mwenzetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Mwanasimba mwenzetu micky jnr ameumia sana simba kukandwa.

    I salute you kinsmen. Huyu mwandishi kanjanja na tapeli tapeli kutoka Ghana na shabiki kindakindaki wa simba yetu aka chupi upande naona wazi kaumia sana na matokeo ya jana sanaa. Kumbuka aliahidi hatokuja kuwapost yanga kwa lolote, inshort amekuwa akiweka habari negative tu za yanga jla zile...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

    @divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano. Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa. Ameyazungumza...
  3. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

    Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro unaharibiwa sababu ya kupitisha malori ya mchanga, anayetuhumiwa na uharibufu huu anajulikana, achukuliwe hatua

    Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza. Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye mtaro wakati mtaro huo hauwezi kustahimili uzito huo na kupelekea kuanza kumegua mtaro huo. Njia...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Aisee! Kumbe ni mwenzetu bwana

    Angalia mpaka mwisho hii video.
  7. Championship

    JamiiForums Tanzania Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

    Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile. Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
  8. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  9. THE HEALTH CREW

    JamiiForums Tanzania Leo Novemba 19, ni Siku ya Choo Duniani

    Habari ya wakati huu kwenu watu wa jamii ya JamiiForums. Katika kuadhimisha siku ya choo duniani kuna baadhi ya mambo ni muhimu kuyajua ikiwa ni jitihada zifanyikazo kuongeza uelewa kwa jamii inayotuzunguka. Siku ya Choo Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba na inalenga kuongeza...
  10. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

    Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili. Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga...
  11. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

    GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara? BODY:- Mi...
  12. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Tumsaide huyu mtanzania mwenzetu

    Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio. Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

    Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani. Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila ridhaa yake. Ingawa kwa nabii Genta kuna kautofauti kwenye sarufi Turudi kwenye mada. Ndugu Mpwayungu...
  14. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mwenzetu, rafiki, Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro, Kilombero. Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi...
  15. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA tuwe makini juu ya usalama wa Kamanda mwenzetu Lissu. Jukwaa kama hili linaweza kuanguka na kuleta madhara

    Hii ni hatari!
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mapokezi makubwa ya kamanda mwenzetu Lissu jijini Kahama

  18. Analyse

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

    Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena. Natoa...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

    Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi. Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Mwili wa mtanzania mwenzetu Nemes Tarimo hatimaye waletwa Tanzania

Back
Top Bottom