mzalendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbe Nyerere alikuwa mzalendo kiasi hiki? Leo tuna matapeli tu

    1.Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa. 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine...
  2. R

    Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

    Msaliti hana maisha marefu kwenye siasa. Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo waliandaa njama yakuivuruga CHADEMA , wakakamatwa na kufukuzwa. Akaenda kuanzisha chama chake kwa lengo lakuisambaratisha chadema . Amepambana awezavyo ameshindwa imemlazimu aamue kung'atuka chama kisife mikononi mwake...
  3. Kijana mzalendo amvaa Paul Makonda ahoji ukimya wake mkataba wa bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA 2023. 1. UTANGULIZI Ndugu waandishi wa habari leo jumatatu tarehe 20/11/2023 nimewaitaili...
  4. R

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono

    Salaam, Shalom!! Tuliiona Kasi ya Kassim Majaliwa kiutendaji chini ya Hayati Magufuli, lakini baada ya kufariki Kwa Magu na Kuingia kiongozi mwingine, alijaribu kuendeleza Kasi hiyo lakini ghafula akaanza kuwa mpole, Amepitia misukosuko kadhaa akishutumiwa Kwa tuhuma zisizo na UKWELI wowote...
  5. Nondo za Luhaga Mpina, ndio maana Mzalendo namba moja hayati JPM alimkubali sana

    "Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema tunalinda viwanda kwa hapa tunavilindaje?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
  6. Tunahitaji Rais Mzalendo 2025 aupitie upya Mkataba wa DP world

    Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari. CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana. Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
  7. Rais Samia sio mzalendo kwao!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi...
  8. Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

    Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini...
  9. K

    Kama kweli wewe ni mzalendo kwanini unaunga mkono mkataba wa DP World bila marekebisho?

    Kama kweli wewe ni mzalendo Kwanini una support mkataba wa DP world bila marekebisho? Sababu je ni hipi hasa 1. Je, wataalamu wetu wanatudanganya? 2. Haujauelewa mkataba? 3. Umenufaika binafsi? 4. Unajali siasa kuliko nchi? 5. Haujali mkataba kwasababu kuna mikataba mingi? Je, kwanini...
  10. S

    Kijana Mzalendo amtuhumu Chongolo kuwa chawa wa DP World

    Kijana Mzalendo Nkindikwa David amemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo kushabikia Mkataba wa Bandari licha ya kupingwa kila kona ya nchi. Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea rasilimali zetu na kamwe tusikubali kugawanyishwa na mtu au kikundi cha watu kwa misingi ya dini, itikadi za...
  11. J

    Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-World

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI...
  12. S

    Kijana mzalendo kuiburuza serikali mahakamani mkataba DP

    KUSUDIO LA KIJANA MZALENDO DAVID LEVI NKINDIKWA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA MKATABA WA BANDARI. Ndugu waandishi wa habari, leo tarehe 5/8/2023 nimewaita ili kuujulisha umma wa watanzania dhamira yangu ya kufungua kesi Mahakamani kupinga mkataba wa bandari kwenye baadhi ya vipengele na...
  13. Je, tumeshamsahau Wakili Mzalendo Peter Madeleka? Nini kifanyike?

    Julai 17 2023 Mahakama ya Rufaa ilitoa maamuzi ya rufani iliyowasilishwa na Wakili Msomi Peter Madeleka dhidi ya plea bargain iliyoingiwa kati yake na DPP. Tangu siku hiyo ya hukumu Wakili Mzalendo, Msomi Peter Madeleka yupo rumande akisubiri mchakato wa kesi yake ya msingi uanze. Mahakama...
  14. Hayati Lyatonga Mrema angetuambia ukweli juu ya waliohongwa huko Dubai. Alikuwa super spy Mzalendo wa kweli

    Ushahidi wa kimazingira. Circumstantial evidence ni kuwa huu mkataba mbovu kuna watu wamekula rushwa. Taifa letu linahitaji mashushushu kama hayati Lyatonda Mrema. Leo hii tungejua kila mtu namna alivyohongwa na kuisaliti Tanganyika.
  15. M

    Kuvaa sare za chama haimaanishi wewe ni mzalendo kwa nchi wala chama

    Wakuu ni kwamba kila chama kina sare zake na zimekuwa zikivaliwa sana na makada. CHADEMA na magwanda yao huku CCM wakipendeza kwenye kijani na njano. Ni jambo jema kwa sababu sare zinapunguza sana matabaka kwenye mikusanyiko, mikutano na vikao. Kinachoniudhi ni tabia ya makada wengi wa vyama...
  16. S

    Tulia, Prof. Kitila, Chongolo, Prof. Kabudi jibuni hoja za Kijana Mzalendo mkataba wa Bandari

    Kijana Mzalendo, David Levi Nkindikwa amekuja na uchambuzi wa hoja lukuki zikihusisha matashi ya Spika wa Bunge Tulia, Prof Mkumbo, Katibu Mkuu Chongolo kuhusu mkataba wa Bandari uchambuzi ambao umesambaa katika mitandao mbalimbali ikiwemo JF. Lakini amehoji kuhusu ukimya wa Baba wa Mikataba...
  17. S

    Kijana Mzalendo amvaa Spika Tulia Mkataba wa Bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO, DEVID LEVI NKINDIKWA KUHUSU MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI LEO TAREHE 22/7/2023 1. UTANGULIZI MKATABA WA IGA BAINA YA TANZANIA NA EMIRATE YA DUBAI Pamoja na Maoni na ushauri unaotolewa na wananchi kuhusu kufanya marekebisho ya Ibara zenye kasoro katika mkataba wa...
  18. Laaana za Mzalendo wa Kweli zinavyoitesa Nchi na Serikali ya Bi tozo

    Hi Nisiwachoshe mie Ngosha wa Sengerema Iko Ivi kinachoisumbua hii nchi yetu ni Laana za Mzalendo wa kweli kiwahi kutokea nchi mwetu ,JPM mwana wa Chato. Mama usiyape kisogo maono ya Mzalendo wa kwelii na Majaliwa Kasimu Usiyape kisogo jambo hili Nakufahamu vyema mikono yako ni misafi achana...
  19. Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

    ' Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.' ' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.' ' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na...
  20. Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…