Video: Mwizi kapatikana, kwa adhabu hii harudii tena

Position alokaa na hilo Gongo anaminya mishipa ya damu inayopeleka damu chini especially (popliteal artery & tibia artery ) inapelekea miguu inakosaa sufficient blood supply na atakaa kwa muda mrefu (sababu anatumia chujio)

No blood supply kwenye kiungo ni maumivu makali mwisho anapata Ischemia

hapo hatujagusa mfumo wa Neva
 
Back
Top Bottom