mwizi

  1. S

    JamiiForums Tanzania TanFoam Arusha huyu Wakala wenu “Yahaya Mono Msuya” ni mwizi

    Kuna ndugu yangu alifika kununua godoro kwa wakala wa kampuni kongwe inayotengeneza magodoro ya TanFoam. Wakala mwenyewe anaitwa Yahaya Mono Msuya yuko Arusha mjini mtaa wa mjini kati karibu na soko kuu, yeye alitaka kununua godoro la Tanfoam badala yake walimshawishi kununua godoro la Besti...
  2. exalioth

    JamiiForums Tanzania Nimemkamata mwizi wa Taa (balbu) usiku wa leo

    Inashangaza na inaskitisha... Ilikua ni majira ya usiku saa saba na ushee usinigzi uligoma kabisa nilikuwa naumwa, tumbo lilikuwa linasokota nikatoka nje kuskilizia maumivu, sasa nikiwa nmekaa kwenye maua yaliyostawi niliona kwa jirani yangu taa za nyumba yake zimeanza kuzima moja baada ya...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

    Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sana. Kukaa kimya kwa Serikali inatupa mashaka Sana kuhusu utendaji wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sungusungu Mburahati waua kijana anayedhaniwa kuwa mwizi

    Leo majira ya mchana maeneo ya Mburahati Beach Boy wilaya ya Ubungo sungu sungu wamuua kikatili kijana mmoja mkazi wa kitongoji cha Soweto kata ya Mabibo. Kijana huyo anajulikana kwa jina la Jumanne Jongo,kwa nyakati tofauti amekuwa akijihusisha na vitendo vya kihalifu. Kijana huyu alijeruhiwa...
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania Mwizi huyooooooo 😂😂😂

  6. benteke

    JamiiForums Tanzania Nahisi naonekana kama mwizi

    Wazima wandugu, hili tatizo ni mimi tu au kuna mwingine linamtokea. Nikienda kwa vibanda vya mpesa mara nyingi wanataka Waone SMS iliyorudi kwangu ndio wanipatie pesa. Nikienda office za watu utaona mdada anahamisha pochi yake na simu, Bank teller anachukua muda mwingi kunihudumia.. saa...
  7. msovero

    JamiiForums Tanzania Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

    Kama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika Mama katika kipindi cha miezi sita ambacho ameingia ikulu kwenye sekta ya afya tayari ameidhinisha mabilioni ya...
  8. but why

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki mwiz/mdokozi na ulichukua hatua gani ulivyomgundua?

    Nyumba tunayoishi tupo wawili ,mimi na mshikaj wangu wote mabachelor...ni nyumba ya vyumba vitatu ,sebule, jiko na choo...chumba kimoja tunakitumia kama stoo ... Sasa yy ni mpenz wa PlayStation ila mimi hapana sanasana ni movies na mpira ..kutokana na kuwa ni mtu wa hayo magemu kuna washikaj...
  9. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Makato ya miamala unaweza fikiri kuna mwizi kakuibia live

    Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn? Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact...
  10. GuDume

    JamiiForums Tanzania Mwizi ataka na kusisitiza awekwe Korokoni sababu hana imani na atakachofanywa na aliyemwibia

    Wasalaam! Nipo Mkoa fulani hapa Nchini Tanzania. Hiki kisa kimenifanya nitamani kuwajulisha wananchi wa Tanzania mikasa mbalimbali Duniani hasa nchini kwetu Tanza- Nia. Nikiwa kituo cha Polisi nikipata huduma fulani amekuja mwizi kasi sana na kukimbilia kaunta akitaka apewe ulinzi. Nyuma yake...
  11. Sumbalawinyo

    JamiiForums Tanzania Manara apigwa chini CCM kwa utapeli wa magari

    KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhusishwa na tuhuma za utapeli. Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kirumbe Ng’enda, jana alilithibitishia gazeti hili kuwa wamekubali barua ya kujiuzulu kwa Manara iliyowasilishwa...
  12. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake. Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa. Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
  13. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi auawa kwa panga akijaribu kumkamata mwizi usiku nyumbani kwake

    Askari polisi katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Mkoani hapa, ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati akijaribu kumkamata mtuhumiwa.wa wizi. Tukio hilo limetokea Jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji Cha Makiba wakati Askari huyo( jina linahifadhiwa) alipoenda...
  14. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

    Hivi huyu mwanamama alimaliza kifungo chake? Mnakumbuka kosa lake na jinsi ambavyo kesi yake ilikuwa ni kama simulizi la kutosadikika. Hivi akisikia yanayofanyika hivi sasa huko aliko si anaona aliwahi kidogo tu.. ------------------- BAADHI YA MICHANGO ILIYOTOLEWA NA WADAU
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Sabaya azomewa "mwiziiiii mwiziiiii!" Hakika cheo ni dhamana

    Hakika cheo ni dhamana. Tumia cheo kutenda haki, tenda kazi ya Mungu. Hili ni funzo kubwa sana kwa wenzetu mnaoteuliwa na kuchaguliwa. Oneni mwenzenu anavyodhalilika. Hamjachelewa sana,huu ni wakati wa kulia na kutubu hadharani
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba ana sifa ya umalaya, ulozi na wizi

    Jamaa yangu hajamaliza ujenzi kwake huko Madale. Kwa hiyo bado anaishi nyumba za kupanga. Juz juz hapa kahamia nyumba ya kupanga maeneo flani hivi. Anasema hakujua kuwa na mama mwenye nyumba naye anaishi kwenye compound hiyo hiyo maana mle ndani kuna nyumba 4. Kumbe moja wapo ndo ya mama mwenye...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Songwe: Miaka 200 jela au faini Tsh Milioni 52 kwa makosa 60 ikiwemo kughushi nyaraka

    Leo tarehe 07/05/2021 Mahakama ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe imemhukumu ndugu SEMENI GWEWA MSWIMA (Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo) Kifungo cha miaka 200 au kulipa faini ya Tshs.52,000,000/= pamoja na kurejesha kiasi cha Tshs.30,850,000/= alichoiibia Halmashauri wilaya ya Mbozi. Kesi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Huwezi kumfunga mikono mwizi kwasababu wizi ni roho

    Huenda mwendazake alifikiri ukali na vitisho ni silaha ya kunyamazisha wizi au kumaliza wezi, lakini kiukweli wizi ni roho. Wizi ni kama Madawa ya kulevya. Mbwia Madawa akikosa Madawa yuko tayari kufanya lolote kutimiza kiu (desire) yake. Kile kiu ni ile Nguvu ya spirit (roho chafu iliyomo...
  19. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kikwete hakuwa mwizi, Ila mfumo uliachwa na Mkapa ulimzidi nguvu

    Aliye na ushaidi juu ya wizi wa Jakaya Mrisho Kikwete auweke hapa. Jk alikuwa mwasiasa mbobezi, alijua nchi inahitaji nini iendelee, aliujua uchumi vizuri. Hana Mali au miradi binafsi, aliyoiacha kwake au kwa familia yake katika utawala wake. Kama unaushaidi weka hapa. Zaidi ya kijumba msoga...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwizi aliyekuja kuiba saa tisa usiku

    Usiku wa kuamkia leo kibaka aliingia ndani na akafanikiwa kuchomoka na decoder ya Dstv, uzuri tukashtuka tukaanza kupiga kelele za mwizi huku tukimfukuza. Tukiwa tunaendelea kumfukuza mwizi wetu, tukasikia tena kelele zikitokea kwenye nyumba jirani, mwizi huyo anaruka kaiba simu!!!! Majirani...
Back
Top Bottom