Nimekuja, je ni nani atakayenifanyia orientation?

Karibu sana JF. Taja hobby zako kwanza ili uelekezwe kirahisi kwa kwenda.
 
Tate Mkuu, Ahsante sana.
Baadhi ya hobby zangu ni kama;
1. kufahamu zaidi kuhusu tarakilishi (kompyuta)
2. Kufahamu njia mbalimbali halali za kuweza kupata hela (sina mtaji) na baadae kuweza kuwaelekeza wengine na kuwavusha wengine
3. Kufahamu namna ya kushawishi mtu au watu juu ya kitu fulani
4. Mbinu mbali mbali za kumfanya mtu anunue kitu
5. Kufahamu zaidi kuhusu saikolojia ya akili ya binadamu
6. Kufahamu namna ya kutengeneza wafuasi mtandaoni
7. Kufahamu tiba mbalimbali asilia, kutoka kwa makabila mbalimbali

Kama tukipeana ushirikiano katika haya, hakika si mimi pekee bali pia jamii ya Tanzania itanufaika na kupiga hatua kadhaa mbele

Nasubiri michango yenu.

Ahsante
 
Mtafute huyu jamaa Mshana Jr. Amebobea kwenye mambo mengi mpaka yale ya nguvu za giza na mizimu. 🚶🚶🚶🚶🚶
 
kwa sasa nina cha taifa tu Mkuu, kile cha kura sikufanikiwa kupata kipindi kile kutokana na changamoto nilizowhindwa kuziepuka kipindi hicho

how would this help me bro?
Amkeni amkeni amkeni jamani amkeni uuuuwi 😂
 
Mtafute huyu jamaa Mshana Jr. Amebobea kwenye mambo mengi mpaka yale ya nguvu za giza na mizimu. 🚶🚶🚶🚶🚶

well and good, but why did you ask if you were not of any help? By the way, i dont trust in evils or any kind of darkness for i know that darkness cannot drive out darkness but light.

And one of the most profound and powerful utterances i ever heard is "LET THERE BE LIGHT" this utterance is what brought us the sun and the moon for day and night respectively.

Show me where the light is not darkness
 
Back
Top Bottom