mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana mwingine wa Kenya aliripotiwa kufariki Saudi Arabia

    Familia moja katika kaunti ya Kisii imeitaka serikali kuwasaidia kurudisha mwili wa binti yao kwa mazishi baada ya kufariki Saudi Arabia. Naomi Barongo alifariki miezi miwili iliyopita katika hali isiyoeleweka baada ya kwenda Saudi Arabia mwaka 2021 kutafuta kazi. Jamaa zake wamekuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Upande mwingine wa online dating platform

    Brethren, NB: Msiniombe reference kwa vile huu ni uchambuzi na maoni binafsi mimi babu yenu kwa kushirikiana na marafiki zangu wa karibu (Hawapo JF), kwa lengo la kupeana tahadhari. Ni hivi; Utafiti ulioufanywa kwa miaka miwili mfululizo imegundulika huko mtandaoni ni mizaha mingi bila nia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania MWANAMICHEZO AMOS MAKALLA HAPA HAPANA AISEE TAFUTA CHAWA MWINGINE

    Kwani mwana michezo Amos makalla kuna shida gani ndugu yangu , ghafla kubwa la machawa limeandika hivi? unahisi utatumbuliwa? kamati ya usalam mmeshindwa ku inflitrate hao watoto wa miaka 16 hata kuweka undercovers police wenye miaka 22 wa roll nao kwenye makundi yao? hata kuhonga baadhi yao...
  4. JamiiForums Tanzania Tajiri mwingine, mndani wa Putin afa kwa kuanguka kutoka kwenye meli, wanamalizwa aisei

    Nani anawaua hawa na kwa nia gani, maana mpaka hivi vita vinaisha matajiri wengi wa Urusi watakua wamekufa sana.... Another Russian energy boss has died in mysterious circumstances after "falling overboard" from a boat, according to local media reports. Ivan Pechorin's body was found washed...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msanii Mwingine huyu hapa msikilize akizungumzia tozo

    Kituko kingine, msikilizeni. Huyu si chawa bali Kibwengo cum Kupe!
  6. JamiiForums Tanzania Vifo vya matajiri Urusi vyaendelea, mwingine aanguka toka kwenye dirisha la hospitali

    Haijafahamika nani anayewaua na kwa nia gani, kwa kweli Putin anatumbukiza nchi pabaya... The chairman of Russia's Lukoil oil giant, Ravil Maganov, has died after falling from a hospital window in Moscow, reports say. The company confirmed his death but said only that Maganov, 67, had "passed...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mtu akiniuliza kama nimeajiriwa naumia sana rohoni. Kuna mwingine ameshawahi experience hiki?

    Sababu baada ya kumaliza chuo nimekosa ajira baada ya ku-apply sana Kazi sijaambulia kupata, sanasana naishiaga kwenye interview. Nimekaa mtaani mda mrefu, hivyo najishughulisha na temporary informal jobs ndogo ndogo. Mtaani baadhi ya watu wanajua mimi ni mwanachuo, sasa sometimes utakuta mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

    CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani wakati mwingine wanatuokoa na foleni

    Askari wa barabarani tusiwabeze sana pamoja na mapungufu madogo madogo ambayo wetu wengi tunayo huku maofisini. Askari wanatuokoa sana foleni za Dar. Hebu imagine askari waondoke barabarani si balaa hasa hasa Dar Mwanza na Arusha. Madereva wengi nao kichomiiiii
  10. L

    JamiiForums Tanzania Je, Biden anasuka mpango gani anapofanya mkutano mwingine wa viongozi kati ya Marekani na Afrika baada ya miaka minane?

    Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa mkutano wa pili wa viongozi kati ya nchi yake na Afrika utakafanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Disemba mwaka huu. Alisema mkutano huo utaonyesha “ahadi ya kudumu” ya Marekani kwa Afrika, kusisitiza umuhimu wa uhusiano kati ya pande hizo mbili na...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe anajadiliana na serikali namna anaweza kufidiwa hasara zake na serikali alizozosababishiwa na Anko. Ya kitaifa yanaitaji kusukumwa mwingine tu.

    Baada ya hasara ya kuporwa jengo kibabe ukumbi wa mziki, kuharibiwa mashamba, kufungiwa account zake. Kufunguliwa mashitaka na kubaki hoi. Mambo ya haki za watu kama maswala ya Arthi, Migogoro ya wafugaji, ukosefu wa Ajira, Wabunge vitimaalumu, haki za watumishi, Sera za kiuchumi, mfumuko wa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa hewa zimeshika kasi sana kwa Wakristo. Ndoa inafungwa na baada ya wiki moja mume anaishi mkoa mwingine na mke mkoa mwingine

    Habari wadau. Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira. Ndoa inafungwa ila mume na mke hawaishi pamoja toka mwanzoni mwa ndoa. Kuna ndoa ina miaka mitano ila mume na mke hawajawai...
  13. JamiiForums Tanzania Nigeria: Padri aliyetekwa auawa, mwingine afanikiwa kutoroka

    Watekaji wamemuua Padri John Mark Cheitnum katika Jimbo la Kaduna Nchini Nigeria ikiwa ni siku chache tangu iliporipotiwa kuwa ametekwa Julai 15, 2022. Tamko lililotolewa na Kanisa Katoliki la Kafanchan limetangaza msiba huo huku padri mwenzake ambaye walitekwa pamoja, Donatus Cleophas...
  14. JamiiForums Tanzania Ila haya maisha wakati mwingine yanaweza kukufanya utamani kujiua

    Huyo jamaa hapo chini anaitwa Robin Ernest kimambo.ni class mate wangu pale udbs miaka kadhaa iliyopita. Leo wakati mimi bado nawaza ni lini utumishi watatoa majina ya written interview nikagombanie salary ya TGS D ambayo ni sawa na shillings 710,000/=, huyu class mate wangu kateuliwa na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

    Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi. Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu. Nenga akamrejea Nandy na...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Mwandishi wa habari mwingine adaiwa kupelekwa kusikojulikana

    Breaking News: Mwandishi wa Habari Mkoani Arusha, Lilian Oddo ambaye anafanya kazi na mwandishi wa Wasafi tv Bw. profit Mmanga, na yeye amekamatwa akiwa maeneo ya darajani/vibandani njia ya kwenda Kwa Morombo Jijini Arusha, na amepakiwa kwenye gari nyeusi ambayo ndani yake yupo Profit, bado...
  17. JamiiForums Tanzania Shamte: Katiba ya nchi haijasema 'Head of State' atawale miaka 10, miaka mitano ikiisha tutafute Rais mwingine lakini siyo huyu

    Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea baada ya miaka yake mitano kwisha. Shamte amesema miaka yake mitano inakwisha na kurudia kosa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Huruma za kibinadamu wakati mwingine zinaponza

    Unapotaka kumsaidi mtu inahitaji wewe unakwenda kutoa msaada uwe makini. Ninaposema umakini namaanisha uwe na uhakika kweli ninaekwenda kumsaidi ni mhitaji na kweli ana shida. Nitatoa story kwa ufupi kuhusu huyu Bi dada ambae ni rafiki yangu kipindi cha nyuma. Tulifahamiana vipi.. Nilimfahamu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wanaosherekea kifo cha Magufuli wanafukuza mwizi huku wameacha mlango wazi

    Kuna wengi wanaolalamika kwamba walipatwa kuumizwa na utawala wa magufuli. Kuumizwa huko kunahusishwa kibinafsi na utawala wa Magufuli, ikimaanisha walipitia waliyoyapitia tu kwa kuwa Magufuli alikuwa rais. Wanaolalamika sio wapinzani pekee bali pia wako wanachama wa chama cha mapinduzi ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli Hii, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote! Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kuwa Rais yeyote ukimuondoa Nyerere

    Wanabodi, Nchi hubarikiwa kwa viongozi wake kufanya mambo mema. Kwa kauli hii, ya jana ya Rais Samia alioitoa Bukoba, kwa kutoa msamaha wa jumla wa deni la kodi, za nyuma, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote!. Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kufanywa na Rais yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…