mzalendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    LGE2024 Kijana mzalendo aivaa CCM na serikali juu ya uchaguzi " wameshindwa leadership wanaogopa nini "

    ACHAMBUA MATUKIO YA UCHAFUZI WA UCHAGUZI WA TAMISEMI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=gRp4sZuVa-A Kada wa CCM akihoji chama dola kongwe na serikali yake kwa kuteka na kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi wa serikali za mitaa TAMISEMI 2024, na kusema huku ni kushindwa kwa chama kongwe dola...
  2. M

    Arab contractor ndie mkandarasi mzalendo kuliko wote waliowai kufika Tanzania. Vitisho vingi kavipata ila bado kajenga bwawa. Pongezi kwake

    Habari wadau Nimekumbuka sana heka heka za bwawa la umeme la rufiji kujengwa. Ili bwawa limejengwa kwa mbinde sana. Mshindi wa tenda hiyo kampuni ya Arab contractor ilipitiq vitisho vingi sana kwamba haitapewa support yoyote na ikapigwa vikwazo na banks zilizokuwa zinam support mpaka bank ya...
  3. Gabeji

    Mzalendo namba moja, aliyebaki Tanzania ni mzee Jaji Joseph Warioba, Watanzania wanakutegemea sana. Uishi miaka mingi

    Mzee tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu, uzalendo wako sisi watanzania tunauona. Usichoke kusema na kukemea na kushauri viongozi wetu hawa ambao wengi wao wanajua kujaza matumbo yao, hawapo kimasilai zaidi ya inchi. Mzee wetu wewe ndio uliobaki ndani ya chaa cha CCM mwenyewe uthubutu...
  4. Abraham Lincolnn

    Kampeni ya 'SAMIA MUST GO' inapaswa kuungwa mkono na Mtanzania yeyote mzalendo

    Kwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo mezani la utekaji na mauaji makubwa ya kutisha linalopelekea raia na watanzania kuishi kwa hofu na...
  5. K

    Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard?

    Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard Je unafurahia utekaji kwasababu tu si ndugu yako kapotea au chama chako? Hata kama vyombo kweli vinafanya uchunguzi kuna shida gani kusaidiwa? Hasa pale ambako kuna wasiwasi vyombo vyetu vinahusika. Soma pia...
  6. K

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
  7. Mohamed Said

    Nangwanda Lawi sijaona Mzalendo mpigania Uhuru aliyesahaulika

    Sijali Sijaona anamzungumza baba yake. SIJALI SIJAONA ALIPOTEMBELEA MAKTABA Sijali Adam Sijaona mtoto wa Lawi Nangwanda Sijaona ametembelea Maktaba na tumejaliwa kufanya mazungumzo kuhusu baba yake. Sijali amerithi hazina kubwa sana ya nyaraka na picha adim za harakati ya kupigania uhuru wa...
  8. Mwizukulu mgikuru

    Mbunge Mpina ni mchumia tumbo tu, wala si mzalendo

    Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni. Alibebwa na Hayati Magufuli Ila mfumo wa Mama samia umemtema. Mpina akubali kuwa kila mfumo una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi leo wengine...
  9. V

    Mtanganyika ukibahatika ukawa Rais wa Zanzibar utakuwa mzalendo?

    Ikitokea ukahabatika ukibahatika ukawa Rais wa visiwani Zanzibar Je, utasimamia nchi kizalendo au utafanya kupiga deal uwe bilionea tu Au ukiacha kuwa Rais Zanzibar Ukibahatika kwenda somalia ukaingia kwenye mfumo wa siasa ukibahatika kuwa waziri Je, utakuwa mzalendo?
  10. J

    Hizi ndio Tabia za Mzalendo

    TABIA ZA MTU MZALENDO Na Joseph Nyoni Uzalendo nini? Uzalendo ni ibada ya kulipenda, kulitumikia na kulitetea taifa katika hali yoyote pamoja na kutanguliza maslahi ya taifa. Zifuatazo ni tabia za mtu mzalendo 1. Analipenda taifa lake na hawi tayari kuliona taifa lake linaingia kwenye shida...
  11. Mohamed Said

    Historia ya Hamisi Heri Mzalendo Mpigania Uhuru

    MUASISI WA TANU TANGA: HAMISI HERI AYEMBA Tanga iliibuka mwaka 1955 na kukabiliana na serikali ya kikoloni kupitia juhudi binafsi za kikundi cha wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la Ngamiani. Kikundi hiki kiliongozwa na kijana Peter Mhando, katibu wa zamani wa kile kikundi cha...
  12. Manyanza

    Mtanzania kuwa mzalendo kwa kudai risiti halali ya manunuzi

    Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu. Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli... Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Makalla: Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Walimualika wenyewe kwenye baraza la wanawake kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia na mzalendo

    "Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la...
  14. MamaSamia2025

    Ninasikitishwa na kitendo cha mwanariadha mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon. Ni ukosefu wa uzalendo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km. Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa. Hii sio mara ya kwanza kwa kijana wetu kufanya hiki kitendo cha hovyo. Mbio sio kuanza ni kumaliza...
  15. Greatest Of All Time

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  16. Pascal Mayalla

    Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Wana JF Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe. https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2 Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni. Kwa jinsi makaburi ya...
  17. K

    Ushauri kwa ACT Wazalendo

    Natoa ushauri kwa ACT Mzalendo. Kwa mawazo yangu chama chenu kina nguvu kuliko nyie mnavyo jichukulia. Tatizo lenu ni kukubali kidogo bila kujua mkikomaa vizuri mnaweza kupata zaidi na nitawapa mifano. Kila mtu anajua ACT mlishinda Zanzibar sasa ni kwanini mlikubali kuwa na mawaziri wachache...
  18. P

    Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

    Wakuu habari za jioni. Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla. Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
  19. Magufuli 05

    Kumbe Nyerere alikuwa mzalendo kiasi hiki? Leo tuna matapeli tu

    1.Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa. 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine...
  20. R

    Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

    Msaliti hana maisha marefu kwenye siasa. Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo waliandaa njama yakuivuruga CHADEMA , wakakamatwa na kufukuzwa. Akaenda kuanzisha chama chake kwa lengo lakuisambaratisha chadema . Amepambana awezavyo ameshindwa imemlazimu aamue kung'atuka chama kisife mikononi mwake...
Back
Top Bottom