Wanayanga tusimwache mwenzetu peke yake, mpaka atujumuishe kwani sisi hatuoni? Kesho tunalianzisha

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,353
11,492
Kesho maandamano makubwa tukayafanye karia aondolewe madarakani. Manara ametupa pande nasi tulicheze kwa upande wetu.

Karia wa kutwambia viongozi wetu wote wamejaa kinyesi kwenye sehemu zao za haja? Anamaanisha nini? Hili tusi ni kubwa sana. Maana yake wanatokwaje na kinyesi?

Nmeshangaa wanayanga hatujachukua hatua yoyote mpaka sasa kumtetea msemaji wetu. Twendeni kwanza tumchangie hizo mil 20. Then tukalianzishe la kigeto geto.

Karia utajua hujui...chezea hao hao ila si yanga. Haji endelea kutupa za ndaaaaani kabisa nasi tupandishe mzuka zaidi. Patakuwa hapatoshi na huyu msomali arudishwe kwao.
 
Kesho maandamano makubwa tukayafanye karia aondolewe madarakani. Manara ametupa pande nasi tulicheze kwa upande wetu...
Kama kuna jambo la kipuuzi wanayanga mnafanya ni hizi unprofessional reaction kuhusu hukumu ya Haji Manara. Ile hukumu ilihitimishwa kwa kusema fursa ya kukata rufaa ipo wazi. Lakini si Manara mwenyewe wala wanachama wengine wanaoonekana kuelewa jambo hili. Nawauliza wana yanga maswali yafuatayo:

1. Haji Manara ni nani haswa awe untochable

2. Manafahamu historia ya Manara vizuri? Alikuwa mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam - aliponea chupichupu kufungwa, akaja SSC akaondolewa kwa tuhumu za power overriding, aliwahi tena kufungiwa kujihusisha na mpira na Malinzi- hivi hamuoni huyu mtu ana matatio tu?

3. Haji anataka sympathy- ambayo sidhani kama ni sawa kupewa.
 
Back
Top Bottom