Hivo kama mtu wa karibu wa mgonjwa ambaye ni marehemu kwa sasa hawakutoa taarifa kwa mzee na wakatoa taarifa kwa wana hivo huna cha kuwalaumu wana kwa kushare hizo sad news.
 
Rejea nilichoandika, hao ndugu wa karibu walipaswa kumpa mzee update kuwa mwanaye hayupo tena. Huyo aliyempa mzee pole alijua tayari taarifa anazo
hufikirii kuwa hata hao ndugu walipata taarifa huko pia? kiini kipo kwa aliezitoa taarifa pale hosp alizipeleka wai
 
Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha.

Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana.

Kilichonifikirisha na kuniuma ni yeye kusema siku hiyo alimtafuta mwana akamkosa akaenda jumuiya akiwa hana raha kwa kumkosa mwana mbaye alitaka kumsomea neno kutoka kitabu kitakatifu. akapigiwa simu mbili ile ya pili ilikuwa ni pole direct kwamba "nimeona Gadna amefariki huko kwenye mitandao" can you imagine habari nzito inafika kwa mtu muhimu kwa njia nyepesi kabisa?!!.

Kwanini tumekuwa washamba na malimbukeni kiasi hiki maana ingekuwa ajali utasema mashuhuda walipost, ingekuaje kama baada ya kifo kutokea akatafutwa mtu wa familia akapewa muda kupeleka kwenye ngazi ya familia hii taarifa then ndo ipelekwe kazini?.

Ni nani alivujisha taarifa mitandaoni kabla ya watu muhimu ambae mmoja wapo kwa ukubwa ni mzazi? natamani kuwepo na mtu wa kuwajibishwa katika hili ili iwe mfano.

Tuliona mzee Zoro nae alipatia taarifa kutoka kwenye mitandao binti yake amefariki well angalau ilikua ajali mashuhuda walipostpost lakini bado sio sawa. Usiseme kuwa huo ni umaarufu na maisha yake hapana; Mfu anahitaji stara.
kwa mastaa ni rahisi sana taarifa kuvuja, wao clouds ndio walipswa wawawpe taarifa mapema familia hata kama ni usiku wa manane
 
Mimi naamini taarifa ni taarifa huna sababu ya kumlaumu mtoa taarifa bali je yeye marehemu wakati wa uhai wake aliweka vipi life style yake? Mpaka taarifa zinaenda mitandaoni je marehemu hakuwa na watu wa kumuuguza?
Mgonjwa anapofariki akiwa hospital mara nyingi hospitali haiwezi kutoa taarifa za kifo kwa mtu baki bali mtu wa karibu.
Mgonjwa unapojaza taarifa zako hospital wakati wa kulazwa huwa kunakuwa na namba za simu za mtu wako wa karibu, uhusiano wako na yeye.

Hivo kama mtu wa karibu wa mgonjwa ambaye ni marehemu kwa sasa hawakutoa taarifa kwa mzee na wakatoa taarifa kwa wana hivo huna cha kuwalaumu wana kwa kushare hizo sad news.
unaamini kwamba mtu wa karibu ambaye marehemu alimuandika ndio amevuja taarifa? hufikirii mtu wa karibu anaweza kuwa mwanae au ndugu wa damu kabisa tumeona ana ndug zake dar tena sio wa kinyonge wale blood relatives kuna daktari pia u think mtu kama huyo amepewa taarifa akapigia watu wa media kabla ya bab? tuwe great thinkers kidogo
 
kwa mastaa ni rahisi sana taarifa kuvuja, wao clouds ndio walipswa wawawpe taarifa mapema familia hata kama ni usiku wa manane
kuna media ilipost kabla ya clouds...
 
hufikirii kuwa hata hao ndugu walipata taarifa huko pia? kiini kipo kwa aliezitoa taarifa pale hosp alizipeleka wai
Ishatokea na wala sio kwake tu, niliwahi pata ajali mtu anayenifahamu akapigiwa simu na mkewe akasema nipo namsaidia fulani kapata ajali ya pikipiki. Mke wa yule jamaa akapiga sim direct kwa mke wangu unajua mumeo kapata ajali? Wakati huo sim yangu mimi wala siko nayo
 
unaamini kwamba mtu wa karibu ambaye marehemu alimuandika ndio amevuja taarifa? hufikirii mtu wa karibu anaweza kuwa mwanae au ndugu wa damu kabisa tumeona ana ndug zake dar tena sio wa kinyonge wale blood relatives kuna daktari pia u think mtu kama huyo amepewa taarifa akapigia watu wa media kabla ya bab? tuwe great thinkers kidogo
Great thinker? So kuwa great thinker nikusimamia kile unachokiamini wewe tu? Swali bado liko pale pale kama ana dugu tena wazito kama unavojinasibu kwa nini wao wasitoe taarifa kwa mzee? Kama unaamini hospital husika ilivujisha taarifa ya kifo cha Gardner bila Consensus ya familia basi nenda kadai haki mahakamani mkuu.
Kinyume chake laumu familia na siyo whistle blower. Bado naamini taarifa walipewa ndugu wa karibu wa marehemu ila kama unaamini, kuna nesi ama daktari alivujisha hizo taarifa, seek for Gardner's justice.
 
Ishatokea na wala sio kwake tu, niliwahi pata ajali mtu anayenifahamu akapigiwa simu na mkewe akasema nipo namsaidia fulani kapata ajali ya pikipiki. Mke wa yule jamaa akapiga sim direct kwa mke wangu unajua mumeo kapata ajali? Wakati huo sim yangu mimi wala siko nayo
nimesema angalau kwa ajali inaeleweka. lakini pia alipigiwa mkeo sio kwamba walikupost insta si ndio ee
 
Hatuna Elimu kuhus maswala ya kiitifaki

Kam CDF alisak ktba kujua nn kinaendelea baada ya kifo cha hon magufuli unazan cc wengine tunajua nn📌💈
 
Great thinker? So kuwa great thinker nikusimamia kile unachokiamini wewe tu? Swali bado liko pale pale kama ana dugu tena wazito kama unavojinasibu kwa nini wao wasitoe taarifa kwa mzee? Kama unaamini hospital husika ilivujisha taarifa ya kifo cha Gardner bila Consensus ya familia basi nenda kadai haki mahakamani mkuu.
Kinyume chake laumu familia na siyo whistle blower. Bado naamini taarifa walipewa ndugu wa karibu wa marehemu ila kama unaamini, kuna nesi ama daktari alivujisha hizo taarifa, seek for Gardner's justice.
distigusting how one reads to reply not to understand...well hujanielewa nisome upya. ondoa neno kujinasibu sio mahali pake...kujinasibu ni kujisifia kujitamba nami sijafanya hivo hapa.
 
umejinasibu kwa sababu haukuwa na sababbu ya kuleta wasifu wa ndugu zake na marehem
 
Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha.

Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana.

Kilichonifikirisha na kuniuma ni yeye kusema siku hiyo alimtafuta mwana akamkosa akaenda jumuiya akiwa hana raha kwa kumkosa mwana mbaye alitaka kumsomea neno kutoka kitabu kitakatifu. akapigiwa simu mbili ile ya pili ilikuwa ni pole direct kwamba "nimeona Gadna amefariki huko kwenye mitandao" can you imagine habari nzito inafika kwa mtu muhimu kwa njia nyepesi kabisa?!!.

Kwanini tumekuwa washamba na malimbukeni kiasi hiki maana ingekuwa ajali utasema mashuhuda walipost, ingekuaje kama baada ya kifo kutokea akatafutwa mtu wa familia akapewa muda kupeleka kwenye ngazi ya familia hii taarifa then ndo ipelekwe kazini?.

Ni nani alivujisha taarifa mitandaoni kabla ya watu muhimu ambae mmoja wapo kwa ukubwa ni mzazi? natamani kuwepo na mtu wa kuwajibishwa katika hili ili iwe mfano.

Tuliona mzee Zoro nae alipatia taarifa kutoka kwenye mitandao binti yake amefariki well angalau ilikua ajali mashuhuda walipostpost lakini bado sio sawa. Usiseme kuwa huo ni umaarufu na maisha yake hapana; Mfu anahitaji stara.
Mkuu siku hizi ni kama vile kuna mashindano ya nani atawahi kupost taarifa. Ndio maana unaona nyumba inaungua, au mtu anazama kwenye maji zamani ilikuwa mtu anafanya juhudi za kutoa msaada, ila mtu siku hizi anawahi arekodi awe wa kwanza kutuma kwenye mitandao ya kijamii.
Mtu anazama eti mtu anarekodi, jamani ona ndo anazama vilee, ona anakufa jamani oooh anakufa yuko anarekodi tu.
 
Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha.

Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana.

Kilichonifikirisha na kuniuma ni yeye kusema siku hiyo alimtafuta mwana akamkosa akaenda jumuiya akiwa hana raha kwa kumkosa mwana mbaye alitaka kumsomea neno kutoka kitabu kitakatifu. akapigiwa simu mbili ile ya pili ilikuwa ni pole direct kwamba "nimeona Gadna amefariki huko kwenye mitandao" can you imagine habari nzito inafika kwa mtu muhimu kwa njia nyepesi kabisa?!!.

Kwanini tumekuwa washamba na malimbukeni kiasi hiki maana ingekuwa ajali utasema mashuhuda walipost, ingekuaje kama baada ya kifo kutokea akatafutwa mtu wa familia akapewa muda kupeleka kwenye ngazi ya familia hii taarifa then ndo ipelekwe kazini?.

Ni nani alivujisha taarifa mitandaoni kabla ya watu muhimu ambae mmoja wapo kwa ukubwa ni mzazi? natamani kuwepo na mtu wa kuwajibishwa katika hili ili iwe mfano.

Tuliona mzee Zoro nae alipatia taarifa kutoka kwenye mitandao binti yake amefariki well angalau ilikua ajali mashuhuda walipostpost lakini bado sio sawa. Usiseme kuwa huo ni umaarufu na maisha yake hapana; Mfu anahitaji stara.
NAONAAA UNA DILI NA UMAARUFU UNAARUFU

KWANI WANGEWAHI KUJUA NDUGU HIZO NEDIA ZISINGEANDIKA NA JE WAKIANDIKA KABLA YA NDUGU SHIDA IKOWAPI......EMBU MWACHENI GARDNER APUMZIKE MSIJAZE MATHREAD KUTAFUTA UMAARUFU

KILA KUKJCHA GARDNER GARDNER HATA AJAZIKWA AMUWI WAUNGWANA MUWE NA HEKIMA ATI MKUMBUKE KUNA NDUGU HUMU WAKIONA MAPOST YENU YA AJABU MNAWAUMIZA
DK
PDIDY
 
Back
Top Bottom