mwizi

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yule mwizi wa darajani Kawe alifariki dunia na kuzikwa

    HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA AMEFARIKI NA MAZIKO YAMESHAFANYIKA KIJANA ALIPELEKWA SHAMBA HOSPT KAWE WAKAMPELEKA MUHIMBILI HATIMAE...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa gari adai Kanye West alimtuma kuliiba

    Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa North main street. Smith sasa anakabiliwa na mashtaka ya kujaribu utekaji na wizi wa gari...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mmh! Sio mwizi huyu?

  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia Mwizi Bonge anavyoiba

  5. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwizi wa Gari anaendesha gari kistaarabu

    Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha. Ni hi atakanyaga mafuta hadi pedo iguse bodi la gari, atalikimbiza na kubadirisha gia bila fomula, atalikwangua pande zote na...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nimemuona mwizi mahali ninapoishi

    Wakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri. Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikajisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

    Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba. Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
  8. CONTRARIAN

    JamiiForums Tanzania Katika hali yoyote, Mwizi sio wa kuonewa huruma

    Nahisi baada ya muuaji, dhambi inayotakiwa ifuatie kwa adhabu kubwa basi ni ya Mwizi. Bila kuangalia kaiba kitu gani wala chenye thamani gani, maana thamani ya kitu inategemeana na hali ya mtu na umuhimu wa kitu. Mwizi ni mwizi, hii mijitu sio ya kuonea huruma, popote nitakapo kuta kipigo cha...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mwizi kapatikana

    Wazungu wanasema "Mission Failed".
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwizi akiibiwa polisi hawalali.

    Jamaa mmoja anaejulikana Kwa jina la David (27) mkazi wa Madibira ,mbarali mkoani mbeya ameoa mke wa mgoni wake. Bwana David alimuoa Maria (23) mwaka 2019 nabkibahatika kupata mtoto mmoja. Kutokana na changamoto za kiuchumi alizokua akipitia kijana huyo ilipelekea mke kumkimbia jamaa mwaka jana...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkiibiwa simu mnaipigia, mnataka kumwambia nini mwizi?

    Mtu labda ulikuwa zako kwenye usafiri wa umma, ukaibiwa simu yako. Au hata nyumbani kwako watu wamevunja dirisha wamebeba simu. Unakuta mtu yuko busy kujipigia, huwa mnataka kumwambia nini mwizi?
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa Alama za Barabarani akamatwa

    JESHI la Polisi mkoani Tabora limemkamata Moshi, kwa tuhuma za uharibifu na wizi wa alama za usalama barabarani kutoka katika barabara mbalimbali katika mkoa huo baada ya kukutwa na alama zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 10 nyumbani kwake. Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Madee: Ni ushamba kupiga mwizi

    Kupitia ukurasa wake wa "X" msanii Madee ameibuka na kutoa mtazamo wake kuhusu hukumu wanayoipata wezi wanapokamatwa na wananchi. “Sijawahi kumpiga mwizi na sitakuja kumpiga mwizi. Enhee unampiga huyo mwizi then mnamchoma moto baada ya hapo unakua umefaidika na nini”. “Wote wanaompiga mwizi...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mwizi kapatikana, kwa adhabu hii harudii tena

    Wananchi wamemwambia Mwizi "sisi hatukupigi hata kidogo, ila we amisha maji kwenda ndoo nyingine kisha ondoka". ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako?
  15. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Shule ya Msingi akamatwa kwa ujambazi Mbeya

    Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha. Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kiasili kila mtu ni mwizi, umewahi kuiba kitu gani baada ya kupitiwa na shetani?

    Uwizi ni kitendo ambacho inatokea unakifanya muda wowote na kuiba haichagui umri wala jinsia.Hata nyinyi greater thinkers hakuna ambaye hajawahi kudokoa. Maofisini huko tunaibiana kalamu, flash n.k na wengine ndo kabisa wanaiibia serikali kwa michongo. Kwenye bar huko tunakokunywa kunywa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kumtrack mwizi wa simu yangu?

    Ndugu zangu naomba kujua njia ya kutack simu ya mwizi wangu ili nijue Yuko wapi? Kunasystem inajulikana nzuri yakutumia kulocate simu ya mtu ninayemtafuta hata kama amezima simu? Naomba ushauri
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nicodemas Maganga: Mbogwe Tumejipanga, Mtumishi Mwizi Hatatoka Salama, Tumejipanga Kuzuia Uhalifu

    Mbunge Nicodemas Maganga: Mbogwe Tumejipanga, Mtumishi Mwizi Hatatoka Salama, Tumejipanga Kuzuia Uhalifu Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Mhe. Nicodemas Henry Maganga wakati akichangia Mpango wa Bajeti 2024-2025 ya Shilingi Trilioni 47.4 amesema kuwa Mbogwe wamejipanga kuzuia uhalifu fedha za...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

    Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli! Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha? Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ukiacha kusikia sauti za watu wengi zikikupigia kelele za mwizi huku zikikujia na hatimaye ukakimbia, kituko gani kingine bangi imewahi kukufanyia?

    Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na kocha wetu na timu ilikuwa na mchanganyiko wa watu mbalimbali; wavuvi, wa vijiweni tu na siye...
Back
Top Bottom