mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Aweso aiweka kikaangoni LUWASA. Aipa mwezi mmoja

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameiweka katika uangalizi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Lindi (Luwasa) kwa kipindi cha mwezi mmoja na kuahidi kuleta timu itakayowasaidia kuandaa mikakati. Ametoa kauli hiyo jana Januari 26, 2024 akizungumza na bodi, watumishi wa mamlaka hiyo pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania Japo Wengi Wamepania Kumzawadia Mwezi October 2025, Mimi Zawadi Yangu Nimemuaa Kuitoa Mapema, Kusubiria 2025 Will Be Too Little Too Late!

    Wanabodi, Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025, Ili zawadi hii iwe na maana na manufaa kwake, imebidi itolewe mapema, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late!, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

    Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea. TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
  4. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari. Akizungumza Waziri wa Kilimo...
  5. JamiiForums Tanzania Benki ya DCB yawapa mwezi mmoja wadaiwa sugu wa UVCCM

    Hahah wameamua hadi kuweka picha zao kwenye gazeti la mwananchi. Mwezi mmoja baada ya hili tangazo watachukuliwa hatua kama watakuwa hawajalipa.
  6. JamiiForums Tanzania Uhalisi wa bei za bando la internet dhidi ya wastani wa kipato cha mwezi cha kila Mtanzania

    Kwanza kabla ya yote naomba kusema kwamba nchi ya Tanzania ndio yenye bei ya chini zaidi ya bando za internet katika ukanda wa Afrika Mashariki. Pili ukichukua wastani wa mshahara wa kila mwezi, inaonekana watanzania ndio wanalipa asilimia kubwa zaidi ya mapato yao katika kununua bando la...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A14 imetumika mwezi tu

    IMEUZWA
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua kama kuna uwezekano wa watu wanaotumia gharama sana, gharama za kawaida (kati) au kuna za chini...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kama haulipwi mshahara wa 6 million kwa mwezi usinunue gari

    Mwanahabari nguli hapa nchini, Jenerali twaha ulimwengu amewaasa vijana kuacha mara moja kununua magari kama hawana kipato cha million 6 kwa mwezi. Mwanahabari huyo ameainisha kuwa, Nimepata feedback kwa vijana wanasema wakiwa na kipato cha million mbili wanaweza kununua gari. Tatizo hapa ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hili suala la posho ya mbunge ya siku moja kuzidi mshahara wa mwezi wa Mwalimu, HALIKUBALIKI!

    Salaam wapenzi wana JF. Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa. Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima. Siyo sawa kabisa. Ahsanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Wakuu nime-estimate matumizi ya familia yangu, bills na msosi kwa mwezi jumla yake ni 250k. Je mfuko gani UTT unaoweza kunipa fixed commission ya 250k kwa mwezi?
  13. JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga Kimara. Kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi

    Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya. Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo. Mwenye nacho naomba tuwasiliane. Asante
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, niwekee bajeti safi ya mwezi ilii niishi bila mikopo umiza

    Kwa takehome below 700k ,nifanyeje nisione dunia ni jehanamu wala kuwa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu mikopo ama kuenda benki ambao riba zao ziko juu sana. Wazoefu, wachumi na waatalamu niwekee mgawanyo wa bajeti safi ya mwezi ili niwe debt free. Maana sukari iko juu, vyakula vikojuu, kodi nk
  15. JamiiForums Tanzania Huenda nikatengeneza bilioni yangu ya kwanza mwezi January.

    Juzi wakati nikitoka Kaliua kwenda Mpanda katika kuchimba madini tulikatiza mto Ugalla. Wenyeji wa maeneo hayo walinipa taarifa kuhusu malkia wa Ugalla anayekaa ndani ya mto Ugalla. Malkia akikasirika huwa anaujaza mto Ugalla maji mpaka unavunja kingo zake na kukata mawasiliano kabisa kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nakushauri mwezi huu fanya hivi. Utakuja nishukuru baadaye. Huu ni uzoefu wa sisi Legends

    Hii December. Usishindane kutumia pesa na watu. Wakikualika nenda. Kanywe kale. Tunza hiyo pesa. Thamani yake utaiona January. Mimi huwa January naokota mmoja mmoja nachinja... Hata sikimbizi. Naacha mlango tu wa home wazi.. kuku wanaingia ndani kufuata mahindi. Nakamata nachinja nasubiri...
  17. JamiiForums Tanzania Yaani naandika kwa uchungu sana kuhusu hawa zuku, najuta hata kulipia kifurushi cha mwezi huu

    Yaani ni kama nimetapeliwa, leo ni siku ya sita naomba kuhamishiwa huduma kwenye jengo jipya ila hayo majibu ninayopewa we acha tu Huku huduma sipati, na huku siku zinakataaa na simu hawapokei na wakipokea hiyo shombo sasa Najuuuutaaa kuwajua zuku
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mahala naziona 7G badala ya 5G iliyozoeleka Mwezi March au April 2024

    Tairi la Kushoto nina Kiberenge cha Makaburu,. Tairi la Kulia nina Kiberenge cha Kiswahili ( cha zamani ) kinachotambulishwa rasmi tarehe 28 au 29 huku katikati kukiwa na Mseto wa Injini Kubwa Nne ya Kiganda, Ivory Coast, Burkina Faso na Congo DR huku kama kawaida Milango ya Chombo hicho ikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kabla hatujaanza kuushangaa huu waraka mpya wa Papa Francis tujikumbushe waraka wa mwezi uliopita, kanisa katoliki linaelekea wapi ?

    Waraka huu mpya umewasilishwa bado tukiwa kwenye sintofahamu ya waraka wa mwezi uliopita ulioruhusu maaskofu kubatiza waliobadili jinsia na kuwaruhusu wawe wazazi wa kibatizo bila kutoa msisitizo mkali kwamba suala la kubadili jinsia ni chukizo kwa Mungu. Chanzo cha uhakika cha kupata matamko...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mtumishi aliyeyefanikiwa kuhama au kupata kibali kupitia mfumo mpya tangu umeanzishwa?

    Nimeona niulize kutokana na mfumo huu kuwa mgumu kukamilisha maombi na ugumu kwa watendaji kuwajibika na kufany kazi zao kama ku-proove maombi kwenye mfumo. Maana maombi mengi yanaishia kwa supervisor na hayatoki huko ndo nauliza kuna mtu aliyefanikiwa walau kufikisha maombi utumishi au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…