mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. mwambega geofrey

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Christina Charles Malema

    Huyu ni diwani pekee mwanamke kuongoza kata kwa kuchaguliwa kwa kura 5789 mwaka 2010 tangu wilaya ya chunya ianzishwe mwaka 1941, awali alihudumu kama boharia wa duka la ujamaa la pembejeo yaani MBECU na baadae alikuwa karani wa kampuni ya tumbaku TLTC mpaka mwaka 2000 alipojitosa kwenye medali...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge, ameeleza kuwa baadhi ya watu waliopotea nchini wanahusika na vitendo vya uhalifu Dkt. Nchemba amefafanua kuwa wapo watu waliokimbia familia zao kutokana na kujihusisha na biashara ya Dawa za Kulevya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Vyama vya Upinzani ni adui mwingine wa Taifa. Awahusisha na matukio ya utekaji na uvunjifu wa amani

    Waziri wa mambo ya Ndani mh Mwigulu Nchemba akijibu swali la mbunge wa viti maalum wa chadema cesilia pareso amesema":- "Uzoefu umeonyesha ya kwamba muongeaji chama chake (CHADEMA) kinaposhiriki kwenye uchaguzi ndio kuna kuwa na matukio makubwa sana ya kihalifu. Kuna uchaguzi mmoja chama chako...
  4. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Kushambuliwa Tundu Lissu: Mwigulu aahidi vyombo vya dola vitawatia mbaroni watu wasiojulikana!

    Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinajitosheleza na vina...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndiye suspect namba moja kupotea kwa Ben Saanane?

    Mwigulu nchemba ambaye ni waziri wa mambo ya ndani alete majibu kupotea kwa Ben Saanane na Maiti saba mto Ruvu,Mauaji ya police Mbagala,Mauaji watu Soweto,Ugaidi wa Lwakatale. Amekuwa mtu asiyeaminika kwenye jamii toka zamani. Mara jina lake lina utata,Mara alikuwa akifuga Lasi. Sasa hivi...
  6. Dr. Mwigulu Nchemba

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Salama comrades? Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandika naona hajui historia yangu. Ni vema kuweka rekodi sawa: Kwanza anasema nilikuwa nanaitwa Lameck Madelu Mkumbo, sasa moja Lameck sio jina la kinyiramba, na Madelu sio jina halisi la baba...
  7. utaifakwanza

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. Amewataka viongozi wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

    Wanajamvi niwasalimu kwanza. Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda. Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka. Leo...
Back
Top Bottom