mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Dr. Mwigulu Nchemba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, umechagua strategy mbaya kurudi ulingoni

    Mheshimiwa kwanza nikupongeze, you are smart, but the problem is you are 'evil smart' sometimes. Katika historia yako ya utumishi, umegundua siri ya namna ya kuwatumia watawala wakupe unachokitaka nitakupa mifano. Kipindi cha Jakaya uligundua CCM ya wakati huo ni legevu, haina watu wa kwenda...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

    Wanabodi, Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya Gerson Msigwa. Pia leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha siku ya uhuru wa habari, huku Tanzania...
  4. chakii

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

  5. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Dakika 10 za moto hotuba ya Mwigulu Nchemba bungeni

    Baada ya kupata futari yangu safi kwa mama mmoja wa Kitanga anayefanya taaluma ya upishi kuwa ni mojawapo ya sanaa maana anafanya mapishi yaonekane ni jambo jepesi. Nilivyofika pale nikala tende zangu kisha nakujichukulia take way ili nikapatie futari kwangu kuepukana na msongamano wa watu. Ile...
  6. Kidugu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba Iramba kwanuka, Asutwa

    *MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI* Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa tafsiri ya haraka Mamba ni mnyama anayeua binadamu na wanyama wengine bila huruma , kwa msiomjua...
  7. Kidugu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msumari hatari kwa Mwigulu Nchemba

    *MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI* Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa tafsiri ya haraka Mamba ni mnyama anayeua binadamu na wanyama wengine bila huruma , kwa msiomjua...
  8. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya kauli ya Mwigulu Nchemba kuhusu kuficha takwimu za maambukizi ya COVID-19, Kitila Mkumbo asema kauli hiyo ni ya mtu mjinga

    Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania. Tukumbuke watu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wangu Mwigulu umeshindwa kabisa!

    Wewe ni Mchumi na siku zote wachumi huelezea uhalisia wa mambo kwa namba. Wataalamu wanadai "namba haziongopi". Mheshimiwa umekosa ujasiri wa kusema mambo ambayo umeifanyia Iramba kwa sababu hamna ulichofanya ambacho unaweza kujivunia. Au unataka kuongelea kwa mfano shule yako ya Kata yaani...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa huduma za ushauri wa kitaalamu (consultancy)

    Habari Tanzania! Umewahi kujiuliza ni kwa kiwango gani Ushauri wa Kitaalam (Consultancy) ni muhimu katika uanzishaji, endelezaji na kufanikisha shughuli zetu za Kibiashara, Miradi mbalimbali, Ujasiriamali, n.k? Pia, kwa kiasi gani watanzania tumekuwa tukipata ushauri toka kwa Wataalamu wetu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kutathmini mwisho wa mwaka

    Naomba kujua kwa kipindi hichi cha mwisho wa Mwaka, ni mambo gani ya muhimu kujitathmini binafsi ili kujua ni kwa kiasi gani umefanikiwa katika malengo yako.
  12. Ndachuwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pendekezo la kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa 2020 to 2025

    Kufuatia hali ya kutokuaminiana katika uendeshaji wa shuhuli za kisiasa ikiwemo chaguzi mbalimbali hapa nchini Tanzania, napendekeza badala ya kuitisha uchaguzi mkuu 2020 iundwe serikali ya umoja wa kitaifa itakayoshirikisha vyama vyote vyenye wabunge ili kufanya yafuatayo:- (i) Pesa yote ya...
  13. mwambega geofrey

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Christina Charles Malema

    Huyu ni diwani pekee mwanamke kuongoza kata kwa kuchaguliwa kwa kura 5789 mwaka 2010 tangu wilaya ya chunya ianzishwe mwaka 1941, awali alihudumu kama boharia wa duka la ujamaa la pembejeo yaani MBECU na baadae alikuwa karani wa kampuni ya tumbaku TLTC mpaka mwaka 2000 alipojitosa kwenye medali...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge, ameeleza kuwa baadhi ya watu waliopotea nchini wanahusika na vitendo vya uhalifu Dkt. Nchemba amefafanua kuwa wapo watu waliokimbia familia zao kutokana na kujihusisha na biashara ya Dawa za Kulevya...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Vyama vya Upinzani ni adui mwingine wa Taifa. Awahusisha na matukio ya utekaji na uvunjifu wa amani

    Waziri wa mambo ya Ndani mh Mwigulu Nchemba akijibu swali la mbunge wa viti maalum wa chadema cesilia pareso amesema":- "Uzoefu umeonyesha ya kwamba muongeaji chama chake (CHADEMA) kinaposhiriki kwenye uchaguzi ndio kuna kuwa na matukio makubwa sana ya kihalifu. Kuna uchaguzi mmoja chama chako...
  16. HOMBOY

    JamiiForums Tanzania Kushambuliwa Tundu Lissu: Mwigulu aahidi vyombo vya dola vitawatia mbaroni watu wasiojulikana!

    Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinajitosheleza na vina...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndiye suspect namba moja kupotea kwa Ben Saanane?

    Mwigulu nchemba ambaye ni waziri wa mambo ya ndani alete majibu kupotea kwa Ben Saanane na Maiti saba mto Ruvu,Mauaji ya police Mbagala,Mauaji watu Soweto,Ugaidi wa Lwakatale. Amekuwa mtu asiyeaminika kwenye jamii toka zamani. Mara jina lake lina utata,Mara alikuwa akifuga Lasi. Sasa hivi...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina ya kupewa, Sio majina bandia, na Vyeti vyake, Sio Vyeti bandia ni Vyeti vya kweli, Bonafide Genuine!

    Wanabodi, Katika zoezi la kusaka vyeti bandia linaloendelea sasa, kuna watu wanashindwa kutofautisha kati ya vyeti bandia na vyeti halisi, halali na vya kweli, na pia kushindwa kutofautisha majina bandia na majina halali, hivyo hili ni bandiko la uthibitisho kuwa Mhe. Mwigulu Nchemba sio...
  19. Dr. Mwigulu Nchemba

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Salama comrades? Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandika naona hajui historia yangu. Ni vema kuweka rekodi sawa: Kwanza anasema nilikuwa nanaitwa Lameck Madelu Mkumbo, sasa moja Lameck sio jina la kinyiramba, na Madelu sio jina halisi la baba...
  20. utaifakwanza

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. Amewataka viongozi wa...
Back
Top Bottom