mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako. Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
  2. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ukikaribia mwisho wa maisha, utagundua vitu vyote ulivokuwa unapigania havina maana. Familia na afya ndo vyenye maaana zaidi

    Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi: https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/ ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

    Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka. Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali feki awamu hii inatafuta Amani na kujisafisha mpaka mwisho wa madaraka utakapofikia

    Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani. Hata siku moja sijawasikia wakisema Haki ,wao wapo na kuzungumza amani tu.
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane watanzania/watanganyika, tukiwasema watawala hukumu ni KUTEKWA NA KUPOTEZWA, MWISHO WATABAKI NA Baba na Mama MKWE zao?

    Juzi nilienda kwa Ba MKWE BAHATI MBAYA ushuzi uliniponyoka Pyuuuuuu! Niliumia Kuona Baba na Mama MKWE wananyanyuka sebuleni na kwenda nje kujikagua HARUFU ya ushuzi itatokea kwenye nguo za nani? Wao walijiisi yakuwa wao ndio walio Jamba mbele yangu hakika waliona aibu. Baada ya dakika mbili...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania MTV: Mwisho wa enzi

    Mtandao maarufu wa Muziki Duniani, MTV unajiandaa kufunga Chaneli zake za mwisho za kimataifa za video za muziki Desemba 31 mwaka huu hatua inayohitimisha rasmi enzi ya zaidi ya miaka 40 ya ushawishi mkubwa katika utamaduni wa vijana na tasnia ya burudani. MTV, iliyoanzishwa mwaka 1981, ilikuwa...
  7. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tabora lawahakikishia ulinzi na usalama kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya.. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

    Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi. Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ndoto ilitotabiri Mwisho wa Japani Kabla ya Hiroshima na Nagasaki: Sehemu ya pili

    Tuendelee na sehemu ya pili na ya mwisho. Kupanda kwa Prince Fumimaro Konoe kuelekea kilele cha mamlaka hakukuwa matokeo ya mapinduzi, bali mwendelezo wa urithi wa kifalme uliovaa suti ya siasa. Sasa mwezi Juni 1937, kwa mapendekezo na maneno mazuri kutoka kwa mlezi wake Saionji Kinmochi, Konoe...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ndoto ilitotabiri Mwisho wa Japani Kabla ya Hiroshima na Nagasaki: Sehemu ya kwanza

    Vitabu vya historia vinatuambia kuwa kabla ya Hiroshima pamoja na Nagasaki kupigwa na pigo basi walikuwa wameshachapika vya kutosha, yaani kabla ya zile bomu mbili kushushwa kulikuwa na hali mbaya sana ndani ya Japani. Raia wengi walifahamu kuwa Japani pamoja na Mfalme Hirohito hawatoboi mbele...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 12 na Renata: Safari ya Mapenzi iliyofika mwisho ghafla....

    Miaka 12 ya mapenzi, visa na mikasa nikiwa na Renata Sehemu ya kwanza Wadau kwa kuwa ni mwisho wa mwaka na nimeanza likizo nikaona bora niweke bandiko langu hapa jukwaani kuhusu mahusiano yangu yaliyodumu kwa miaka 12 na mwanamke aliyeitwa Renata lakini hatukufikia kwenye ndoa. Unajua...
  12. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mwisho wa mwaka 2025: Wapi umefanikiwa, umefeli wapi na umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?

    Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani? Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
  13. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakunaga Ukombozi wa siku Moja, kupoteza pambano sio kushindwa vita. Leo wao wameandamana barabarani badala ya kambini

    Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja. Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja . Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda. Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
  14. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Msasani mwisho

    Habari maboss Nyumba ya Zamani inauzwa msasani mwisho. Nyumba inatazama barabara ya mtaa. Mtaa wa pili kutoka BAHARINI Sqm 425 Document offer ya Kazi BIlion 1 KWA hitaji la kuona eneo Nipigie simu nikupeleke ukazungumze na wahusika wakuu. 0754693556
  15. appoh

    JamiiForums Tanzania Waraka wa mwisho kuelekea 9 desember (siku ya ukombozi)

    Asalamaa aleikuh Bwana yesu asifiwe Natumai wote ni wazima kuelekea siku ya ukomboz ambayo ni kesho Ningependa kuwausia machache wala si mengi kama waraka wenu kwenye Kesho ni siki kubwa ya kuanza maisha mapya ya hofu na kutawaliwa kama watumwa na mkolon au siki ya heshima tarehe 29 ndugu...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania 2025 Abu Dhabi GP: F1 Race ya Mwisho kwa huu mwaka itakayoamua nani awe World Driver’s Champion kati ya Norris, Verstappen au Piastri!

    Wakuu, Formula One Grand Prix kwa mwaka 2025 ndio imefika tamati weekend hii, kwa jumla ya GP 24 kuanzia March pale Australian GP na ya mwisho hii Abu Dhabi GP, uwanja wa Yas Marina. Hadi sasa msimamo wa michuano kwa upande wa kombe la madereva (Driver’s World Championship) unaongozwa na Lando...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watumikaji wakiona umemaliza kazi unayotaka na mwisho wa siku wakaona kuwa unataka usiwe uliyewatuma nini kinafuata?

    Moderator naomba tunza huu uzi tupo na kazi ngumu mpaka sasa idarani za kusambaza madawa ya Who are You. sasa kinacho nichekesha japo na cheka ila lazima kiwe kicheko. Uwezi kutumia watu wakulindie matendo yako na kesho ukataka kuonesha ulikuwa sio wewe na mda sasa unaonesha watu wako...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakutahadharisha kwa Mara ya mwisho, Tanzania sio kisiwa

    Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto. Tanzania sio kisiwa Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka. Tuna import karibu...
  19. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jasiri wa mwisho - JKT dhidi ya mfumo wa vyama

    Watanzania wanaishi katika maigizo makubwa kuliko “Tausi,” “Siri za Familia,” “Jumba la Dhahabu,” na “Bongo Movie” zote zilizowahi kutengenezwa. Maigizo ambayo kila mtu anajifanya haoni, ilhali moshi wa jiko la taifa unafuka hadharani. Kila mtu anasema “Tatizo ni viongozi” kana kwamba viongozi...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 ni nafasi ya tatu na Mwisho kwa JWTZ kuonyesha Uzalendo wao tutawahukumu baada ya hili

    Hawa jamaa mungu ana mpango nao kama kweli waliapa kuilinda katiba,rasilimali na watu wake kwa wivu mkubwa haya ndo majaribio matatu makubwa wanapewa sasa. 1. March 17 Mwaka 2021 Walishindwa kutetea katiba Visingizio kibao pamoja nakuonywa na wazalendo ona sasa yanayotokea 2. October 29 Mwaka...
Back
Top Bottom