Mita janja kuanza kuunganishiwa wateja Septemba
SERIKALI imesema kuanzia mwezi Septemba itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja ili mkusaidia kununua umeme akiwa safarini bila kulazimika kuingiza kwenye mita yake.
Waziri wa Nishati, Januari Makamba.
Waziri wa Nishati...
Artemis program ni programu ya anga za mbali ambayo inakwenda kufanyia uchunguzi mwezi 🌒.
Program hii inaongozwa na NASA wakishirikiana kwa ukaribu kabisa na mashirika ya tafiti za anga kutoka nchi mbalimbali duniani Africa tukiwakilishwa na South Africa. Artemis program pia inazishirikisha...
Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe.
Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi tusio na ajira na tuko tayari hata kujitolea. Toa hiyo mifanyakazi inayotaka milion. Sisi hata laki...
'MRADI WA UMEME WA RUSUMO HYDROPOWER PROJECT KUKAMILIKA MWEZI NOVEMBA 2022' - MAKAMBA
Siku ya sita ya Ziara ya Waziri wa Nishati January Makamba kwenye Mikoa 14 na Wilaya 38 imemfikisha kwenye mpaka wa Tanzania na Rwanda unapojengwa mradi mkubwa wa uzalishaji Umeme wa Maji wa Rusumo (Rusumo...
Hivi karibuni nimekuwa added kwenye ma group ya harusi na sendoff yapatayo kumi na wote hawa wakitarajia kufunga ndoa mwezi wa 11 mwaka huu.
Nimeshangaa tu kuona mwezi wa 11 mwaka huu kutakuwa na harusi nyingi sana tofauti na miezi mingine.
Yani kwa makadirio ya haraka haraka nikisema...
Salama jamani.
Huu mwaka 2022 kiboko naona walimu watakuwa wamechoka sio kwa hali hii tunayoenda nayo.
Nahic hata wanafunzi nao watakuwa hoi bin taabani.
Toka January hakuna kupumzika mpaka leo. Hapa kati mwezi wa nne kidogo kulikuwa na vimapumziko vya hapa na pale lkn kifupi...
Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022.
Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
Rashid Shangazi: Katika kipindi cha miezi 9 mamlaka ya kodi imekusanya takribani trilioni 17.2 Ukipiga hesabu ya kila mwezi ni wastani wa trilioni 1.9
Kodi hizi zimekusanywa bila kutumia task force wala bila mtutu wa bunduki.
=====
Hivi kuna kipindi tulikuwa tunakusanya kodi kwa kutumia...
Nimewaza kutafuta biashara nitayopata faida sh 2000 kwa kila item. Nimepiga hesabu nitatengeneza million na zaidi kwa mwezi.
Hesabu ipo hivi, niweze kuuza bidhaa 500 ndani ya mwezi, nipate shilingi 2,000 faida kwa kila bidhaa. Kwa siku niuze bidhaa 20 na kila bidhaa niuze kwa faida ya Tsh 2000...
Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa mbambaly anabadilisha kijiji chake kuwa mji.
Mane katika kijiji chao ambapo inakadiriwa wanaishi...
Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
Na John Mwakanga, Mbeya
Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi.
Juni 10...
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko mabaya zaidi kuukumba mji wa Durban
Waziri Mkuu wa serikali ya jimbo la KwaZulu-Natal kusini...
Jijini Dar es Salaam, mwezi wa nne mwaka huu Padri wa Shirika la White Fathers, Kanisa Katoliki, alitoweka na mwili wake kukutwa kwenye tank la maji akiwa hana uhai.
Padri huyo alikuwa ni Raia wa Zambia. Jijini Mbeya, mwezi huu Padri mwingine wa shirika hilo hilo kutokea Malawi alitoweka na...
Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu.
Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda...
Ukiangalia Mkeka uliotolewa na EWURA umeonesha mafuta yanayoshuka katika bandari ya Tanga yakiwa na bei ya Tsh. 3,137 kabla ya ruzuku ambapo bei hiyo ni ndogo kwa 1% kulinganisha na bei ya mafuta kwa mwezi Mei ambayo ilikuwa 3,161.
Hata hivyo bei ya mafuta yanayopokelewa bandari ya Dar...
Mei 29, 2022, Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong
Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong lililoko magharibi mwa wilaya ya kitamaduni ya Kowloon Magharibi, litafunguliwa mwezi Julai mwaka huu na kuonyesha vitu vya kale kutoka kwa Jumba la Makumbusho ya Kasri la...