Watumishi wote mnao husika na Serikali moja kwa moja
TAKUKURU Tujitafakali
Polisi Tujitafakal
JWTZ Tujitafakali
Magereza Tujitafakali
Usalama wa Taifa Tujitafakali
Watanzania TUJITAfakari! wote kwa ujumla wetu watanzania
Leo mali za nchi zinaporwa kwa dharau na ujasiri wa hali ya juu. Ufisadi...
Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Wakuu
Nimepitia page ya mange kiukwel kama mtanzania mzalendo nafsi inaniuma sana yn watu wanajikusanyia ukwasi wa hali ya juu
Watanzania wanateseka barabara mbovu,hospital hakuna dawa,usafiri shida,maji shida,elimu mbaya,ajira hakuna
Umaskini ndo usiseme
Alaf kuna watu wachache ambao...
Hali zenu wanajamvi natumai wote ni wazimaa....
Kama heading inavyojieleza nimeona leo nimtazame jk kwa jicho la tatu nimegundua mzee huyu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili alieacha alama inayomsaidia mtanganyika mpaka leo.
Miaka imepita baada ya uongoz wake lakin vizaz vinaendelea kubeemeka...
Moja kwa moja kwenye mada:
Kama Polepole upo humu kwa akaunti fake, naomba usiache kujibu hili swali langu:
Hivi Watanzania tutaacha lini unafiki wa kujifanya tunaguswa na yanayoendelea nchini ikiwa hatupo katika maslahi hayo? Polepole ni mgeni hapa nchini? Alikaa miaka mingapi Cuba?
Mimi si...
Kwa kila mtanzania aliye na utii kwa nafsi yake na mbele za Mungu, atakiri kwamba kwa sisi sote tuishio sasa, hakuna mtu mwenye uzalendo wa kiwango cha juu kabisa, na mapenzi mema kwa Taifa ketu na wananchi wote, ambaye anaweza kumfikia Tundi Antipasi Lisu.
Lisu alikuwa na bado ana nafasi ya...
Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa...
Wanabodi,
Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la tatu, tunajua amesema ukweli nusu!, ndio maana bado yuko mguu mmoja ndani, akisema atabaki kuwa...
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya...
Wakuu hapa Akili simaanishi Elimu, Vijana wa CCM Akina Kawaida Simnaona Wana Degree lkn ni chapa maandazi, akiongea tu unajua Kichwan hamna kitu!!.
Hata hivo ni kweli ,Mchakato wa MTU kufikia Elimu yake ya juu Kuna namna unaendana na Akili yake .
Kwa Mfano, Unaweza Ona, Akina MPINA safari yake...
Kuna mkutano mkubwa wa CHADEMA. Heche amemwambia Dj apige audio ya mmoja wa Mawaziri wa CCM akiapa kumnyoosha Heche kwa kumdhuru.
Je, huyu Waziri ni nani na kwa nini awe anatishia watu maisha?
# No reform no election
Hapa Tanzania hakuna kiongozi mzalendo kama wanavyojinasibisha kwenye majukwaa ya kisiasa
Kwa Mfano
1. Hakuna mtoto wa kiongozi anayesomea shule za serikali za msingi, secondary na vyuo vya kati vya serikali
2. Viongozi wetu wakiugua wanakimbila hospital za nje ya nchi au hospital za private...
Hebu tuweke kwanza mapenzi ya vyama pembeni,
Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mzalendo aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni mwake na sisi sote ni mashahidi kwa hilo
Lakini baada kufa kuna Viongozi wamekuja hawana hata uchungu na Tanzania bara,wamejaa porojo wameuza rasilimali zetu alizozipigania...
Ndugu zangu kwa hali hii sasa ma papa wamejipanga kupeana vitengo wao kwa wao kwa mipango yao. Tayari wanataka waonyeshe kwamba kuna demokrasia kumbe ni hakuna kitu.
Mwananchi wa kawaida kazi yake ni kulipa Kodi kuwalisha ma papa.
Ukombozi wa nchi hii upo mikononi mwa WANANCHI wazalendo...
Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema:
"Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
akili
gerezani
hasara
hazina
lissu
mama samia
mchungaji msigwa
mkweli
msigwa
msimamo
mzalendo
nje
nje ya serikali
nzuri
samia
serikali
taifa
tundu lissu
uchaguzi 2025
uchaguzi chademac2024/2025
uenyekiti chadema
ukweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.