mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

    Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni. Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana. Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa Vipepeo, Mara ya mwisho kuona kipepeo lini ?

    Sina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo, watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Mashekh Ubwabwa hawajatokomea kusikojulikana nawatwanga Nyundo ya Mwisho

    GT Baada ya upepo.wa kisurisuri wa Udini sasa mashekh ubwabwa watatokomea ila kabla hawajafika mbali wasomeni hapa kwanza. Wanatakiwa waache ubinafsi na roho mbaya haisaidii.
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Mashekh Ubwabwa hawajatokomea kusikojulikana nawatwanga nyundo ya Mwisho

    GT Nadhani sasa wanaelekea kibra baada ya kubwekabweka na pengine huenda wasirudi.tena soma hizi facts about them.
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimeogopa sana! Kete yao ya mwisho ni udini

    Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana Walianza na figisu za kawaida Wakaja na siasa majitaka Wakaanza kurubuni wapinzani Wakaanza kubambikia kesi Wakawa wanateka Wakawa wanateka na kupoteza watu Wakawa wanaua...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Karata ya Udini ndo inaenda kumdumbukiza kabisa shimoni na ndo Utakua mwisho wake na Yule mshauri Wake

    Sawa umeamua kuleta karata ya Udini hii ndo inaenda kukudumbukiza kabisa shimoni wewe na huyo anaekushauri aya mambo Watu sio wajinga kwamba utawagawa kwa msingi ya dini...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Huu ujinga wa dini,wachungaji na masheikh utafika mwisho kwenye kizazi hiki cha sasa

    Dini za kuja ni uninga uliopitiliza na unaowafanya watu wawe wajinga na washindwe kujisimamia wakiamini vitabu vya dini na ujinga uliomo mdani yake. Kwakuwa kizazi cha sasa kimeanza kusituka basi hiki kizazi ndiyo kitakuwa cha mwisho kuabudu ujinga huu wa dini za kuja na vitabu vyake.
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Utabiri "Feki" wa Sheikh Yahya mwisho jana

    Sikuwahi kumsikia Sheikh Yahya Hussein, mtabiri maarufu wa Afrika Mashariki akitoa utabiri huu. Na wala hakuna mtu amewahi kuketa voice note/ video clip kuhusu maneno hayo. Lakini maneno hayo yalikuwa yana trend kila uchaguzi ulipotokea kati ya 2015, 2020 na 2025. Sasa baada ya Rais Samia...
  9. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hakika huu ni Mwanzo wa mwisho wa mateso

    Kwa sasa waTanganyika sio waoga wa kifo , sio waoga wa utekaji wenu wakijinga .Na kuanzia sasa hata polisi wakijaa kwenye mfumo wa uonevu tunaruka nao. 👇👇👇👇 Hapa Gen_z tunduma wakienda toe to toe na mercenaries wenye silaha za kisasa lakini madogo wanamawe, nabado mashoga walikimbia licha ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Amani siyo kuwa na pesa bali ni kuwatendea wenzako Haki. Huyu mama mwisho wake utakuwa mbaya sana

    Huyu Mama hata kama mamlaka yatamtangaza kuwa Rais hatakuwa na Amani maishani mwake,na wenda binafsi yake itabidi ajiingize kwenye maisha ya vileo ili kujipa amani ya mda fupi Kusababisha watu kufa kwa ajili yako kwa uzembe ni kosa kubwa sana, atajikuta maisha yake yote anaishi ndani ya...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana na watu wanaokuomba hela mwisho wa mwezi

    Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja. Utagundua mtu anakutumia DM au WhatsApp baada ya miezi kadhaa bila mawasiliano, mazungumzo yanaanza kwa “bro...
  13. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sio kwa Ubaya, ila Kutumia JWTZ kwenye mambo ya Kisiasa ni Jambo ambalo sioni kama Lina mwisho Mzuri Mbeleni

    Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
  14. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye : Binam Nyama ya hamu mwisho ni miaka mingapi?

    Wajuvi na wanumbi naombeni maelekezo yenu. Uzi tayari
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Zama za Uonevu na ufisadi zimefika mwisho

    CCM lazima iwajibike ipasavyo! Wale wote waliotumia madaraka vibaya, waliokwapua mali ya umma au kuvunja haki za wananchi, watakabiliwa na sheria. Hakuna aliye juu ya sheria — kila mtu atajibu kwa matendo yake.” Kesi zitakazochunguzwa ni pamoja na: Kesi za ufisadi na matumizi mabaya ya fedha...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

    Nchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere

    18 October 2025 JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere https://m.youtube.com/watch?v=fiC1cODelxU “Jamhuri ya Plato” ni kazi adhimu ya falsafa iliyoandikwa na Plato, na hii ni tafsiri yake ya Kiswahili iliyofanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hii ndiyo kazi...
  18. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Shikamoo mama mara ya mwisho ulienda Sumbawanga mwaka 1997?

  19. sanalii

    JamiiForums Tanzania Suluhu hana suluhisho, ubabe wake umefikia mwisho, jukwaani anatoa mipasho, hoja zake hazina mashiko.

    Yule fedhuli mwenye roho ya korosho, Mwenye hoja zisizo mashiko, Anadhani katiba ni hadithi za esopo, Kila mara hutoa boko, Kwasasa amekosa soko, Kila kona mi miwasho, Mikali zaidi ya ile ya uamsho, Ataipata ya joto, Kiti kitawaka moto. Wahuni wenye mikoko, Wanaotegemea pisto...
  20. ERoni

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana: Mwendokasi TANO zinasubiri abiria Mbezi Mwisho

    Wakuu, Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia? Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi kukekule? Hii inaweza kuwa danganya toto, watu wasihadaike maana hawa ccm wanajulikana kwa kuhadaa...
Back
Top Bottom