Jeshi la polisi mkoani Kagera limefanikiwa kumkamata kijana Paschal Kaigwa (22) mzaliwa wa Kishogo Bukoba Vijijini, ambaye anatuhumiwa kumbaka na kumuua mke wa mwenyekiti wa mtaa wa National Housing kata ya Rwamishenye katika manispaa ya Bukoba, aitwaye Khadija Ismail (29)
Kamanda wa polisi...
Kwa kuwa ni dhahiri kwamba Lissu hawezi kukaa Tanzania kwa zaidi ya mwezi, endapo CHADEMA itathubutu kumpa uenyekiti wa chama, itabidi baadhi ya idara na watumishi wapate uhamisho wa kuhamia Ubelgiji, vinginevyo baadhi ya shughuli zitakwama, na itabidi maafisa na myaraka ziwe zinaoanda ndege...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO).
Mhandisi Nyamsingwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Barabara Kuu na Usafirishaji, Kampuni ya NORPLAN Tanzania Limited...
Naomba kufahamishwa kwa uchache tu.
Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Halmshauri ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa Mtendaji au ule wa Mwenyekiti.
Kuna Mihuri special huwa inaitwa Mihuri ya Halmshauri ya Kijiji...
Rais wa nchi anayetokana na CCM kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa ni utamaduni tu ndani ya CCM na wala si takwa la kikatiba la chama hicho.
Kwa sasa Mwenyekiti wa CCM ni Samia Suluhu Hassan kutokana na mwana CCM huyo kuwa Rais wa Tanzania. Lakini kabla ya kuwa Rais, Samia alikuwa ni mjumbe tu wa...
Kama kuna watu walikuwa wanaomba mgongano wa kiuongozi ndani ya Chadema sasa wanywe panadol.
Kuna wale maadui wa siasa za kishindani walikuwa wanatamani Mhe. Lissu autamani uenyekiti wa Chadema ili agombanie nafasi hiyo na Mhe. Mbowe
Kuitakia Chadema migogoro ya ki uongozi ni sawa na kumeaga...
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono.
Rais Samia anaupiga mwingi sana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
48 LAWS OF POWER.
Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.
Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.
Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu.
Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa...
Salaam,
Dont get me wrong, Mbowe ni kiongozi mzuri na amekipigania chama kwa mda mrefu. Mbowe amekiletea mafanikio makubwa chama cha CHADEMA kwa muda wa miaka 30 aliyokitumikia lakini zifuatazo ni hoja zinazompa Lissu karata turufu ya uongozi wa chama dhidi ya Mh. Mbowe.
1. Umri. Mbowe...
Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta.
Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta.
Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka...
Wanaukumbi.
SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.
Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.
Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.
Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?
Kikwete hakuwaita wapinzani...
Mwaka 2022 umeisha, tulitegemea utoa Salam za Mwaka Mpya kwa wapenzi na mashabiki wako. Ila umekuwa kimya kama haupo kwenye sayari yetu. Nakuombea kwa Mungu upate nauli urudi Tanzania ushikamane na Mama Yetu kujenga Nchi. Mwenyekiti wako ameshaona siasa za harakati ni kupoteza muda kawaachia ma...
Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama.
Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
Habari,
Heri ya sikukuu ya Noeli kwa wakristo wote. Leo ni siku nyingine tumesheherekea kuzaliwa kwa mwokozi wa ulimwengu kwa hiyo ,pamoja na wakristo wengine tunamshukuru Mwenyezi Mungu kuwa pamoja nasi na kwa zawadi hii kubwa.
Kabla sijaenda kwenye mada husika ningependa kuuliza maswali haya...
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa Dar es salaam, Khadija Ally Said amekataa tabia ya makada wa chama hicho kumsifu hovyo (uchawa), huku akiwataka wafanye kazi kwa ushirikiano bila kujiona miungu watu.
Amesema kufanya hivyo kutasaidia kufanikisha utekelezaji wa dira ya jumuiya hiyo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati.
"Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.