MBN nying sn mnakula nn
Hilo deni si mpaka pension watazuiaTazama mwenyewe
Hao ndio HESLBHilo deni si mpaka pension watazuia
Hawa jamaa data zao sijui wanatoa wapiYaan koz ip umesoma mpka iwe hvy
Hizo pesa anadaiwa si bora waninyonge tu kama ndio mimi.Hao ndio HESLB
Halafu ni mwalimu maana nimeona CWT hapoYaan koz ip umesoma mpka iwe hvy
Ukiona mtu amechomekea anaenda kazini usifikiri anafaidi sana kuna mengi nyuma ya paziaMBN nying sn mnakula nn
Teacher huyoHalafu ni mwalimu maana nimeona CWT hapo
Labda udaktari.Yaan koz ip umesoma mpka iwe hvy
Kagongwa retention fees na penalty huyoMil 43????? Zilifikaje hukoooo.????
Maisha bila mkopo yanaendaje?Kuna laki tatu hapo inaenda kwa Bank cz ulikopa swali ni ulifanya nin na hyo mikopo lazma uone ugumu wake kama mikopo hukuifanyia kazi
Udaktari haaa wap ndio hela yote hiiLabda udaktari.
Au pilot????Udaktari haaa wap ndio hela yote hii
Sjakukatalia kukopa swali matumiz ya huo mkopo ni kula ama umetengenza kitu cha kukuingizia kipato?Maisha bila mkopo yanaendaje?
Hawa jamaa hadi uwafate ofisini ndio kielewekeUdaktari haaa wap ndio hela yote hii