Nipo zangu home nasukuma kete zangu kichwani.
Jinsi ya kupata Hela nyingi nijenge mijumba ninunue magari Mazuri nile bebez za kwenda.
Najisemea hela nyingi zina gharama kubwa na kutokuwa na Amani ya kutosha kama nilivyo Sasa.
Mali nyingi zina gharama masta
Achana na matamaa haya ya magari...
Mi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa. Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe😒
Pili ni chumvi nyingi sana.
Mie asili yangu ni pwani,hiyo ni kitu pendwa kule.wanapenda kavu au na muhogo.mhogo wa nazi au ugali wake wanaita bada.
Na pia...
hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
Kimara Mwisho tuna shida kubwa sana ya upatikanaji wa maji safi toka DAWASA kuanzia mtaa wa bakery ni upande wa kushoto ukitokea mjini baada ya msikiti kwenda Stopover.
atizo hili ni la muda mrefu sana toka January hadi sasa, maji tunapewa mara moja kwa wiki yaani Jumatatu tuu.
Hapa toka wiki...
Anonymous
Thread
kero
kero ya maji
kero ya maji kimara
kimara
kimara mwisho
maji
mwisho
Wivu mbaya na chuki ya kupitiliza ni sumu kali ya kiroho inayomfanya mtu aanze kufikiria au kutenda mambo ya kishirikina na kijicho.
Huu usemi usemao "Wivu ni darasa la mwisho kabla ya kufuzu kuwa mchawi" una ukweli mkubwa kiroho.
Kimaandiko na kiimani, wivu si tu hisia mbaya ya kibinadamu...
Bila ya kujali msimamo wa ligi ulivyo hivi sasa, mechi sita za mwisho za ligi kuu Tanganyika, ndizo zitakazoamua nani atakuwa bingwa Kwa msimu wa mwaka 2025/2026.
Wakati Simba itaanza na Dodoma Jiji (24/05/2026) Yanga wao siku inayofuata itakutana na Namungo. Mechi ngumu kwa Simba, Yanga mechi...
Ukweli mchungu ila ndio kashatiburia wanawake wenzake.
Tumeona wengine wakipinduliwa huko asia,wengine wakifungwa na wengine wamefanya mambo ya ajabu.
Kwa ili wanawake sijui kama mna la kujitetea mlipofikia hapa.
2.kutoka viswani kwa mtindo mliopelekea kwa wabara na kuwabagaza na kuonesha...
Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha.
Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena.
Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao hayasikiki.
Fikiria kampuni zilizokuwa kubwa, maduka yaliyokuwa yamejaa watu, biashara zilizokuwa...
Kinachotakiwa sasa ni kumwaga mkojo nje sio kuzuia ndani kwasababu utaharibu figo
Hata White wasipoingia ndani bado watafikishiwa taarifa zote huko waliko
Wengi washazuia wamechoka wameamua kukimbia
Hakuna uamuzi mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana
Njia ya haraka sana ya kulaaniwa ni kutesa watu na kuwanyanyasa
Laana haiji kwa njia moja inakuja kwa namna tofauti sio lazima njia iliyomlaani fulani ndiyo itakayomlaani na yule...
Wanaukumbi.
TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
Wanaukumbi.
Tehran yakataa tarehe ya mwisho ya Rubio, yasema jibu la pendekezo la Marekani linakuja kwa 'wakati unaofaa'
——
Iran imekataa amri ya mwisho ya saa 24 iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, huku msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Esmail Baghaei akisema kwamba...
Kila mmoja wetu ana ile series yake (TV Show) ambayo ilimfanya aingie kwenye "addiction" kuifuatilia. Ile ambayo unajikuta unafuta hata ratiba zako za muhimu ili tu upate muda wa kutazama episode nyingine.
Lakini, kuna maumivu ya aina yake pale story inapozidi kunoga, ghafla unakuta kituo cha...
Tangu kuundwa vyama vingi 1992 hakuna kipindi wapinzani walikuwa na nidhamu kwa serikali na Rais kama kipindi cha Magufuli.
Magufuli hakuwapa muda wa kupumua kabisa.
Rais Samia ulipoingia ulitaka uonekane mwema kwa watu wote, ndio maana ukaanzisha 4R, ukawarudisha akina LISSU na wenzake waje...
Wanabodi,
Huu ni uzi wa kuelimishana,
Uzalendo wa kweli wa nchi yako, ni pale unapobaini kuna makosa mahali, unakosoa, na kutoa ushauri namna ya kurekebishasha makosa hayo.
Kwa muda mrefu, sisi humu tumekuwa tukilalamikia hoja mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge letu, ukiwemo udikiteta wa ma...
Wanaukumbi.
"China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani.
Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au...
Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama.
Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala.
Hakuna ivumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.